Search results

  1. K

    Naibu Katibu Mtendaji NECTA aondolewe mara moja kwenye nafasi hiyo

    bila shaka wamefanya utafiti kufikia hayo mamuzi maana hata nchi jirani wenzetu hawana utaratibu huo wa ranking to come up na best school nor best student, tungeweza walau kurank kimkoa.
  2. K

    Hongera TRL kwa Mabehewa Mapya. SGR ni Reli Mpya ya Kisasa; Je, Mabehewa Haya ni Mapya ya Kisasa? Hakuna Ubaya Kutumia Mitumba, Ila Tuambiwe Ukweli!

    Jamii forum fact check, mko wapiii? Leteni facts si tumeambiwa ako na fact check unit
  3. K

    Natafuta Fundi mzuri wa magari ya Subaru Mbezi ya kimara

    Wee controla, huna ushahidi huna haki kusema, onyesha hiyo mbele sura mbovu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. K

    Natafuta Fundi mzuri wa magari ya Subaru Mbezi ya kimara

    Asante sana Don, nimecheck naye, honestly anaonekana yuko vizuri. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. K

    Natafuta Fundi mzuri wa magari ya Subaru Mbezi ya kimara

    Wakuuu, mwenye kufahamu fundi mbobevu wa magari ya subaru tafadhali Sent using Jamii Forums mobile app
  6. K

    Kushuka kwa purchasing power, Je kundi la high income group wanaathirika? Village Supermarket ya high class wa Mbezi Beach Shamo Tower yafungwa!

    sasa naanza kuelewa kwa nini wameonyesha upendo hivi kwa kutushushia vifurushi. sikuwahi ona watu waliokuwa jeuri kama dstv.
  7. K

    Shule nzuri za primary English Medium Dar es Salaam

    wadau kama anaye fahamu shule nzuri ya watoto maeneo karibu na kibamba tafadhali
  8. K

    Waraka kwa Mstahiki Meya Boniface Jacob

    nilipoisoma taarifa ya mstahiki meya, ama Kwa hakika nilipatwa na huzuni Sana. Kaka Sam, Mimi pia Niko tayari kuchangia. Huu mradi utatoa fulsa nyingi Tu za ajila Kwa ndugu zetu.
  9. K

    Naipenda simu yangu ya windows

    Aisee chief-Mkwawa, Mimi pia nina Lumia 950, jamani betri haikai zaidi ya masaa matatu ingawa ina fast charging, hili swala la kutokaaa na charge na kupata joto limeniboa sana na hii simu. naomba msaada wa kiufundi tafadhali
  10. K

    Nawaza tu: Magufuli kuundiwa zengwe?

    kwa maoni yako mleta mada, unadhani nani ni nafuu hapa, unafikiri angeingia Lowassa si ingekuwa noma zaidi?
  11. K

    Dr. W. Slaa anaondoka CHADEMA

    Maombi yanahitajika, mtumishi wa Mungu Joseph Gwajima tafadhari sana ongea na mke wa daktari huyu, moyo umesononeka sana lakini Mungu ana makusudi na Tanzania, this is a very trying moment to chadema.
  12. K

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Hivi huyu dada sijui ataonekanaje ndani ya gwanda, utampenda tu, kusema ukweli ni mzalendo sana huyu dada, alipigana sana kwenye issue ya wanavyuo pia wakati wa mjadala wa wizara ya elimu ilikuwa ni shida. hebu waza tu, kule mdee, pale matiko na huku Bulaya imagine hiyo combination ndani ya...
  13. K

    Msikilizeni Zitto Star TV

    Itabidi arudie kwanza alikopita maaana makamanda walishafanya yao na wanatanzania wako mguu sawa kusubili ukawa
  14. K

    Uhusiano wa mtoto kunyonya kidole na uwezo wake kiakili

    tusemeje sasa wengine, mimi nina ndugu yangu above 30 years mpaka hii leo ananyonya tena madole yote mawili anayatumbukiza mdomoni, na mwanae wa kwanza ndo naye noma tena huyu mwanae (7years) wakati kidole kiko mdomoni mkono mwingine kidole kina viringa pindo ya nguo ya vest yake. Sasa hao wote...
  15. K

    Mwanasheria Mkuu Zanzibar Akamatwa baada ya kupiga kura ya Hapana

    Bila shaka kura ya hapana ya mwanasheria mkuu wa zanzibar ina beba maana nzito zaidi kuliko unavyoweza kuitafasiri. Ni kama refa kunyang'anywa kipyenga( hapa AG SMZ) na kutokomea kwa washabiki sasa Refa sita na wachezaji uwanjani ni faulo tuu na huna namna ya kudhibiti game
  16. K

    Majina kura HAPANA hadharani warudi Zenj, TEC/Mashekh washtukia Sitta/serikali

    ati unapewa gunia zima ndani limejaa ibara zote na sura zote, unapewa semina ya kusema ndiooooo, in fact hawakutarajia hapana what a pathetic. au ndo wanataka kutufanya kwamba ukitaka kumficha mtanzania weka kwenye maandishi, maana ki ukweli hii rasim ya sita na chenge ni msiba kwa watanzania...
  17. K

    NSSF na Daraja la Dr. Dau kule Kigamboni

    tuvumiliane wakuu. tuonane mwakani July 2015, tutakuwa tumefikia hatua nzuri kukabidhi kazi inayoendelea kwa kasi kubwa sasa. wengi wetu hamjui hatua tulipofikia sasa. kazi ya kuinua nguzo katikati ya bahari pamoja na earthworks on approach roads inaendelea usiku na mchana. presure ni kubwa...
  18. K

    Aliyeeiba simu yangu ameonekana CCTV

    mimi nimesamehe na kila kitu kimeishia hapo. Mungu atamsamehe pia. najaribu sasa kugather data na information zangu kitu kinachoniuma zaidi lakini sina la kufanya
  19. K

    Aliyeeiba simu yangu ameonekana CCTV

    Nyati na wadau wengine wote mliochangia thread hii, nawashukuru sana. Nimeipata simu yangu ingawa kulifanyika jaribio la kuiharibu (futa kumbukumbu zote) kwa hivyo imepoteza ubora wake na data pia, lakini nitaenda samsung service center wa in reinstall bila shaka itakuwa sawa, Inauma sana lakini...
  20. K

    Aliyeeiba simu yangu ameonekana CCTV

    Asante Loi ndo ngoja niende
Back
Top Bottom