Search results

  1. A

    Wiki endi njema wana Jf wote

    wow!!!!!!! what a msg!!!!!!!!!!!!!!1 NZURI ATI!!!!!!!! NIMEIpenda hii, aisee hii bomba. PLEASE THE SAME TO U, ENJOY THE WEEKEND
  2. A

    Mary Chitanda Bungeni

    aaaaah kwani mbunge wa jimbo gani jamani, au yuko kwenye viti vya bila jasho?:twitch:
  3. A

    January Makamba akataa bahasha za milioni moja za "Lunch"

    Aaaaah hii kali, ila kwa ujumla wake tz sio maskini, hata huu mgao wa umeme/stima kama Wakenya wasemavyo huenda kuna njama, mnakumbuka kipindi fulani tanesco walisema tatizo ni maji, shelukindo alipofuatilia na kukuta maji mengi, wakasema mzee tatizo sio maji ni mitambo mibovu, labda kuna watu...
  4. A

    Udini ulianza kipindi cha Mwinyi - CCT

    KANISA KATOLIKI SIO CHANZO CHA MAUAJI RWANDA, TAFUTA UKWELI WA MAMBO USILIPUKE NDG. YANGU UNAYEJIITA DSM, mara kwa mara niliyasikia maneno haya kwenye kampeni za CCM--ktk uchaguzi mkuu wa mwaka huu-2010. ni maNeno ambayo hayaniiingii akilini kulihusisha kanisa katoliki na mauaji kule rwanda...
  5. A

    Mimi ni KIBARAKA....!

    sema BANA ww kibaraka wa naniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii?
  6. A

    C.V ya Dr. Slaa hiyoooo!!! Tunaomba na ya JK wa ukweli.

    ajabu, mnataka CV ya Dr. Slaa sasa kwani milkuwa wapi wakati wa kampeni za uraisi, kila ktu kilikuwa peupeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:doh:
  7. A

    Salamu

    Tutenzi bwana uwe mvumilivu kwa utakayoyaona humu.
  8. A

    Mhhh!!! Kweli hatuna rais!!!!!!!!!

    hivi JK, anao kweli ujasiri wa kumtupia mawe Dr. Slaa? ktk hili
  9. A

    Elections 2010 Majukumu Makuu ya CHADEMA

    ASANTE BABU. LABDA WATAKUSIKIA WEWE, MVUMO AND MWENDO KASI WA UPEPO WA SLAA ni mkali mno, na unaumiza vichwa vya wanaCCM, ndio maana Kinana kanena kukanusha yaliyosemwa ktk Uzinduzi wa kampeni ya CHADEMA. Kukmbuka alipoulizwa mbona hata CUF wamerusha akasema atajibu siku nyingine lkn kwa...
  10. A

    Elections 2010 Picha za uzinduzi wa Kampeni ya CHADEMA

    Pole sana marine hassan marine. Bosi kumwamru kukata matangazo, sio kosa lake jamani. C.c.m inatumia ubabe, mmesikia kauli mbiu ya ccm ''ushindi ni lazima". Means that hata kama wakishindwa watanyakua kwa nguvu. Mungu atuepushe na balaa hili la ccm vote for change 31 october, 2010.
  11. A

    Saed Kubenea na gazeti la MwanaHalisi

    Ni kweli ni gazeti zuri, linatoa mawazo ya kizalendo. Wakati umefika tukubali mabadiliko
  12. A

    Police officer

    mmmh no comment
  13. A

    CCM imekuwa ya hovyo zaidi chini ya JK na Makamba -- yes or no?

    zamani wakati nakua CCM ilikuwa chama cha wakulima na wafanyakazi, leo hii CCM imepora na wafanyabiashara na mataijiri wachache. Ni chama kinachochezea uhai wa taifa. NATAMANI SIKU MOJA IFIKE AMBAPO WANACHAMA WA CCM WATASEMA TANZANIA KWANZA CHAMA BAADAE. UZALENDO UTAFUFUKA TOKA KTK MIOYO YA...
  14. A

    Ukimdate mtu ni laziama mka...

    Mmmmmmhh. andelea kusema NO sir Dunia imeota mbigili baba. say no mpaka mwisho:A S-key:
  15. A

    A man of men?!

    IT IS A SIN. PLEASE STOP IT:spy:
  16. A

    Kagame kuleta ndege ya tano; Kikwete umeshindwa nini ATCL?

    Uongozi wa nchi si suala la mzaha hata kidogo. Kiongozi bora ni yule anayesikiliza na kutatua matatizo ya wananchi yake. Ni mzalendo kwa Taifa lake. Kagame licha ya ukatili wake, ni mzalendo kwa Wanyarwanda ndio maana serikali yake imeyaondoa magari ya kifahari ktk kuyamiliki na kuyaendesha...
  17. A

    Wanaume ambao hawajaoa ni WACHAFU

    MMMMMH NO COMMENT:closed_2:
  18. A

    Elections 2010 Wazee wamgeuka Malecela - Wanataka Asigombee Ubunge

    mmmh yangu macho. NAONA KAMPENI ZIMEANZA, CHA MUHIMU TUSITOANE MACHO, TUBISHANE KWA HOJA:doh::bowl::yield:NADHANI NIMEELEWEKA
Back
Top Bottom