Kigoma nimeishi miaka 6 pale mjini na Wilaya karibu zote na vijiji vyake nimefika.Kwa hoja ya biashara sikupingi hata kidogo mleta mada.Kama unataka kukimbia chaki kasome community development au sociology (ukirudi unatafuta NGO) unafanya KAZI na mashirika.Kuna majamaa Wana NGO yao walikuwa...
Urafiki utakuwepo kama bado hamjaonana,, ila mkionana lazima Simba ale nyasi. Ninaye rafiki angu tokea 2015 aloo tupo mikoa tofauti yaani ,, hata nikitoka kupiga show service road utashangaa ashanishtukia utasikia Leo umetoka kugonga mjinga. Hahaha! Na yeye huwa anaaga kabisa utasikia Boy...
Sasa hapo Ulipo Ujiji utapoteza mtaji wako,, Kwa Nini usiende hata Mwandiga au Mlole au Kibirizi. Usifungue goli karibu na Mitaa ya Katubuka)Manguruweni pia utaangukia pua. Tafuta mtaalam wa Jiko pia kwenye hiyo kitu utapiga Hela Kwa kweli
Nenda Kawe kapokee Miujiza ndugu,,, Mimi nilikuwa mbishi hivyo hivyo,, siku Moja nikiwa Sina hili Wala lile naelekea zangu beach kawe,,, Kuna karoho kakaniambia pita apo arise and shine dakika Moja. Nikaenda nimekuta watu wanatoa sadaka hasa wale sijui waliochelewa ,, nilitoa elfu mbili tuu...
Dogo bado hajakuwa huyo,,, anakupaje hela mbele ya bimdashi wake,,, Ilitakiwa hapo ampe mama ake hiyo laki 5 ukiwepo alafu mnaenda chemba anakukabidhi 1M Yako then wewe ukirudi Kwa wife unajikomba komba,,, zamu yangu sijui lini ,,,, Mnagawa pasu kwa pasu Ile laki 5.Mwisho wa siku unakuwa na...
Ndiyo maana kunakuwaga na kesi za mauaji juu ya kugombea wapenzi. Hiyo kitu ni hatari wazee,,, imagine una kibamia lakini inafinyiwa Kwa ndani mpaka inaoneka una hogo. Nadhani ni maumbile Yao huwa hivyo na ni wachache sana. Mpaka umri huu nimebahatika mmoja tuu mwenye hiyo kitu . You can imagine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.