Search results

  1. D

    Nani anamkumbuka Mzee Majambo?

    Mkuu. Niliishi Dunga pia. Babu alikuwa anatembea kwa mguu jiji zima. Mfano pale kwetu alikuwa akitokea msasani, kisha anaingia Drive-in,kisha Moroko ananyooka kama anaenda Magomeni, kisha anakatisha kulia anaingia Dunga street. Anakujatokea magenge ya Msufini kisha huyooo Msisiri anaishia...
  2. D

    Nafasi za ualimu awamu ya pili out! Tembelea TAMISEMI

    Mount Meru ya Arusha na TEKU ya Mbeya ngazi ya cheti hajapangwa hata mwl mmoja.
  3. D

    Msaada kuhusu Foundation Course ya Open University

    Umeshasoma mkuu! Au ndo unafanya utafiti ili ujoini?
  4. D

    Rais ajaye ni kiza kizito, Mnajimu atoa mwanga

    Kuna watu hawakuwahi zisikia zile vesi za Gwajima kwa Shehe Yahaya. zilikuwa kali sana pia.
  5. D

    Julie Speech On Sharia Law, Ukweli Unaouma

    Hakika nimeongeza siku za kuishi. ((smile))
  6. D

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    Yes ni kila tawi. Ila intake inaanza mwezi wa tisa kama sikosei. Na mtihani wao wa mwisho ni June. Ada zao ni chipu sana mkuu. Jipange uanze. Mfano kwa foundation. Form ni sh elf 10 Ada yoote ni makadilio ya kama laki nne.
  7. D

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    Hapana mkuu. pale sifa zao wanataka mtu aliye na angalau na D tano kwenye cheti cha form four. Na kisha awe na certificate yeyote kutoka ktk chuo kinachotambulika. Hapo utasoma foundation course kwa mwaka mmoja. ambayo kiuhalisia ni kama kusoma form 5 na 6 kwa mwaka mmoja. sababu unasoma...
  8. D

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    Pale huwa wanachaguliwa moja kwa moja kutoka shuleni. Hakuna kuomba maombi ya binafsi. kwahiyo hata kama ana hiyo div two hawezi jiunga pale.
  9. D

    Uwezekano wa kutoka Form Four kwenda Diploma

    mkuu Janja PORI hapa mjini. na wenyewe wanasema mjini shule.. Hebu toa hiyo labda kwenye maelezo yako upate jibu sawia. Amesoma masomo gani na anataka kusomea fani gani ni la msingi zaidi. Utaelekezwa hadi pa kwenda au kumpeleka kama ni kweli ulichoandika. manake hiyo LABDA yako ni kama...
  10. D

    Mbunge wa CCM ambaye hajawa Waziri katika serikali ya JK......

    mkuu slimhamimu Ule mkoa sijui vipi!!! Sitashangaa akipita tena. Hawajaamka wale jamaa.
  11. D

    Tabia ya dereva wa daladala kufungulia Muziki hadi mwisho haifai

    Sasa we nae unamcheka mwenzio!! Unajitofautishaje!!?
  12. D

    Huu utaratibu wa majina ni wa wapi?

    Bersion ndiyo nini???? Au na we ndo ushaanza kubadli?? Ama kweli mi punguani mamaa! Yaani kuishi kwangu kooote huku mjini sijawahi kuuona hata unyayo wa Yesu. Lakini mwenzangu wewe umeziona nywele, pua,rangi duuuh!!! Kitu cha mwisho kabla sijapigwa ban; Jina lako linamaanisha...
  13. D

    Huu utaratibu wa majina ni wa wapi?

    Nijibu swali lako la kwanza kwa njia ya swali. Waislamu safi wasiojua kiarabu wataiona pepo? Anaenipa haki ya kubadili jina ni lugha na lahaja in general. Kule zenji ARSENAL inaitwa ASENALI. Paragraph ya mwisho najibu hivi; Wakristo weupe wameigiza, narudia tena wameigiza filamu...
  14. D

    Huu utaratibu wa majina ni wa wapi?

    Majina hubadilika kutokana na mazingira na lugha mkuu; Kubwa zaidi ni kwamba Yesu anazijua lugha zoote. Hivyo akiitwa Jesu, Yeshua, Jesus, Kyala, Sebha....... Ataitika tuuu! Ila je? wafaransa na wamarekani kama mfano huwa wanajua kwamba wamepachikwa majina haya?? Maana ndiyo...
  15. D

    LANCRUISER Prado (SX) for sale

    Mkuu Salama, uwe unaangalia na watu unaowajibu.... Hawachelewi kusema weka picha. Ha ha ha ... Nimerudi jana, Nitaku PM mkuu.
  16. D

    LANCRUISER Prado (SX) for sale

    Sawa mkuu, nipe muda nitakucheki kwa simu
  17. D

    LANCRUISER Prado (SX) for sale

    Kwa kweli mkuu chombo nimekikubali! Gari imetunzwa sana kaka, hata hivyo ngoja niwasiliane na wadau, si umesema bei inaongeleka ndugu?
  18. D

    AMREF Tanzania

    Kaka asante kwa kunikumbusha point muhimu! Jamani wakuu vipi? msaada kwa mwenye taarifa kuhusu hawa jamaa pse..
Back
Top Bottom