Search results

  1. N

    Mliooa wadada wasomi wenye mishahara yao tupeni uzoefu

    Bora uwaambie..sio wote wako hivyo maana kila mtu na tabia yake. Huo ni uoga tu wa wanaume.
  2. N

    Ethiopia food

    Hivi kumbe ni mchele, wanatengenezaje huo unga wa Injera, wanakoroga halafu wanapika kama chapati za maji?
  3. N

    Wanawake wenye vitambi mnanikera sana

    Kweli kabisa ni point ya muhimu. Vitambi ni matatizo si afya na pia havipendezi. Tatizo hili lipo jinsia zote tu. Wote inatakiwa kuchukua hatua.
  4. N

    Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr. Slaa
  5. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Asante Cynthia Chriss I will watch out my dear. Naamini watu wengi wanafahamu urefu wao so sidhani kama ni tatizo.
  6. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Hapana, natafuta mume, huwezi kuolewa na mtu asiye rafiki yako.
  7. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Mrejesho lazima nitawaletea.
  8. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Asante Snail.
  9. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Umenichekeshajeee? Mimi ni mrefu so napenda kuwa na mtu anayenizidi urefu. Naamini hata wewe unavigezo vyako. Kunywa nimesema anaweza kuwa anakunywa lakini sio yule wa kunywa na kupoteza dira.
  10. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Asante MadameX.
  11. N

    Natafuta rafiki/mume wa kumujari 39-43

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mimi mi mwanamke mwenye umri wa miaka 35, elimu degree 2. Nimeajiliwa, dini mkristo. Mengine tutaelezana zaidi PM. Naamini Mungu anakutanisha watu sehemu tofauti na JF ni sehemu mojawapo. Kwa hiyo nami najitokeza kutafuta rafiki wa kumujari ambaye anaweza...
  12. N

    Elections 2010 Mkutano Wa Hadhara Wa Wana-JF [Online]

    Naungana na wadau hapo juu Mwenyekiti, tunahitaji Katiba na Kiongozi atakayerudisha nchi na watu wake kwenye mstari! Mambo mengine yatajipa tu!
  13. N

    Elections 2010 Ni nani wa kuyapinga haya pia?

    Mkuu Mwafrika pole sana inaumiza na inasikitisha sana miaka 50 baada ya uhuru, bado kuna watoto wanasomea katika mazingira haya. Bado huduma za jamii katika anga zote mijini hadi vijijini ni za kubabaisha. Ni watanzania wabinafsi tu wanaofikiri kinyumenyume, wasioona kitu zaidi ya matumbo yao...
  14. N

    Serikali Dar es Salaam yafuatilia kuchanwa mabango ya CCM

    Hata mimi nikikutana nayo nayachana tu, hawana mpya. Uongo tu na kulaghai wadanganyika na wizi wa kura ndo sera zao! Hivi watu hawamjui rais wao mpaka wabandikiwe mabango kumuchagua kama ametekeleza ahadi zake?? Maana wanasema ilani wametekeleza, sasa hofu ya nini na mabango kibao? Kibaya cha...
  15. N

    Elections 2010 Dr. Slaa: Mambo makuu matatu nitakayofanya nikichaguliwa kuwa Rais

    Hii ni babu kubwa nimeipenda, haya mambo ni mazuri yametulia, ushauri wangu kwa CHADEMA, kwenye Kampein zenu tumieni lugha rahisi ya kawaida kabisa isiyo na misamiati migumu ambayo wananchi wa kada zote watawaelewa mnachotaka kufanya pindi mkiikamata hii nchi (Lugha iendane na kundi la watu...
  16. N

    Elections 2010 CHADEMA Haijawafikia wapiga Kura

    Mkuu Mbogela umeona mbali, asante sana ....kwa kuwakumbusha, CHADEMA wanatakiwa wawafikie wapiga kura wa kada zote, wakumbuke biashara ni Matangazo. Wakumbuke pia kuwaambia wapiga kura kwamba kuchagua upinzani siyo kuchagua vita, maana chama cha mafisadi ndo mtaji wao kudanganya wananchi amani...
  17. N

    Elections 2010 Zomea Zomea Yaanza, Kikwete ana tabu

    Wakuu msilalamike sanaaa MOD wanafanya kazi yao ambayo ni ngumu, nawapongeza kwa hilo. Nadhani wanatoa na kudisha vitu kulingana na sababu. Haki ya mtu haizuiliwi(huwezi kuzuia), ila unaiweza ukaicheleweshwa tu. Hii haki ya wanajamii hapa janvini kupata/kutoa habari ya aina yoyote ile. Mbona...
Back
Top Bottom