Search results

  1. kajukeg

    man utd will clinch BPL trophy

    Just two games to go with city leading on goal difference,by believe it or not the BPL trophy will lend at the thieter of dream.see you on the 13.05.2012
  2. kajukeg

    Hiki ndicho kilikuwa vikosi vya CCM na CHADEMA vya kampeni! Tucheki tofauti zao

    Kweli mhusika no.9 Mingus amrehemu,mana hajitambui.
  3. kajukeg

    Maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanganyika Uwanja wa Taifa - Dar es Salaam

    Acha ubwege wewe,kwani tarehe 12 january huwa nia sherehe ya mapinduzi ya zanzibar au tanzania visiwani.wao wanasherekea mapinduzi ya zanzibar na sio mapinduzi ya tanzania visiwani kwanini sisi isiwe miaka 50 ya uhuru wa tanganyika? Acha kujipendekeza wewe.
  4. kajukeg

    Daraja la Wami Chalinze-Segera lazibwa

    thanx for the inf,but hapa si mahala pake.
  5. kajukeg

    Elections 2010 FFU wachelewa Anatoglo...

    once confirmed please let us know.huku maofisini tupo kivuli tu akili zote ziko huko.
  6. kajukeg

    Elections 2010 FAKE: CHADEMA walichukua jimbo la Mbeya vijijini

    mwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
  7. kajukeg

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    raha sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,
  8. kajukeg

    DR. SLAA: Josephine is my Legal wife.

    Chadema Union presidential candidates Dr. Wilbroad slaa,yesterday defended his intimate relationship with one Ms Josephine Mushumbuzi,saying the woman was his legal wife. Dr. Slaa, a former Roman Cathoric priest also confessed publicly that he had an affair in the past with another woman with...
  9. kajukeg

    Nini kinachowavutia wanawake wawaonapo wanaume?

    hakuna kitu hapo,no quality no what, mambo yote fweeedha.asikwambie mtu madem siku hizi wanasoma sana alama za nyakati,ukija na tu-quality twako unadunda tu, hakuna demu **** siku hizi wa kuzingatia eti quality.
  10. kajukeg

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    hapo umenena mama......!!!
  11. kajukeg

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    you are right....................huyo aliyesema hivyo hana data, na hajui kuwa yanga bado ni mbabe wa simba kwa historia.
  12. kajukeg

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    sitaki kuingilia yako na FL1, Ila nataka kusema hongera si kwa ngao ya Hisani Hongera ni kuifunga simba.ngao ya hisani its a big deal
  13. kajukeg

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Mashabiki wa yanga ndani ya JF naamini mtakuwa na furaha kwa kuwanyoa sharubu watani zetu. Yanga....mwaaaaaaaaaaaa....aaaaaa! ebwana mfunyukuzi big up for your yesterday prediction. Yanga 3 Simba 1
  14. kajukeg

    Elections 2010 Hivi Dr Slaa alipitishwa lini na mkutano mkuu kugombea urais?

    Umeshajibiwa alipitishwa kwa mujibu wa chadema,unataka nini tena? we cha kuuliza ATACHUKUWA SAA NGAPI HIZO FORM NEC? sio kuhoji kama utaratibu ulifuatwa,we yanakuhusu nini? SUBIRI UONE KAMA NEC WAKIGOMA KUMPA FORM NDO UHOJI KAMA UTARATIBU ULIFUATWA AMA LA....!
  15. kajukeg

    Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    mafao kiduchu msimbazi mkuu, hela za kuchangishana kama michango ya harusi ndo kocha alipwe atawezea wapi philly wa watu. bora kaona ajiondokee akatafute dili zingine,bora akachimbe visima zambia kuliko vihela vya kuombana kama michango ya msibani.
  16. kajukeg

    Hatimaye timu ya africa yatinga fainali kombe la dunia

    For sure game itakuwa taiti sana,ingawa wajerumani wana advantage mbili, kwanza uwenyeji utawabeba, pili historia katk mashindano hayo inawabeba pia. but i hope wanaija wakikomaa, we are going to win the trophy.
  17. kajukeg

    Mashabiki wa arsenal bwana...!! Kaaaaazi kweli kweli.

    Taarifa iliyotolewa na vyombo vya habari usiku wa jana, kuwa mlinzi wa kimataifa wa Hispania na beki wa kutumainiwa wa bacelona Cales PUYOL amesema kuwa amefanya mazungumzo na kiungo wa kimataifa wa Hispania na ARSENAL CESC Fabriagas na fabrigas kuweka bayana kuwa hataondoka kwa washika bunduki...
  18. kajukeg

    Hatimaye timu ya africa yatinga fainali kombe la dunia

    Kama kwa wanaume miaka 80 sasa imepita hata nusu fainali tu bado ndoto, bora tujivunie hata kwa heshima ambayo kina mama wametupa Africa.
  19. kajukeg

    Hatimaye timu ya africa yatinga fainali kombe la dunia

    Timu ya taifa ya wanawake ya Nigeria jana usiku imefanikiwa kuingia katika fainali za FIFA za kombe la dunia baada ya kuifunga timu ya taifa ya Colombia bao moja kwa bila. Nigeria sasa watacheza fainali tarehe moja mwezi August siku ya J2 na Timu ya taifa ya Ujerumani. Naamini hizi ni Habari...
  20. kajukeg

    Elections 2010 OMBI KWA KIKWETE: Dr WILBROAD SLAA APATIWE ULINZI WA UHAKIKA

    big up mbalinga hao wengine ni ruzuku tu,hawana mwelekeo wala dira.
Back
Top Bottom