Search results

  1. msikonge

    Ni kosa Rais kuwakandamiza watanzania wanaohukumiwa nchi za kigeni

    Ukirudi nyuma ukatafakari athari za madawa ya kulevya kwa taifa letu unaweza toa kauli kama alizotoa mheshimiwa Magu! Mie nilimsikia akisema waliohukumiwa kunyongwa...maana yake wamekutwa na hatia na wamepewa hukumu...yeye rais aliruhusu wanyongwe! Sasa kama wamehukumiwa hivyo sio kosa la rais...
  2. msikonge

    Manji atakiwa kuripoti Ofisi za Mamlaka ya Uhamiaji. Pasi 126 za kusafiria zakamatwa ofisini kwake

    Wow, haya ndio mambo ya mwanamama kamishna eh! Inaonekana watendaji waaminifu wa uhamiaji walishachoshwa na uhuni wa mabosi wao wa zamani walioendekeza uhuni na hivyo kuwafanya waaminifu hawa wakose kwa kusemea na kupulia! Sasa wamepata kamishna mpya wameamua kumpa kazi wakijua ataifanya...
  3. msikonge

    imekaaje kauli ya serikali waliofunga ndoa na wahamiaji haramu wavunje ndoa zao

    Hii mbona ni kawaida kabisa ukienda nchi yoyote! Kama ukifunga ndoa na mhamiaji 'haramu' na usimhalarishe mpaka ukamatwe lazima atakuwa 'deported' na fine juu! Hatua hii ya serikali naiunga mkono!
  4. msikonge

    Blog denounces Jamii Forum ethnic cleansing, tribal hatred campaign

    tuko kwetu unatuambia wabaguzi!!!?
  5. msikonge

    Rwandan Foreign Minister: Kikwete could be an FDLR sympathiser

    Tatizo lililopo ni kwamba PK ataendelea kuua mpaka lini!? Kaeni muongee muyamalize. Mnajenga nyumba moja kwa nini mnyang'wanyane fito?
  6. msikonge

    JICHO PEVU: JK usimshauri tena raisi mwingine kuhusu usalama na amani ya nchi yake

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni! Pamoja na maneno mengi mazuri uliyotumia ktk kumshauri JK, Bado sioni tatizo ktk ushauri alioutoa Jk kwa PK. Ndio anahitaji kutengeneza mambo nyumbani kwake, lakini wakati huohuo anahitaji kutuwakirisha nje. Tupende tusitake, bado yy ni rais wetu! Kama rais wa...
  7. msikonge

    Msaada wa haraka plz: Nimemeza mfupa wa samaki umekaa kooni....

    Atakuwa ameshaumeza huo na amepona, siyo issue ki hivyo!
  8. msikonge

    Help me please

    pole sana, kama ulivyoshauriwa, nenda hospitali, sijui kama umeshachelewa sana! Hakuna haja ya kukaa unatafuta tiba mbadala kabla ya kwenda hospitali, afu zikigonga mwamba ndo unafikiri kwenda hospitali, huu ni ujinga! Ukianza kijisikia ndivyosivyo, mapema, changanya makongoro, nenda hospitali...
  9. msikonge

    Wagonjwa Muhimbili walia adha ya mgomo

    afadhali wasirudi kazini kuliko kumalizia hasira zao kwetu wagonjwa!
  10. msikonge

    Madaktari live mlimani tv

    Wanarudi kazini!? Kumtibu nani, mie sikubali, nimesema sikubali kutibiwa nao mpaka watimiziwe walichokuwa wakidai na machungu walonayo yawatoke! Nitaandamana hata kama ni pekeyangu kuishinikiza serikali iwalipe madokta haki zao! Vinginenvyo kuna kuambukizwa magonjwa zugu!
  11. msikonge

    Udom chumvi zamwagwa milangoni na kwenye corridor jengo kuu la utawala..........

    huyo ndo sha unga chunvi mu-mboga subirini muone kifuatacho!!
  12. msikonge

    Ingia humu uione link ya website mpya ya Dr slaa maoni yangu....

    washauri wake wamuambie atoe hiyo sura yake na jina pia, aifanye iwe neutral! otherwise ajiunge na facebook!
  13. msikonge

    Ingia humu uione link ya website mpya ya Dr slaa maoni yangu....

    Huyu mzee lini tena kaanza uza sura na jina!?
  14. msikonge

    Madaktari acheni upuuzi na kiburi...!!! Fanyeni kazi

    eeh, mmelima kweli sidhani kama atakurupuka tena kule hoja hapa! mie naunga mkono mgomo wa madaktari ili wasiuwe kinyemela!
  15. msikonge

    Mgomo wa Madaktari (Leo): Kiburi cha Blandina Nyoni

    kwani ni kichaa kihivyo eeh!
  16. msikonge

    hatimaye serikali yaridhia kuwarudisha madaktari (interns)waliofukuzwa muhimbili

    kama watz sasa hivi hawataamka na munkari basi tena, yaani nzugu setu wanakufa sirikali imetulia tu!
Back
Top Bottom