Mimi hapa namtetea, kamuuguza mamaake more than 5 years. Kamchukua mamaake akaenda kukaa nae mjini. Hakumuacha huko kijijini. Kuuguza kuna garama mno, specially yeye mamaake ali paralyze kwa muda mrefu. Mwenyewe alishawahi kusema. Operesheni ilim cost zaidi ya milioni 20 hapo kuna dawa ambazo ni...
Ali kiba ndivyo alivyo . Sio mtu wa kupenda kwenda mbali
Mziki wake ukipendwa East Africa kwake ameridhika. Sio mtu wa kujionyesha. Mlijaribu kum compare na diamond wakati yupo tofauti. Diamond anapenda kwenda mbali zaidi. Na kupata mafanikio zaidi. Ila kwa miaka yote ya mziki amejitahidi mpaka...
Hii family wako poa sana. Kaka yao mkubwa anaitwa mahmood ni mtu poa. Nasikia kweli jamaa ni kweli alidhulumiwa na polisi. Ila kidogo ni mvutaji wa madawa labda siku hiyo alivurugwa akaamua aue polisi. Wanaishi faya. Na watu wanasema familia yote imekamatwa sio kweli
Hao wazungu wanaochanjwa kuzuia mafua ( flu jab) sio wote wanaochanjwa. Wanaochanjwa ni wazee ukiwa mzee kinga zako za mwili zinakuwa sio strong Na wenye matatizo ya ki afya ambao kinga za mwili zao hazipo imara. Na sio wazungu peke yao wanaochanjwa hata watu weusi, wahindi wanachanjwa...
Mimi nilivyokuwa mdogo nilikuwa nikitumwa nikachukue maji ya baridi tulikuwa hatuna fridge.nilikuwa nachukia mno,naenda na jagi langu, nakumbuka mpaka jirani akanichoka.baadae tukanunua freezer letu. Ila kama huna uwezo haina haja ya kuomba omba vitu vidogo vidogo unaweza kuishi bila kuwa...
Kuna kesi moja marekani jamaa alikuwa na now na mchepuko, mchepuko alikuwa anatumia dawa mahusiano yakaendelea gemu bila kinga. Mchepuko akaona hakuna haja ya siri tena aka confess kwa jamaa. Jamaa alishikwa na hasira alimpiga huyo mwanamke mpaka akafa. Jamaa alikamatwa. Alifungwa ila baadae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.