Search results

  1. O

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    ingia youtube andika zitto akizomewa musoma mjini utaiona
  2. O

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    hapa jf mods wanaitoa,ingia youtube andika zitto akizomewa musoma mjini utaiona
  3. O

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    Pole sana kama haujui kuna video mbili moja ni siku ya mkutano wa CHADEMA wananchi baada ya mkutano wa mnyika walifanya maandamano huku wakimuimba zitto msaliti hii ndo umeiona,na ya pili ni siku zitto akuhutubia alizomewa hii nayo nitaiweka hapa.
  4. O

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    Mtandao ukiwa vizuri naiweka,ACT walizani Musoma ni sawa na Mwandinga.Wameonja joto la jiwe
  5. O

    Picha: Kwa mwendo huu Vincent Nyerere anaifuta CCM Musoma Mjini

    Ngoja mtandao ukae vizuri naiweka,ACT mpunguze kihere here musoma siyo mwandinga
  6. O

    Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    Wamepata aibu ya mwaka zomea zomea ilitawala,MUSOMA siyo MWANDINGA
  7. O

    Mkutano mkubwa wa ACT - Wazalendo Musoma Mjini (Tarehe 20 Aprili, 2015)

    Waeleze pia jinsi wananchi walivyowazomea
  8. O

    John Mnyika akisindikizwa na wanamusoma baada ya mkutano, leo ni zamu ya Musoma vijijini

    Hadi uchaguzi ufike watu wa ccm mtakuwa mmeshapata presha
  9. O

    John Mnyika akisindikizwa na wanamusoma baada ya mkutano, leo ni zamu ya Musoma vijijini

    Kuota ndoto si vibaya,lakini ndoto za mchana ni tatizo
  10. O

    John Mnyika akisindikizwa na wanamusoma baada ya mkutano, leo ni zamu ya Musoma vijijini

    Safari hii CCM itatoka kwe.ye chama tawala kuwa chama cha Mapingamizi
  11. O

    John Mnyika akisindikizwa na wanamusoma baada ya mkutano, leo ni zamu ya Musoma vijijini

    kamanda John Mnyika alivyounguruma na kusindikizwa na maelfu ya wakazi wa musoma mjini siku ya jana,ziara inaendelea leo kwa upande wa musoma vijijini.CCM imebaki na SARE CHADEMA SERA
  12. O

    BAVICHA watikisa Musoma Mjini

    Wanaomboleza kifo cha CCM
Back
Top Bottom