Search results

  1. Radio Butiama

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Jana Jumapili nilifanya Mahojiano na Mheshimiwa Mhonga Said wa CHADEMA.Amejibu baadhi ya maswali yenu ya jinsi gani walivyochaguliwa kwenye hivyo viti maalum vya wanawake. Mnaweza kuja kumsikiliza hapa: www.RadioButiama.com
  2. Radio Butiama

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Mzee ES, Sikujua hilo aiseh.Mie niliwa PM jamaa wacheache ambao walikuwa vinara kwenye hii topic ya Nyerere, Uislam na Uhuru wa Tanganyika.
  3. Radio Butiama

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Wakuu, Mnaweza kuja kumsikiliza Former Mayor wa Dar es salaam Ndugu Kleist Sykes(mtoto wa Mzee Abdulwahid Sykes) akiongelea kitabu cha Mohamed Said na mchango wa Familia ya Sykes kwenye hiko kitabu na katika harakati za uhuru. Karibuni. www.RadioButiama.com
  4. Radio Butiama

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Mkandara, Duuh hapa naona unaanza kutufundisha historia mpya.Ni kweli waislam ndio walifany ayale maasi mwaka 1964? Unaweza ku support hili? Kuna sehemu yoyote umesoma? Naona mjadala umekuwa mtamu. Kichuguu, Nashukuru kwa kutufahamisha jina la hiko kitabu cha Mzee Balongo. Wengine, Mie...
  5. Radio Butiama

    Nyerere: The Man, The Myth and the Legend

    Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi historian Mohamed Said anaangalia mchango wa waislam katika harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika. Je ni kweli waislam ndio...
  6. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Mkandara, Ukisoma kitabu cha Dr. Malima Bundara cha Waafrika NdivyoWalivyo anasema wazungu wanatufanya sie waafrika kama mbwa wa kufugwa.Kwa mantiki hiyo basi waafrika tunaona kuwa wazungu wana wajibu wa kutulisha.Wazungu nao wanataka sie tuendelee kufikiria hivyo hivyo ili waendelee kutufuga...
  7. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    chinga, nimepata contacts zake na nimeongea na mwanahistoria Mohamed Said na nitakuwa nae hewani siku ya Jumapili.Nimekipata kitabu chake cha "The Life and Times of Abdulwahid Sykes (1924–1968): The untold story. of the Muslim struggle against British colonialism in Tanganyika" na...
  8. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    chinga, Una contacts zake? Je hiko kitabu kinaitwaje?
  9. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Hamna tatizo.Nitapata hivi vitabu toka Dar hapo November 20.Wasiliana na mie kwenye hiyo e mail na nitakutumia.
  10. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Shukran kwa wote mliokuja kusikiliza mahojiano yangu na Dr. Bundara.Kweli Dr. Bundara ni mmoja wa watu walio makini sana na ni hazina kubwa san akwenye nchi yetu.Niliposoma tu kitabu chake nilisema lazma nimtafute na siku moja nije hata kuongea nae. Mwawado, Nitafute kama unahitaji hiko...
  11. Radio Butiama

    Waafrika ndivyo tulivyo?

    Bara la Afrika lina kila kitu kuanzia ardhi kubwa yenye rutuba, maziwa makubwa, mito, madini, mazao na mbuga za wanyama. Vilevile bara la Afrika ni la pili kwa ukubwa na inasemekana binadamu wa kwanza aliishi Afrika. Ingawaje Afrika inaongoza kwa kupewa misaada lakini ni bara linaloshika...
  12. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Mwanakijiji, Hata mie nimepata taarifa kuwa huyo bwana Abbas mligharamia.Unaweza kutueleza ni vitu vitu mlimlipia? Hoteli au?
  13. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Ok! Kumbe mnafahamiana.Bw Ayub Mfinanga kwa kweli ameonyesha leadership ya hali ya juu na anahitaji pongezi kubwa.
  14. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Mkandara, Umesema kweli kabisa kuhusu our generation na changes.I think our generation itafanya big things huko nyumbani.Nimesikitishwa sana na ubalozi na serikali ya Kikwete kutosaidia hata kidogo kifedha kwenye huu msiba.Nilifikiri kwa vile Rais alikuwepo huku angeguswa na huu msiba lakini...
  15. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Masaa machache yaliyopita niliweza kuongea na Mheshimiwa Ayoub Mfinanga(Mwenyekiti wa chama chama wa-Tanzania Michigan).Tumeongea mengi na mnaweza kuja kusikiliza Radio Butiama mambo yalivyoenda huko Detroit, Michigan. www.butiama.podomatic.com Radio Butiama www.butiama.podmatic.com...
  16. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Naona jamaa wa D.C wamefanya vituz kweli kweli.Kwenye harambee jana wamechanga $ 6444.Pitia kwenye hii website na click updates ujionee. http://home.insight.rr.com/duesville/waltermazula.htm
  17. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Mzee ES, Kama kawaida ya wa-Tanzania anapokufa mtu huwa rumours zinakuwa nyingi sana.Na hapo si rahisi kujua ni kipi ch aukweli na kipi cha uongo.Hata Baba wa Taifa alipofariki kuna watu walizusha maneno mengi sana.Mie nachowaomba ni kwamba tuwe na subira na tuwaachie Police wafanye uchunguzi...
  18. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Also mnaweza kuja kutoa rambi rambi kwenye hii website nilitengeneza kwa ajili ya habari za msiba.Mtapata habari zote na ratiba yote ya Ijumaa na Jumamosi. http://home.insight.rr.com/duesville/waltermazula.htm Radio Butiama www.butiama.podomatic.com
  19. Radio Butiama

    Two Tanzanians Slain in Detroit, MI

    Inasikitisha sana kusikia habari za watanzania wenzetu kuuwawa kikatili huko Detroit, Michigan.Nimeongea na jamaa huko Detroit na wanasema Police bado wanaendelea na uchunguzi ila hakuna mtu yoyote aliekamatwa. Unaweza kutembelea Radio Butiama for more info: www.butiama.podomatic.com Na...
Back
Top Bottom