Search results

  1. F

    Makonda: Anachokifanya Rais Samia Ndicho Alikifanya Magufuli (Mapokezi ya Ndege mpya ya Abiria Boeing B 737-9)

    Makonda vs January Makamba. Ndugu wakigombana, chukua Jembe ukalime
  2. F

    Demokrasia ni utawala wa walio wengi. Sensa inaonyesha Tanzania wengi vijana inakuwaje viongozi wa vyama vya siasa na serikalini na bunge vizee ngwe?

    Kama Vijana wanajitambua kuwa idadi yao ndiyo kubwa, WAANZISHE VYAMA VYAO, washindane na hivi Vyama vinavyoongozwa na Wazee. Wasije kutegemea kupewa uongozi na Vyama ambavyo vimeanzishwa na Wazee. Waunde Vyama vyao, na kwa kuwa ni wengi, wahamasishane, na mwisho wa siku, wapigiane KURA, ili...
  3. F

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Huu woga wa CCM kwa Mbowe, unatoka wapi? Mara Kesi ya Ugaidi, mara aachie ngazi, woga wa nini? Mwalimu Julius Nyerere aliongoza TANU na CCM kwa miaka 36. Matokeo yake, TANU/CCM bado ipo ipo mpaka leo. Mwacheni Freeman Mbowe achuane na Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere
  4. F

    Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

    CCM ilikamilisha kazi siku nyingi. Hivi sasa CCM ni Chama Tawala, siyo Chama cha Siasa. Wanachama wake ni Jeshi la Polisi na Tume ya Uchaguzi. Hakina haja ya Wapiga Kura. Piga Kura vyovyote utakavyo, CCM haina shida na wewe Wakati ukifika, Tume ya Uchaguzi na Jeshi la Polisi watahakikisha CCM...
  5. F

    Zitto ang'atuka uongozi ACT Wazalendo. Mbowe atang'atuka lini CHADEMA?

    Kiongozi anang'atuka pale anapojua kuwa kazi aliyotumwa, ameikamilisha. Kazi aliyotumwa Freeman Mbowe Bado hajaikamilisha. Lazima aendelee mpaka kazi ikamilike. Mwalimu Nyerere alikiongoza TANU kuanzia 1954 mpaka 1977, miaka 23! Akaendelea kuiongoza CCM kwa miaka mingine 13. JUMLA miaka 25...
  6. F

    Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Hiyo ndiyo hoja yako? Wote wanaokwenda kwa Paul Makonda, wanailalamikia Serikali ya CCM.
  7. F

    Baadhi ya Watanzania wanyonge maeneo mbalimbali wampigia magoti Paul Makonda kumuomba arejee mitaani kuendelea na ziara

    Kichwa cha Habari kimekosewa; Kinatakiwa kisomeke ifuatavyo: BAADHI YA WANANCHI, WAHANGA WA DHULUMA NA MANYANYASO YA UTAWALA WA SERIKALI YA CCM TANZANIA WAMLILIA MAKONDA.....
  8. F

    Azim Dewji: Lissu amuombe radhi Biteko; Matamshi wanayotoa wapinzani hayapaswi kuumiza watu wengine

    Naunga mkono. Aliyempitisha Naibu Waziri Mkuu kwenye Barabara iliyoruhusiwa Maandamano achukuliwe hatua za kinidhamu na Wananchi tupewe taarifa
  9. F

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Namna pekee ya kuwajua Watanzania kama wana akili timamu, au la, ni TUME HURU YA UCHAGUZI. Chama chochote kinachoogopa Tume Huru ya Uchaguzi kina mambo mawili. Mosi, kinawadharau sana Watanzania. Pili, labda kimeng'amua kuwa hakina Wapigakura. Haya mengine yanayoandikwa ni kuganga njaa...
  10. F

    Paul Makonda Mmoja alifanya mkutano mkubwa na mzito mkoani Mbeya kuliko CHADEMA waliosombelea watu mikoa yote ya nyanda za juu kusini

    Hapo unatakiwa tujiulize swali la msingi; Ule umati ulioenda kwa Makonda, ulienda kufanya nini? Je, ulienda kukiunga mkono Chama cha CCM? Au ulienda kuishitaki Serikali ya CCM kwa dhuluma inayowafanyia Watanzania? Jiulize, siku ule umati wa Makonda utakapojua kwamba Katiba Mpya itapunguza kwa...
  11. F

    RC wa MBEYA atuhumiwa kuhujumu maandamano ya CHADEMA Mbeya

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awajibike kwa kudhamiria kwa makusudi kumdhalilisha Naibu Waziri Mkuu kwa kumpitisha kwenye njia iliyoruhusiwa Maandamo ya Chadema.
  12. F

    RPC wa Mbeya apongezwe kwa kusimamia vema maandamano ya Chadema na ziara ya Biteko

    Maandamano yaliripotiwa na kuruhusiwa na Jeshi la Polisi, siku kadhaa kabla ya ujio wa Naibu Waziri Mkuu. Kwa hiyo kitendo cha kumpitisha Naibu Waziri Mkuu katika njia ambayo iliratibiwa na kuruhusiwa kwa hayo Maandamano, kilikuwa na lengo la kumdhalilisha huyo Kiongozi Mkuu wa Serikali...
  13. F

    Lowassa alivyoimbiwa na wajumbe wa CCM 2015

    Hapo ndipo Watanzania wajue umuhimu wa Katiba Mpya
  14. F

    CHADEMA wamepotezwa na Paul Makonda

    Labda uko sahihi kuwa Chadema wamepotezwa na Makonda. Sababu yenyewe iko wazi. Makonda amethibitisha pasipo shaka kuwa MFUMO WA UTAWALA nchini umejaa DHULUMA, MANYANYASO na UTEKAJI wa raia. Nilitegemea CHADEMA wamuenzi Makonda kwa kuthibisha yale wanayohubiri kwamba CCM imeshindwa kuongoza Nchi...
  15. F

    Ipo siku yaja kwa huyu mwenezi msipomfunda CCM na Rais Samia mtavuna mabua

    Paul Makonda amethibitisha, pasipo shaka yoyote, kuwa utawala wa CCM na Serikali yake ni Utawala wa hivyo, usiojali kuwahudumia Watanzania. Umati mkubwa sana unaompokea Makonda una lengo moja tu nalo ni kupaza sauti kutatuliwa KERO nyingi sana zinazoletwa na mfumo wa utawala uliopo. Wananchi...
  16. F

    Makonda na Drama za Watumishi wa Umma

    Umati ambao unaamini kwamba Paul Makonda atautatulia shida na kero zinazowakabili ambazo zimeshindikana kutatuliwa kwa muda mrefu. Shida zilizoletwa na Viongozi na Watawala wa Serikali ya Chama cha Mapinduzi. Tujiulize, kwa nini kila anayepewa Kipaza sauti anailalamikia Serikali na Watendaji...
  17. F

    Makonda: CHADEMA kuna mgawanyiko mkubwa. Lissu hawezi kuwa Rais wa Tanzania, anaishi nje na kuja nchini kimatukio

    Watanzania wakiamua kumpigia Kura Tundu Antipas Lissu, Makonda na CCM wataandamana? Au ndiyo sababu wanapinga Tume Huru ya Uchaguzi kwa nguvu zao zote?
  18. F

    Ufaulu kidato cha nne ni upeo mkubwa wa kuelewa wa wanafunzi au uchakachuaji wa mitihani ili kupaisha ufaulu?

    Ufaulu mkubwa ni maneno ya Wanasiasa yenye lengo la kuwapumbaza Walalahoi. Dadavua idadi ya Wanafunzi kwa madaraja waliyopata. Wanafunzi wenye Div-0 na Div-4 ulinganishe na wale wenye Div-1 mpaka Div-3. Shule ya kwenye Kata yangu, wenye Div-4 na Div-0 ni Asilimia 75 ya Watahiniwa. Huo ni ufaulu...
  19. F

    Masoud Kipanya na kifo cha imani ya msalaba

    Uko sahihi. Masudi sio mchora Katuni wa Waislamu. Akijaribu tu, atatangaziwa kukatwa kichwa
  20. F

    Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Nakubaliana na wewe. Na hii ni fursa kwa CCM kupata Ushindi usiolalamikiwa kuwa umeibwa. CCM wahakikishe inapatikana Tume Huru ya Uchaguzi ili iichape CHADEMA kwenye chaguzi mwaka huu na Mwaka kesho. Tuwaambie Viongozi wa CCM waache uoga juu ya Tume Huru ya Uchaguzi
Back
Top Bottom