Bosi wenu mpuuzi kwa nini hakufunga mlango,asingekamatwa. Halafu kafanya asubuhi asubuhi,kuna uwezekano jamaa aliona sms wakiahidiana kufanya hivo kesho yake asubuhi akawavizia.
Mwambie bosi wenu next time afunge mlango
Kuna jipu kitengo cha customs AIRPORT(JNIA).Ukiwasili na mizigo yako toka lets say china au dubai na ni ya biashara.Kuna wafanyakazi wa TRA wanakadiria kodi pale.Unakadiriwa lets say laki 5.
Halafu risiti unaandikiwa laki mbili na hiyo tatu unaambiwa umwachie dada wa dirishani pale...
Kwa upande wa bank ya kcb mi sioni kama kuna tatizo,kumbuka mteja hazuiwi kuchukua kiasi chochote cha pesa kutoka kny account yake unless kuwe na order ya kufreeze account kutoka taasisis za serikali ambazo ni BOT,FIU,PCCB,CID au TRA.
Kama serikali ingewahi kutoa freeze order kny hiyo bank hela...
Mzee usipanic. Unataka mawio lifungiwe kwa lipi?kwa kutoa habari za ukweli?nani anamdhalilisha mwenzake.
Makonda kajidhalilisha mwenyewe na sio mawio. Hiyo picha ni ya kweli.Kama mnataka gazeti lifungiwe kwa kusema ukweli sawa.
Nadhani imefika wakati kila mtu ahukumiwe kwa aliyotenda,siamini kama kuna kisasi katika hili.Suala la miradi kuwa chini ya kiwango kinondoni lilikuwepo kabla hata ya hicho kipindi mnachotaja.Tuache serikali ifanye kazi.Muda wa propaganda umepita. Sio sahihi pia kumhusisha lowasa na kila ufisadi...
Mara tu baada ya mlipuko wa bomu katika mkutano wa chadema arusha zilitoka kauli nyingi kutoka kwa wahusika.Sijui kama zilikuwa kweli au ulikuwa unafiki.Iliundwa tume ya kipolisi ikiongozwa na chagonja ambaye alianza na mikwara mingi sana arusha.Tabu ilianza baada ya mbowe kutangaza kwamba...
Kuna ukweli umejificha na wanataka kubadili ukweli uwe uongo ndo maana wanataka tume.Mwigulu na nape wameshatoa matamko mengi sana kuhusu kwamba chadema inahusika na ulipuaji wa bomu.CDM wanasema polisi ndo wanahusika.Katika mazingira haya ni bora iundwe tume huru ili ukweli ujulikane.Ili watu...
Mohamed umenifurahisha sana,mi pia nataka kuwaamini polisi ambao makamu wa raisi akiwa wilaya ya kinondoni polisi wote wanamlinda yeye kiasi kwamba hawawezi kulinda mikutano ya siasa ila wanaweza tuma gari sita kwenda kuzuia mkutano
Ndugu wanaJF,
Hivi sasa kuna malalamiko mengi sana yanatolewa na wananchi wa kada mbalimbali kuhusu kodi ya kumiliki laini ya simu.Viongozi wanalaumiana wanateteana wananyoosheana vidole.Wabunge wanalalamika(sio wote) vyama vinalalmika na kutoa matamko.Ukweli ni kwamba kodi hii haifai na ni...
mkuu chakaza...jibu lako ni sahihi sana.Ujinga ndo mtaji mkubwa wa ccm.Na maeneo hayo yenye watu ambao elimu ni tatizo na kila siku wanacheza ngoma mtaani badala ya kwenda shule ndo mtaji wa ccm na ngome yao kuu.Nadhani muuliza swali atafunguka akili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.