Search results

  1. soldado

    Elections 2010 Mwanza City on Fire!

    Kwa mujibu wa Star TV,jengo la CCM limewashwa moto,barabara zimefungwa. Hali si shwari
  2. soldado

    Elections 2010 Hali halisi kabla ya kutangazwa matokeo majimbo ya Dar

    Wadau! Mnyika alikuwa live TBC 1 dakika chache zilizopita, pamoja na wanachama wa Chadema, katika kituo kimojawapo cha uchaguzi, wakitaka wasimamizi kutangaza matokeo. Lakini wamejibiwa ya kwamba kazi hiyo itakamilika usiku! Tafakari...:loco:
  3. soldado

    what is it?

  4. soldado

    Incompatible "analogue" party in the "digital" citizens

    Kuna mdau alitoa maoni haya katika website ya gazeti la Mwananchi jana 08/09/2010... "Watanzania walio wengi ni maskini kiasi kwamba ukiwa angani kwa ndege vijumba vyao vinaonekana kama vichuguu! Ni vigumu kutofautisha kichuguu na nyumba. Tangu Mungu aumbe dunia hii, hawajapata mabadiliko...
Back
Top Bottom