Search results

  1. S

    MWAUWASA mjitafakari

    Toka mmetoa hilo tangazo zaidi ya wiki 2 zilizopita, Kuna maeneo ya Jiji la Mwanza maji hayajawahi kutoka kabisa hata tone. Hivi kweli tumefika Huku? mnategemea watu wanaishije mjini tena bila maji? Inachukua muda gani kutengeneza Pampu ya maji? Kwenu hii sio dharura? Nadhani mnahitaji...
  2. S

    Kabla hatuja wafundisha "Wasiomini Mungu" juu ya uwepo wake, basi inafaa sisi "Tunaoamini Mungu" tumalize tofauti zetu

    Mi nafikiria tu Kwa sauti... Hivi Kwa mfano Waarabu na Wamishenari wasingekuja Africa kututawala na kutuletea hizi dini, labda ingekuwa sie ndo tumepata maendeleo mapema tukawa tumeenda huko, Uislamu na Ukristo ungekuwepo Africa? Na sie si tungekuwa tumeweza kuwashawishi waache dini zao...
  3. S

    Hongereni sana ATCL ila fanyeni na hili

    Safari imezinduliwa leo mkuu na hao uliowaona kwenye picha ndio waliosafiri, hao 6 ni wa lini? au umeshajua kwamba kesho na wiki ijayo watakuwa 6? #nonsense#
  4. S

    Hongereni sana ATCL ila fanyeni na hili

    Kongole sana kwenu kwa kurudisha na kusimamia ipasavyo safari za ndege hasa humu nchini. Ama kweli kazi yenu inaonekana. Pamoja na hayo, au kabla ya kufikiria kuanzisha route zingine za kutokea Dar, ni vyema sasa mkaunganisha mikoa mbalimbali na kuwe na direct flights kama vile MWANZA-DODOMA...
  5. S

    Nani zaidi, musabe schools au wizara ya elimu?

    Hili hata mimi limenikera sana! Tunaomba Serikali ikngilie kati kwa kweli
  6. S

    Kama umeibiwa kitu leo kwenye bombadier Dar-Bukoba, mwizi wako ni huyu

    Hata km ni tool box hutu jamaa hafananii km fundi wa ndege
  7. S

    Kama umeibiwa kitu leo kwenye bombadier Dar-Bukoba, mwizi wako ni huyu

    Labda nimemfikiria vibaya, lakini alitoa mzigo(hicho kiboxi cheupe) akafungua akatoa kitu na kurudisha mzigo ndani ya ndege, wakati ikiwa inashusha mizigo ya Mwanza ili iruke tena iende Bukoba
  8. S

    Anapigiwa salute juu ya Korosho ndani ya Fly Emirates(Special Display)

    Emirates from Moscow to Bangkok....Mh, NGUMU KUMEZA!
  9. S

    WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

    Wivu unaingiaje mkuu, kwani mimi ndo nilioukataza?
  10. S

    WCB kwa hili la kuidharau BASATA, hamtabaki salama

    BASATA ni chombo rasmi cha serikali ambacho kinafanya kazi kwa niaba ya serikali. Leo wametangaza kuufungia wimbo wa Mwanza na kuwataka WCB wauondoe kwenye digital media zao zote. Cha ajabu ni kwamba, badala ya kufanya hivyo wao ndio wanazidi kuutangaza tena kwa nguvu zote kuliko hata...
  11. S

    Tundu Lissu: Kwa mara nyingine tena Rais Magufuli ametoa kauli yenye ukakasi mkubwa kwa Uhuru wa Mahakama

    Hivi katika vyote vilivyofanyika leo, kweli Bwana Lissu ni hilo tu aliloliona?? Seriously?? Hata angetaja tu neno KOROSHO, ningemwona wa maana
  12. S

    Msanii Joti ana ya kujifunza kwa Martin Lawrence

    Akiigiza kama Martin Lawrence itabidi na jina abadilishe aitwe Martin Lawrence..
  13. S

    South Africa Airline yapata hasara ya Rand 2 billion

    Hi Hili shirika tatizo bei ziko juu sana! Wangeweza kupambana na mashirika kama KQ au ET kusafirisha abiria wengi waafrika wanaoenda Ulaya, US na ASIA! ila wao naona wanalenga mapedejee tu ndo maana sales zinapungua
  14. S

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Kila kipindi kina maudhui yake makuu.. Mambo ya muziki aliulozwq kwenye XXL na akatoa mziki mpya!
  15. S

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    M Mkuu kila kipindi cha redio/TV kina maudhui yake.. Personal life ya msanii ni moja ya maudhui hayo
  16. S

    Interviews za Ali Kiba zinaboa; Yeye kwake kila kitu ni "Personal"

    Kwani alienda redioni kufanya nini? Si kuulizwa maswali na watangazaji au...
Back
Top Bottom