Search results

  1. Mwanamosi

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Nadhani watu wengi tunajadili hii habari bila kuwa na uhakika wa mambo mengi coz kuna maswali yanaulizwa ambayo majibu yake yako hadharani na yamesemwa na mlalamikaji.. kwa kuwa wanasheria wameona kuna evidence ya kutosha kufungua kesi basi tuache kuhukumu na mahakama imsafishe Dr Slaa au...
  2. Mwanamosi

    Maisha ya Ndoa (mahusiano) ya Wanasiasa wa Tanzania

    Source?????????????? Habari kama hii nimesikia kuhusu Dr Slaa kudaiwa bilioni moja na nadhani iko haja tufanye lililo sahihi kwa kuacha ushabiki wa mambo binafsi kwani yanatupotezea muda na tunasahau kufatilia sera na ilani za vyama na wagombea...haya mambo hayana nafasi katika siasa makini.kama...
  3. Mwanamosi

    Nuclear plant in tanzania

    Tufanye yale ya Juma na Roza kwanza ambayo tunayamudu na hatujishughulishi kuyafanyia kazi,hayo ya kuiga kila wafanyalo wakubwa ndio tunajikuta tunakuwa mazezeta kila siku tunaletewa makapi ya teknolojia zilizotumika huko na zikija huku ni matatizo kila siku. hiyo Nuclear nadhani wakati wake...
  4. Mwanamosi

    Elections 2010 Gari la Mrema lavunjwa kioo na wafuasi wa CCM

    Hao wanaoshabikia uhuni nao ni wahuni kwani kwa vyovyote vile uhuni na uvunjaji wa amani ni vitu vya kukemea. huyo rasta ashughulikiwe na vyombo husika...tusiache kampeni zichukue sura hiyo kwani leo akianza Mrema kesho atafuata nani? hao wahuni hawakubaliki kwenye jamii ya wastaarabu.Kampeni...
  5. Mwanamosi

    Exclusive picture - Miss REDDS TZ 2010

    duuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kazi kwelkwel!!!!!!!! hivyo vivazi!!!!!!!
  6. Mwanamosi

    Elections 2010 Kwa nini kimya hivyo utafikiri tuna msiba?

    NO PR...no business!!!! kama hujitangazi nani atakujua? nani atakununua? kweli PR wa Chadema kama wapo wafanye kazi yao...nasema kama wapo makusudi kwani najua wapo ila kama ni hivyo basi wameshindwa majukumu yao...nawachallenge kuwa wameshindwa kazi na waache wengine wafanye kazi hiyo, ni...
  7. Mwanamosi

    Elections 2010 Hizi takwimu zinaakisi hali halisi?

    kwakweli takwimu hizi ni za watu wenye access na mitandao ambao wengi ni wa mijini...ndio maana tunaposema kuwa CCM inakubalika vijijini na kwa wananchi wa kawaida watu wanakasirika bila kujua ukweli huu..watanzania wengi hata gazeti hapa mjini wanalisoma kwenye mbao za wauzaji...wanaopiga hiyo...
  8. Mwanamosi

    Al Shaabab kuua wasioheshimu Uislam hapa Tanzania

    Hii habari ni muhimu tuijue na kuchukua tahadhari...mtoa habari ataje source yake isaidie polisi kuchunguza hili..siku hizi kusaidia polisi ni tofauti kidogo na zamani ambapo mtu hukimbia na kujificha akiambiwa asaidie polisi...ila kama imeshasikika basi waliosikia na wenye uhakika waende...
  9. Mwanamosi

    Elections 2010 Muungano wa vyama Mbeya mjini CHADEMA imo?

    Sijaona jibu la hoja iliyotolewa...kuwa kama Chadema haimo ni kwanini? binafsi nimependa umoja wa aina hiyo kwani unaleta upinzani wa kweli ila tatizo la umoja kama huu ni vyama kutoaminiana hasa katika ngazi za juu kama uraisi..nadhani hii inaweza kuwa na matokeo mazuri kwa muungano huo kwani...
  10. Mwanamosi

    Ex wangu ananionea wivu...

    duh...huyo inabid utueleze mliachanaje..mligombana? au mliachana kistaarabu? kama mligombana achana nae kama kistaarabu na huna mtu mwingine mtungue tu...lakini kumbuka..." za kupewa, chanyanya na zako"
  11. Mwanamosi

    Picha: Ni Ujumbe Gani Unaupata Kwa Picha Hii?

    Bila maelezo..nadhani utasema ni unyanyasaji wa hali ya juu wa raia tena mlemavu..lakini maelezo ya picha yatafanya watu wasitoe mawazo kwa uhuru coz watakuwa wameshajua nini chanzo cha kubebwa hivyo... pamoja na yote,nadhani utaratibu ukifuatwa haya hayatokei na hasa unapotaka kumwona...
  12. Mwanamosi

    Elections 2010 Mgombea wa Chadema ahongwa milioni 60

    Yanaposemwa maneno yenye kuchoma moyo kuhusu Chadema na wanachama wapya watu huwa wakali coz hatupendi kuambiana ukweli..sasa imeanza kudhihirika kwani tulishawahi kuonya humu kwamba hawa wanaenda upinzani na kuomba kugombea wana ajeda za siri tukaonekana ni wapinga mabadiliko na sasa...
  13. Mwanamosi

    Phd za Mzumbe University!

    Hii yahitaji ufafanuzi ni nini hicho kilicho chini ya kapeti juu ya PHD za Mzumbe? kuna shida gani Mzumbe na PHD hizo? leta majibu..
  14. Mwanamosi

    Elections 2010 Asiyekuwa na dhambi awe wa kwanza kurusha jiwe. Hii imekaa vizuri!

    mke wa mtu Sumu...kama umeoa basi unajua inakuwaje hata pale unapoona njemba inamsololea mama watoto...hoja za ufisadi nadhani ziko kesi ambazo hazifai kuzizungumzia majukwaani so isitumike sana kama ndio mtaji wa kujitafutia kura...nadhani umefika wakati wa wagombea kuacha mambo binafsi na...
  15. Mwanamosi

    Elections 2010 Hali ngumu CCM nyanda za juu kusini

    Mkuu matatizo ya nchi hii ni zaidi ya CCM...hata tukibadili chama bado watu walioshika nafasi za utendaji na za maamuzi ni wale wale na mifumo ndio inafanya life kuwa tafu zaid...yawezekana CCM wamechangia kwa kiasi fulani lakini tukijitazama sisi Mmoja mmoja utakuta matatizo tunayo ndani yetu...
  16. Mwanamosi

    Elections 2010 Je kama Upinzani ukishinda?

    Kushinda uchaguzi (Urais) itawawia ugumu japo maajabu hutokea...kuongoza nchi hawataweza coz nashawishika kuamini CCM watapata wabunge wengi kutokana na maandalizi waliyofanya na kusimamisha mgombea kila jimbo hivyo kusumbua bunge kwa kutounga mkono hoja/miswada ya serikali ya upinzani...JK...
  17. Mwanamosi

    Elections 2010 Mhe Zitto Kabwe Kuhongwa kwa Mgombea wa CHADEMA Musoma Vijijini

    Ohhh wamekwishaanza!!!!! haya mambo yanahitaji uchunguzi wa kina na kama yana ukweli basi yanahitaji majibu ya kina. lakini all in all, Takukuru wafanye kazi yao...tusihukumu mapema coz hiyo si kazi yetu.. so tusiogope tuhuma coz hazijathibitishwa... kama watajisikia kufanya hivyo (na ukweli...
  18. Mwanamosi

    VodaCom wanatumika kuinyonga CHADEMA

    Hoja hii nina mashaka nayo, kwani ni mara ngapi unatuma msg na inakwambia msg failure lakini hela imekatwa??? ...na ukituma tena bado unapata same msg na hela kukatwa na unaemtumia anakuwa anapata msg hiyo mara nyingi...kwanini tusiwe wadadisi kwa kuuliza VodaCom kuna tatizo gani kabla ya...
  19. Mwanamosi

    Elections 2010 Makamba: Viongozi CHADEMA wana akili ndogo

    Hizi kampeni zinakoelekea nadhani watu wanaweza kushangazwa na mambo yanayoweza kutokea...nadhani iko haja ya watu kufanya kampeni kwa kufuata taratibu na makubaliano waliyosaini kuyafuata...hizi siasa za kuongelea watu nadhani zisipewe nafasi.kila chama kitangaze sera na sio nani kafanya nini...
  20. Mwanamosi

    Kikwete Aahidi Bajaj 400

    Kama wananchi wanateseka na kupanda baiskeli kupelekwa hospitali nadhani bajaj ni better than hiyo baiskeli...wengine wanapandishwa kwenye mikokoteni ya kukokotwa na punda...au hatujasikia hizo? ?? zipo ndugu zangu na nafikiri ni simple logic kuwa ukiwa na bajaj ikamuwahi huyo mjamzito na...
Back
Top Bottom