Leo nimeona maajabu kwa jiografia ya zanzibar kuwa ndogo na matokeo kutangazwa baada ya masaa 18 baada kumaliza kupiga kura. Uchaguzi wa awali hadi siku tatu matokeo yalikuwa bado yanatangazwa. Hongera Zanzibar kwa kufanya maamuzi.
Soka la bongo sasa linaelekea kusikoeleweka baada ya kuporomoka nafasi ishirini kutoka 107 hadi 127.
The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - FIFA.com
Hii inatia machungu, kwanini zimetoka route tatu kwa siku kwenda mwanza na KIA imekuwa moja? au ndio mpango wa kuimaliza kabisa na haya mashirika yaliyopo Bongo? Huu urasimu mtupu
Dear Kenyans
I have taken so much time thinking about this statement and I have decided to apologize to the people of Kenya.
When I was the Chief Prosecutor at the ICC, I came under intense pressure from countries that were funding my office to do something with the Kenyan violence. We did...
Hivi Mh. Rais wetu mstaafu ana jina la barabara kweli hapa mjini DSM? mpaka tunafikia kuwapa maraisi wa jirani? na hap bado Rais M7 naye kupewa ya kwake
Wanasema niandike barua then nifuatilie, but kuna watu kama watano nao wamepigwa Dar es Salaam na nasikia kwenye camera anaonekana ni mzungu ndiye anayefanya mchezo huo
Nimepigwa pesa katika benki ya NBC , Jmosi niliweka kama 1.7m tawi la NBC DODOMA, kwenda kuchukua pesa benki jtatu nikakuta nimepigwa 1.5m kupitia NBC tawi la Tegata kwa kutumia ATM card yangu ambayo ninayo mwenyewe, cha ajabu mie nko DOM na pesa imepigwa DSM, Nawashauri ndugu zangu wenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.