Search results

  1. Conah

    Fahamu maajabu yaliyopo ndani yako

    Ndio unaweza kutumia power of mind kupata pesa, kuwa tajiri, kusafiri nk bila kusahau kuwa na furaha ya kweli. Visit https://www.thesecret.tv/ na usome kitabu cha The Sicret by Rhonda Byren
  2. Conah

    Computer4Sale Anytech Computers Arusha

    Karibu Kaka
  3. Conah

    Computer4Sale Anytech Computers Arusha

    The ICT Company Providing wide range of ICT solutions to meet your entire business and personal needs. Our goods and services are backup up with warranty and after sale services. Our products include sales, repairs and maintenance of computes, printers, photocopiers and office machines...
  4. Conah

    Mwenge wa Uhuru upo kwa faida ya nani?

    Hakuna haja ya kuwa na mwenge kwakua umekua ukiwashwa na wala haukusaidia kufika malengo ya kumulika maovu na kuleta matumaini. Mwanga wa Mwenge ni ishara, lakini ishara hii inaligharimu taifa muda na fedha.
  5. Conah

    Barua kwako dada Josephine Mushumbusi

    Slaa hawezi kuwa na amani kamwe kwa dhambi ya kuvunja sacrament za kanisa: Atubu amrudie mke wake wa kwanza na watoto wake. Yoyote amwachae mke na watoto wake na kufuata zinaa apata laana.
  6. Conah

    Yaliyojiri: Lowassa kuchukua fomu ya Urais Makao Makuu ya CHADEMA

    8. Je CHADEMA mgombea akisha chukua fomu anapita mikoani kusaka wadhamini?
  7. Conah

    Jaji Ramadhani: Mniombee mapenzi ya Mungu yatimie

    Nakuombea Mungu Judge, napenda unyenyekevu wako na usafi wako wa moyo unao akisi usafi wako dhini ya rushwa na uchafu mwingine.
  8. Conah

    Kuvuliwa uongozi kwa Zitto: CHADEMA Mmejipangaje kuepuka propaganda za UDINI na Ukanda dhidi yenu?

    CHADEMA inahutaji uungwaji mkono na dini zote na kada zote, haimaanishi nafasi ya Zito ichukuliwe tu na mwislam ilimradi, bali ichukuliwe na Mwislam mwenye uwezo na wapo
  9. Conah

    Sumaye amuunga mkono Kikwete rushwa CCM

    Summay huyu huyu akiwa waziri mkuu na Mbunge alitetea na hatimaye kupitisha TAKRIMA huku akijua takrima ni rushwa, leo anajipambanuaje kuwa mpinga rushwa??
  10. Conah

    Ponda atuma salamu kwa watetezi wa haki

    Nakupa pole za dhati, na upa umma wa kiislam pole na wote walioguswa na maafa yaliyokupata. Naungana na wapenda haki wote kulaani matumizi ya nguvu thidi ya yeyote anyekwenda kinyume na matakwa ya watawala. Naweza kutofautiana sana na wewe katika masuala kadhaa lakini kamwe sikuombei kifo wala...
  11. Conah

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Kazi za msajili wa vyama zitafanywa na tume huru ya uchaguzi
  12. Conah

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Haki imetendeka
  13. Conah

    Naishauri CHADEMA kwenye M4C zake ielekeze nguvu nyingi kushinda uchaguzi wa serikali za mitaa

    Pia ni muhimu kuweka nguvu katika kushwawishi na kuhakikisha watu wanajiandikisha kupiga kura na kuhakikisha wanapiga kura siku ya kupiga kura
  14. Conah

    Kuna sababu ya kuwa na vyama vingi wakati miaka yote kinaongoza chama kimoja hicho hicho?

    Haja ya kuwepo kwa upinziani ni kubwa mmno, bila upinzani hakuna maendeleo, uwajibikaji na haki. Mageuzi yote tunayoyaona kisere, kiutendaji, kisiasa na hata kiutawala (mawaziri kujiuzulu nk) ni kutokana na uwepo wa upinzania imara. Kazi imebaki upinzani ushike madaraka na chama tawala nacho...
  15. Conah

    CHADEMA, mmeisoma hii? Wanasema uchaguzi ni maandalizi!

    CDM ni lazima ijenge mtandao kuanzia ngazi ya familia, shina nk. CCM inajua inadi kamili ya wanachama na wafuasi wake kila mtaa/kijiji lakini CDM inategemea zaidi kampeni za jukwaani bila kua na uhakika wa kura za kuaminika.
  16. Conah

    Hoja binafsi: CCM ibuni rangi mpya ya utambulisho

    Ukweli unabaki kuwa safu ya uongozi ya CCM imebadilika na mkutano mkuu wenyewe tu umeleta changamoto na kutarajia mabadiliko makubwa. Si sawa kuanza kuhukumu team mpya hata kabla haijaanza kazi. Hoja yangu ya msingi ni kua hata rangi za CCM zimekua kichefuchefu hivyo zinahitaji kubadilika.
  17. Conah

    Hoja binafsi: CCM ibuni rangi mpya ya utambulisho

    Baada ya mageuzi makubwa ya kuleta matumani na matarajio ya kurudishiwa imani yake kwa wananchi wa kawaida, ili CCM ikubalike tena kuanzia ngazi ya chini, nashauri hata rangi zake za utambulisho kijani na njano zibadilike. Tuibuni rangi mpya ya matumanini kwani rangi ya sasa inahusishwa na...
  18. Conah

    Kauli ya Kikwete Vs Mfumo wa Taarifa

    Huwa anawasiliana na watu wa kawaida kabisa na kuwauliza hali ya siasa na upepo ukoje, watu wanasemaje kuhusu hotupa fulani au action fulani nk. hii ni kutokana na kua mfumo wa habari unaegemea upande mmoja, watu wake wanapenda kumwambia yale ambayo akiyasikia yanamfurahisha na sio hali halisi
  19. Conah

    TBC kuonyesha uchaguzi live kuanzia saa 5 usiku hadi kesho asubuhi

    Wanajamvi na kerwa na tabia ya TBC ya kurusha live mikutano ya CCM inayoendelea Dodoma huku kikiwa chombo kinachoendeshwa na kodi za wa TZ, hebu tutete kuhusu jamob hili
Back
Top Bottom