Search results

  1. mavela

    TANZIA Katibu Tawala Arusha, Bw. Richard Kwitega afariki Dunia

    Watu wa kijiji cha Ngoma (Sengerema) tumepata msiba mkubwa sana
  2. mavela

    Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Admin shughulikeni na huyu kaniita nincompoop!
  3. mavela

    Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Kwa kukusaidia tu ni kwamba ulichokiandika ni uongo. Soma hapa 1. Joseph Mkundi anaishi katika kijiji cha Bukiko kilichopo kisiwani Ukara, ndipo yalipo makazi yake 2. Joseph Mkundi ni mbunge ambaye ametumia zaidi ya asilimia 90 ya kipindi chake cha ubunge (excluding kipindi cha vikao vya bunge)...
  4. mavela

    Taarifa nilizopata juu ya chaguzi za CCM; ni hatari kwa nchi hii

    Unakifahamu unachokiongea ndugu? Au unataka kumharibia Mheshimiwa Mkundi?
  5. mavela

    Maigizo ya Kisarawe leo 28th June 2020. Kila kitu kilipangwa

    What if huyu Das aliyetumbuliwa akapita na Das mpya siku wanakabidhiana ofisi?
  6. mavela

    Kisiwa cha Ukara (Ukara Island)

    Siku hizi wanyamanga mnaitwa wanyauli
  7. mavela

    UTEUZI: Rais Magufuli ateua Majaji 10, Naibu DPP, Naibu DAG, Wakili Mkuu wa Serikali na Naibu wake

    Wa Mzumbe anaitwa Innocent Mgeta kama sijakosea
  8. mavela

    Mapungufu makubwa ya kuhamisha Walimu kutoka Sekondari kwenda kufundisha Shule za msingi

    Mbinu zipi hizo za ufundishaji zinazofanana?
  9. mavela

    Picha: Msichana aliyeuawa na mwanafunzi wa SUA

    Patrick Mboma au?
  10. mavela

    Mambo usiyoyajua kuhusu beach za Ukerewe yanaweza kuwa hayapo beach yoyote duniani

    Karibu sana mkuu, huku kuko vizuri sana. Mambo mengine yanayosikika kuhusu huku Ukerewe ni hadithi za kufikirika. Ni sehemu nzuri mtu yeyote wanaweza kuishi bila shida
  11. mavela

    Kagoda Agriculture Ltd: Another BOT scandal

    Mnafukua makaburi
  12. mavela

    Makonda, Ruge na menejimenti nzima ya CMG akiwemo Mkurugenzi Mtendaji, Joseph Kusaga, kuketi na kumaliza tofauti

    Tumwombe mchungaji Gwajima aingilie kati. Yeye ndiye chanzo cha mgogoro huu
  13. mavela

    John Heche aitwa Polisi kwa tuhuma za kufanya mkutano jimbo lisilo lake - Kilombero

    Wamuite na mwigulu nchemba. Jana nilimwona anahutubia kwenye mkutano kwenye kata ya jijini Dar es Salaam wakati kwake ni Iramba.
  14. mavela

    Sengerema(Buchosa): Walimu saba(7) wanyolewa sehemu za siri, mmoja hali yake tete

    Poleni sana walimu. Ila isiwe 'tekniki' ya kuhama kwa urahisi kutoka huko kisiwani baada ya maombi yenu ya uhamisho 'kugoma' Pole mwalimu Daudi Shule, my schoolmate Ngoma Sekondari, Sengerema
  15. mavela

    Tanzania yalamba dume baada ya kukamata ng'ombe 6648 wa Uganda

    Hao ng'ombe wateketezwe kama wale vifaranga wa Kenya
  16. mavela

    Pata nyumba na viwanja jijini Mwanza

    Hili eneo lilipata mnunuzi?
  17. mavela

    Tukio la kuitisha dunia ambalo nilifanya nikiwa na umri mdogo wa miaka 17

    Kumbe ndiyo nyie mlituteka maeneo ya Nyanguku?
Back
Top Bottom