Search results

  1. mama yuva

    Kitabu: Simba wa Tsavo

    Umenikumbusha utotoni kwa kweli. Asante sana.
  2. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    meter number 00582001 tangu walipobadilisha mita tarehe 19 mwezi wa nane, inavuja maji kidogo kidogo hapo kwenye mita, na leo yameongezeka zaidi.
  3. mama yuva

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Hello. Hatuna umeme tangu jana. Ni nyumba yetu tu. Tuko Mikocheni Karibu na Five ways. Tunatazamana na babu jaza chips. Nyumba ya pili toka ofisi ya serikali za mitaa darajani, ukitokea Five ways. Umemem ulianza kucheza cheza sasa umezimika kabisa.
  4. mama yuva

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mikocheni 5 ways leo hatuna umeme toka mchana. Tusaidieni basi
  5. mama yuva

    Mkurugenzi SSRA akanusha madai ya kupunguzwa mafao ya watumishi: Pensheni hailipwi kwa miaka 12.5 tu bali kwa muda wote wa uhai wa wastaafu

    Kwa hiyo kama wa NSSF walilipwa ndogo wakiongeza za NSSF watakuwa wamekosea? si wangeongeza tuili maisha yawe bomba kwa wote? wanapopunguza wanakuwa 'fair'.? kama nyumba ya pili wameibiwa, basi wanaiba huku pia ili kuweka usawa? Wanawezaje kulala usingizi jamani?
  6. mama yuva

    Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Hivi huu muungano wa nini? Ondokeni na huku bara mbaki kwenu tu. Roho ya korosho na uchoyo full stop. Tena mtu wa bara akifungua duka huko nyie hamnunui. Kwenu wasije watu kwani nyie nani? Wapemba wanalima vitunguu Singida na wamejaa kibao huku hadi nafasi zetu za shule wanachukua hadi umeme...
  7. mama yuva

    Mtanzania unayeishi Miami FL tufahamiane

    mange hakai huko kweli?
  8. mama yuva

    Tuwakumbuke waandishi wetu wa Riwaya

    Hivi ni nani aliandika vitabu hivi 1. Mpenzi 1&2 2. Nataka Iwe Siri 3. Sikudhani 4. Ushindi wa Mhaba
  9. mama yuva

    NSSF Ilala ni aibu: Licha ya msongamano lakini umeme umekatika dk 20

    Ungekuwa hapo bado ungeniulizia kwa nini online statement system yao haifanyi kazi wiki hii? Wasije nibadilishia mafao kimya kimya huko.
  10. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Bila mita kusoma hivyo? leakage kabla ya mita? Maana last reading mita ilisoma unit 811, next bill naambiwa nimetumia 49 units lakini mita inasoma 825?????? Anyway, naona baada ya kupigiwa simu wamerekebisha nimeletewa bill nyingine. Naomba mrudishe utaratibu wa kusema last meter reading...
  11. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Na mie nindo shid yangu hii. units tofauti na meter reading. nimeandika hapa no response. Nimewapigia hawajaleta mhakiki.
  12. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    hii thread ya nini kama hamjib maswali ya watu?
  13. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Sijui hili haliwahusu. Mbona sipati jibi?
  14. mama yuva

    DAWASA Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na ushauri

    Tangu december nimekuwa nikipata bill sizielewi elewi. Lakini kwa kawaida bill ina range 15,000 - 25/30,000 kulingana na watu ninaoishi nao ndani. Sasa nashangaa leo nimeletewa bill 79,000? tena watu wamepungua sana kwangu kwa lipi? namba ni 90071710 KAwe
  15. mama yuva

    John Magufuli: Ninautamani urais!

    Umenikumbusha mbali nilishasahau kama niliwahi kuandika hii. nasimamia hapo hapo. Nchi hii ilihitaji JPM. Japo si kila kitu tunapenda, huo ndo ukweli!
  16. mama yuva

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ttizo hili limerudia tena! tunaomba solution ya kudumu tafadhali. Kawe mikoroshini, nguzo iliyoko hospitali ya Usambara inatoa cheche na umeme unazima na kuwaka. Nyumba moja hauwaki kabisa. Tunaomba msaada tusije pata madhara makubwa.
Back
Top Bottom