Search results

  1. Priddim

    Korea Kaskazini yafanya 'jaribio kubwa la nyuklia

    Tutamshugurikia tu huyo Korea Kaskazini
  2. Priddim

    Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    USIWE na Hofu wala wsiwasi serikali ipo ata hapa JM tulieni tupeni Muda atajibu tu na itakuwa somo na fundisho kutoa taarifa isiyo rasimishwa....Tunakumbusha sheria ya makosa ya kimtandao ipo inafanya kazi...Mchana mwema ninyi nyote
  3. Priddim

    Natetemeka/Kigugumizi nikiongea Kiingereza

    Ahaha viloba
  4. Priddim

    Waziri Jenister Mhagama atoa mwezi mmoja kwa wafanyakazi wa wizara yake kuhamia Dodoma

    Dah mbona wanakurupuka hivi...vitendea kazi vimeandaliwa?? au ndo kusema serikalini ni Manual work nyingi na paper work
  5. Priddim

    UKAWA mwambieni Lowassa atimize ahadi yake ya kumleta Daudi Balali

    Povu linakutoka usikii raha bila kutaja jina la Lowassa
  6. Priddim

    Lady JD ajichagulia Jeneza la kuzikiwa

    Ndoa imemchanganya sasa anaona bora afe tu.
  7. Priddim

    Mkosamali amlipua Henry Shekifu bungeni

    Zee alilidhiki lilishakaa serikalini muda sana,kutoka usoja,ukuu wa wilaya na ukuu wa mkoa,sasa libunge lool!!
  8. Priddim

    Clouds Entertainment Wasanda tena kwa Mh. Sugu

    Corolado in America hiyo bangi imehalalishwa inaingiza kipato likubwa sana..Tz vipi? Sugu ni sugu tu huwezi shindana nae hata siku moja,tukiongea ukweli walisanda na pesa wakampa.
  9. Priddim

    ACT Tanzania, ni taratibu gani mmezifuata kumfukuza mwenyekiti wenu Limbu?

    Ahahaha vituko bado vinaendelea,mwee huu mwaka huu raha sana,
  10. Priddim

    Joseph Mbilinyi (Sugu) anastahili pongezi

    Wanamwita sugu, Tujumuike hapa wale wa mbeya mjini,tujadiri mema ya Sugu Rais wa Mbeya Mjini
  11. Priddim

    Ali Kiba Fans' Special Thread...

    kiba ndo msanii sasa
  12. Priddim

    Kama Taifa, tusimame kupinga utengenezwaji na uuzwaji pombe kali za viroba

    Aisee,jana katika pita zangu ubungo saa tatu asubuhi nikaona jamaa kachomekea fresh akadaka kimoja akapiga akaendelea na mishe zake,dah najiuliza hii pombe nayoinaongeza mapato ya TAIFA,?
  13. Priddim

    Mchinjaji wa ISIS, Mohammed Emwazi aliwahi kuja Tanzania na kushtukiwa na Vyombo vya Usalama

    Sasa kujifagilia gani katika suala la kishenzi kama hili?
  14. Priddim

    Bob Marley's 10 Greatest Protest Songs That Still Ring True Today

    Time will tell Pass it On Trench town Buffalo souja etc Mi say jah rastafari the I,everliving,ever fearful,respeck To ROBERT NESTA MARLEY (Bob Marley)
  15. Priddim

    Ligi Kuu Vodacom: Leo, 19 Februari 2015

    Jumapili mtakaa tu
Back
Top Bottom