Search results

  1. Mangi wa Rombo

    Wanayo yapitia Watoto/ Wanafunzi wa Mtaa wa Mbopo, Mabwepande ni huruma

    Habari! Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe! Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
  2. Mangi wa Rombo

    Usafiri binafsi kwenda Moshi KiliMarathon Tar 23 jioni Kurudi 25 jioni

    Mambo vipi wakuu! Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni tar 25! Unaweza cheki na mimi for booking Thanks Update: Gari imejaa (full booked) ahsanteni
  3. Mangi wa Rombo

    Hali ya Kunga cha Mbopo - Bunju ni mbaya sana!!

    Kwa sasa hana shabiki Mbopo hata mmoja! Tangu majanga yatokee Mh Chalamila RC amekuwa karibu na wakaz wa huku kuliko yeye! Tulikaa na Chalamila hadi saa nne usiku tukijenga daraja la Panga Boy.. yeye hata kutokea hakutokea
  4. Mangi wa Rombo

    Kwa idadi ya watu wazito na matajiri wanaolitaka jimbo la Kawe kupitia CCM mwaka 2025, Bishop Gwajima anza kutuaga sasa wana Kawe

    Ndugu, yani kwa ufupi Gwajima hakubaliki popote! Mimi naishi katika jimbo lake! Amekuwa m-bunge tapeli asiyetimiza ahadi zake! Tembelea Madale, Bunju, Mbopo, Mabwepande kisha uliza habari zake!
  5. Mangi wa Rombo

    Hali ya Kunga cha Mbopo - Bunju ni mbaya sana!!

    Habari wana JF! Nafahamu kumekuwa na ripoti nyingi za uharibifu wa miundombinu kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha, lakini leo ningependa nilete jukwaani hapa hali ya kiunga kati ya Mbopo na Bunju, kutoka kata ya Mabwepande, wilaya ya kinondoni. Kwa sasa hakuna mawasiliano kabisa kufuatia...
  6. Mangi wa Rombo

    Ushauri unahitajika: Mabati ya plastic

    35000? My friend nimenunua juzi, hapo Buguruni kuna kiwanda, 60,000... yana bei balaa.. Mimi nimetumia kwa ajili ya kuezekea ka kibanda ka nje ka kupumzikia wanaita pergola! Ila nusu nighaili bei yake mweeeh Tazama screenshot iyo
  7. Mangi wa Rombo

    Shirika la Reli (TRC) ndio limegoma kabisa kulipa kiinua mgongo "mkono wa kwa heri" kwa wastaafu wake?

    Habari! Nimekutana na mzee mmoja mstaafu wa shirika la reli (TRC) ambaye alistaafu rasmi mwaka 2020. Huyu mzee wakati ana staafu alikuja kwangu kunikopa hela, hakikuwa kiasi kikubwa sana, na alihaidi kukirejesha pindi tu atakapolipewa pesa zake za kiinua mgongo ama "mkono wa kwa heri" kama...
  8. Mangi wa Rombo

    INAUZWA For Sale: Kibadilishi umeme (DC Kwenda AC) au inverter ya gari!

    Habari! Tunauza portable car inverter kwa ajili ya kubadili Umeme wa DC kuwa AC kwa matumizi madogo kama kucha ji laptop, kuchaji bluetooth speaker, ku run hair dryer au fan. Kwa wale wanaosafiri au kutumia muda mwingi barabarani na wana vitu vya SC bhasi hii ni mkombozi wako! Matumizi yake...
  9. Mangi wa Rombo

    For sale: Ubao wa kidijitali/Screen kwa ajili ya Matangazo

    Habari! Nauza ubao wa kidijitali au screen ya matangazo inch 49, android OS, wa kusimamisha unacheza files zote kuanzia videos, GIFs, pictures etc. Unafaa kwa matumizi ya dukani, supermaket, hotel, hospitali n.k. Matumizi yake: unatengeneza maudhui mfano video fupi, au GIF zenye kutoa...
  10. Mangi wa Rombo

    INAUZWA For Sale: Smart Keyboard Cases for iPad Pro 11/ 10.9

    Habari! Nauza smart keyboard cases complete na external wireless mouse yake kwa ajili ya iPad Pro 11/10.9 inch. Products ni mpya kabisa Bei 140,000 TZS tu! Tupigie 0712075845
  11. Mangi wa Rombo

    DOKEZO Hali ya Barabara ya Madale Mwisho-Mbopo-Mabwepande ni mbaya sana

    Ni dar ndugu yangu! Tena Wilaya ya Kinondoni, 30 minutes drive kutoka Mlimani City... Ni aibu kwa kweli
Back
Top Bottom