Search results

  1. N

    Kuna taarifa kuwa wapinzani watasusia vikao vyote vitakavyoongozwa na Chenge, kwa kuwa ana kashfa

    Ukweli ni kuwa Uwepo wa chenge kama Mwenyekiti wa Bunge ni kejeli kwa serikali kuwa itapambana na ufisadi. Kama kinara wa madili ya mali za umma ndiye mwenyekiti, watanzania wategemee nini? Naamini shetani na Mungu hawataweza kuwa na shabaha moja kamwe. Namkubali sana Dr JPM lakini uwepo wa...
  2. N

    Wabunge wetu wa UKAWA wakitoka nje bungeni huenda wapi?

    Tatizo lako unataka wafikiri kijinga kama wewe. Wakati Zitto aliposimamishwa Bunge kwa tuhumu za Buzwagi watu kama ww walimwona hana akili lakini mda mfupi ukweli ukajulikana MUNGU akathibitisha ukweli mbele ya wanafiki. Lakini ipo siku utatambua lengo la Wabunge wa ukawa kutoka nje ya Bunge...
  3. N

    Kuhujumu vyombo vya habari ni kuwafunga midomo watanzania

    Ni aibu kuonataifa la kidemokrasia kama Tanzania kuanza Kuhujumu watanzania kupata habari za wale waliowatuma kuwawakilisha. Matangazo ya bunge ni kioo cha kutuonesha kama kweli wanatimiza wajibu wao au wameenda kulala ili kufanya maaumzi tena ya kuwachagua au la. Ajabu ninaiona ni kwa wabunge...
  4. N

    Tuige Korea Kaskazini kupiga marufuku shughuli za kidini

    Hata kama dini zisingehubiriwa.mungu yupo na ataendelea kuwapo.naamini ktk uwepo wa mungu aliye hai.
  5. N

    Kuna watu walizoea kubebwa!

    Tunataka mawaziri wa kuchapa kazi si a kugawana vyeo.
  6. N

    Hivi nchi hii inaongozwa kwa sheria au kwa kushtukiza?

    Tumeongozwa kwa sheria taifa likazaa wezi,mafisadi,na wazembe.acheni jpm atumie njia yoyote anayoona inafaa.
  7. N

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Neither chrisianity or muslim can justify the existance of god but only the non & ling creatures can do.
  8. N

    Utumishi/Hazina: Watumishi wa serikali walishwa mkono mtupu sikukuu ya Krismas na mwaka mpya

    Nimeipenda hii kuwa afisa utumishi akiwa amevaa miwani,huwatazama watumishi kama nyanya mbichi.
  9. N

    Biashara ya tution center italipa sana kuanzia 2016

    Naamini elimu itakuwa bora maana shule zitaimarishwa na walimu mori utapanda.maana madeni yote yatalipwa.
  10. N

    Magufuli msikilize huyu Mzungu!

    Kama ni mwekezaji asiyetuibia na anaetoa ajira,ni vema ukiritimba ukaondolewa kwa wawekezaji.
  11. N

    UKAWA: Mkakati makini wa kisiasa

    Ukawa ndo injini dr magufuli.muungeni mkono mwanaukawa mwenzetu aliyejichimbia ndani ya ccm.
  12. N

    Mh raisi:..tunaomba mrudi tena tra+bandari swala la vyeti...

    Hapa ndipo palipo na kazi.ondoeni hawa kwani hawakujua hata machungu ya kula maharage shuleni,wao walifikia mezani.
  13. N

    Maghorofa yaliyopangishwa kwa sh 100/= kwa mwaka na kwa miaka 15

    Ningeanzisha vita kama ingekuwa kweli
  14. N

    Fedha ya kugharamia elimu bure ilipitishwa na Bunge gani na ni kutoka fungu gani la Bajeti?

    Kama tunavojua kuwa hostel si program ya wizara au shule kwa wanafunzi wa kutwa.je,wazaz wataendelea kuwahudumia au srkl
  15. N

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Tangu lini wanaccn wakawa wasafi ili hali waliingia huko kulinda maslahi yao.
  16. N

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Nami nampongeza sana mhongo.namshauri tu kujua kuwa wazalendo ni bora kuliko wawekezaji wazungu,wahindi na wachina.
  17. N

    Hotuba ya Magufuli kwa Wafanyabiashara na Nchi ya matukio isiyokuwa na dira

    Hapa kazi tu.bunge la kwanza litumike kuondoa sheria mbovu zilizotungwa na mafisadi.
  18. N

    HOME SHOPPING CENTER ndio wamiliki wa GALCO ICD...

    Lazima wakwepa kodi watambue kuwa sasa kuna rais makini si kama mzee wa kitchen party.
  19. N

    Waziri Mkuu afanya ziara ya ghafla bandari, aamrisha kukamatwa kwa maafisa wa TRA

    Hao ni watu wakubwa sana ktk nchi hii.na huenda wengi ni wale waliojipatanisha na ccm wasikamatwe au kuguswa.
Back
Top Bottom