Search results

  1. samora10

    Mwakani hatutasikia kelele za kambi Tunisia wala Uturuki

    Ushamba tu unawasumbua utopolo... Preseason ina malengo mengi kubwa likiwa team kujiandaa na msimu mpya ila mengineyo yanajumuisha kubadilisha hali ya hewa, relaxation ya wachezaji na benchi la ufundi. Kiufupi ni aina nyingine ya Holiday kwa wachezaji na benchi la ufundi... Endeleeni kujifungia...
  2. samora10

    Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

    Duuuh, japokua sio 100% kama ulivyotabiri ila hii ni balaa!
  3. samora10

    Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Sema Mnapendaga kujitoa akili sana... Kabla hata ya kuuliza kama walitoa taarifa Jiulize Nusrat Hanje alieyekua Jela alitolewaje usiku gerezani na kwenda kuapa bungeni! Hujiulizi kwa nini COVID 19 wamefungua kesi chadema hawakupewa summons? Je mawakili wa serikali wanawatetea kina Mdee kama...
  4. samora10

    Kwanini Bango la TCD linakuwa na Nembo 5 tu ya CCM, CHADEMA, ACT, CUF na NCCR wakati vyama viko zaidi ya 20?

    Actually nembo zilitakiwa kuwa mbili tu CCM na CHADEMA!!
  5. samora10

    Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

    Inawezekana kuna Mungu wa aina mbali mbali aisee... Hatutakiwi kujudge but kama mungu yupo mmoja kama ambavyo naamini mimi huyo jamaa hapana
  6. samora10

    Hivi kuna siri gani kati ya Makonda na hawa GSM? Au ni mvuto tu?

    Pasco bana... huyo apakwe mafuta na nani? ogopa sana sponsor kufariki! Bashite analipia yote aliyoyafanya kwa mgongo wa madaraka na kukingiwa kifua na yule dikteta wenu ambaye mungu aliamua kutuponya nae! Naona bado mnaomboleza
  7. samora10

    Rais Samia wasaidie wananchi hawa wa Kigamboni kuna wakubwa ‘wanawapiga’ katika ardhi yao

    Aisee kama ni kweli huu ni ukatili wa hali ya juu sana! na serikali za mitaa zipo, diwani na mbunge wote wapo.. Mkurugenzi mwenyewe akipima ardhi hauzi kwa bei hiyo iweje mkubaliane na wawekezaji fidia za kinyama na kinyonyaji hivyo? Wenye access na Mama Samia wamfikishie hii clip atume watu...
  8. samora10

    Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Sema James lazima atakua nshomile tu.. strategy za kizamani mno hizo
  9. samora10

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Ben Saanane Mwangosi Kupigwa Risasi Lissu Korona Makondakta Miili kuokotwa kwenye sandarusi cocobeach Bastola hadharani kwa Nape Uvamizi Clouds Uchaguzi/uchafuzi wa 2020!
  10. samora10

    Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

    Wakati wenzenu wanaenda shule nyie mlikua mnaendesha magari ya maboksi mitaani... Kuna mahali umeona wameandika Lissu amemuombea msamaha Mh Mbowe?
  11. samora10

    Napingana na Mahakama kuzungumza na Mbowe peke yake bila watuhumiwa wengine, watuhumiwa watatu wanatetewa na Mbowe Kwenye Haki yao ya Kula?

    Jikite kwenye hoja.. na hoja ni kwamba washatakiwa hawali mchana kwa miezi tano, je hiyo ni sawa? hayo mambo ya nani na nani kaleta hoja au kusikilizwa na hakimu sio muhimu! tuna watu wa ajabu sana nchi hii..
  12. samora10

    Series (Special thread)

    Thanks, mzigo uko vizuri huu
  13. samora10

    Wanaohamia CCM wasibezwe! Wanaona mbali, 2020 Majimbo yote kurejeshwa. Je, tunarejea nchi ya chama kimoja?

    Kwa hiyo Pasco unatuambia kwamba kila mtu anatakiwa kua CCM? tukishakua ccm wote then itakuwaje hii nchi? maana kama hata wasomi wenye weledi kama nyie mnasifia tu hata ujinga sijui nani ataisemea hii nchi... huyo jamaa aliharibu nchi huo ndio ukweli haya mengine ni ubatili na njaa zenu...
  14. samora10

    Ndugulile: Tozo za Daraja la Kigamboni zipunguzwe kurahisisha maisha

    Huyu Mbunge nae hamna kitu kabisa, issue sio daladala..ni kwamba daraja la Kigamboni ni Huduma kama Huduma nyingine wananchi wanatakiwa kupita Bure kabisa maana nao wanalipa kodi kama wananchi wengine...kwa nini wananchi wa kusini hawalipi kuvuka daraja la Mkapa? Kule Mwanza wanajenga daraja...
  15. samora10

    Bunge lataka Watumiaji wa Daraja Tanzanite (Selander) Walipie

    Walipie tu ili wajue uchungu wanaoupata watu wa kigamboni..otherwise madaraja yote yawe free. Hata Lile la busisi kama vipi likiisha nao walipie tu
  16. samora10

    Hii ilikuwa Durban 1982

    Kwamba unataka tujilinganshe na Durban? Durban na Cape town ni miji ya kibeberu japokua ni africa hii hii...na imejengwa na mabeberu kutakakuilinganisha dar na durban ni kuikosea heshima nchi yako.. wakati durban inajengwa sisi huku tunahangaika na unga wa manjano ili wananchi wasurvive
  17. samora10

    Nilitahadharisha hapa kuwa 'Kesi' imemkalia vibaya 'Mwamba' na hachomoki kirahisi nikaishia Kushambuliwa

    Wafanye watakavyo ila harakati zitaendelea tena kwa kasi zaidi ya jana..
Back
Top Bottom