Search results

  1. P

    Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    nasikitika sana kuona uvumi wa baadhi ya wanafunz kudanganywa kuwa tumefukuzwa chuo habari hizi si za kwel barua iliyotolewa sio official just ni kuwatishia muogope..mimi ni kamanda wenu from begining to the last no need to whory friend..tupo salama kabsa
  2. P

    Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    Tangazo wanafunz tunawaomba muwe makini na hao vibaraka wa ccm..natangaza vibaraka wote SUMA JKT wanaotumiwa kuwapiga wanafunzi tuwapige by any means kesho mkutano alfa asubuhi na mapema..mawazir wangu nna iman wanafanya kazi vema kuwaonesha hao vjakaz kuwa hata cc tunaweza kuwaua..pipoziiiii
  3. P

    Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    kutokana na maandamano yanayoendelea udom sasa mwanafunz mmoja amepoteza maisha baada ya kugongwa na gari ya police..tunafanya mkukutano sasa kujua nn kifanyike
  4. P

    Hali sio shwari Chuo Kikuu cha Dodoma, Polisi waingilia kati kuzima maandamano

    MSISITIZO WA MGOMO UDOM. had sasa mwanafunz mmoja amepoteza maisha chuo kkuu cha dodoma.wanafunzi msilale. as president of udom tupo pamoja kutetea uhai wa waliobaki. had kieleweke
  5. P

    Chuo Kikuu Dodoma, waliodahiliwa shahada ya kwanza 2014/15

    msiwe na haraka every thing gonna be right guys
  6. P

    UDOM Prospectus inayotumika sasa

    chuo kikuu c kama advance vjana wakufunzi hutumia guide book yao xo prospectus hupatikana in orientation week hakunaga masuala ya tuition unachofundishwa na mkufunz ndo hicho hicho u must b grown up guyz
  7. P

    Vyuo kadhaa kutoa majina ya waliodahiliwa muda wowote

    ya vjana mnahamu ya shule kweli n vizuri kwa taarifa n kwamba bado college moja ya info yakikamilika mda wowote yataapdetiwa..bye
  8. P

    Utaratibu wa kuwapanga wanafunzi vyuo mbalimbali

    pitia pitia kwenye blogs za hivyo vyuo vitano
  9. P

    TCU login error

    jamani tcu hawatatoa majina kabla ya vyuo kuwatangaza wanafunzi mnakuwa ka wageni wa mambo haya mwaka jana ilikua hv hv jina unaliona chuo ulichoomba kwanza then tcu
  10. P

    Utaratibu wa kuwapanga wanafunzi vyuo mbalimbali

    ndugu zangu ni kwamba wadogo zetu hawaelewi utaratibu wa kuchaguliwa kujiunga na vyuo vikuu ...ni kwamba kawaida tcu huteua wanafunz na kuvipelekea vyuo majina kwa ajili ya kuyaprove ...kwa hiyo majina yote hutolewa na vyuo na siyo tcu ..tcu wanakuwaga wa mwisho kutoa majina baada ya vyuo...
Back
Top Bottom