Search results

  1. A

    Ukijingiiza kwenye mahusiano na wadada wenye sifa hii umekwisha

    Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye? Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao mahusiano ujuwe wazi upo kwenye tabu ukilingamisha na raha atakayokupatia pindi unapomhitaji. Ukiwa...
  2. A

    Wanaume: Ushawahi kuwa na mwanamke mgomvi?

    Ni kweli kuna wanawake wagomvi, ila tabia hiyo inaweza kuwezekana ikiwa mwanaume ni dhaifu na ameonesha udhaifu toka mwazo. Mwaka fulani nilishuhudia bwana mmoja wa makamo akicharazwa fimbo na mke mdogo huku mke mkubwa akishuhudia. Chanzo ilikuwa mke mdogo alienda matembezi bila muwewe kujua...
  3. A

    Je, shule zikifunguliwa tarehe 01/06/2020 utaruhusu mwanao aende?

    Mimi wakitangaza shule zinafunguliwa waende tu maana hata sasa hakuna kinachozuia wasipate, mpira kwa sana, barakoa hazivaliwi nimekemea mpaka najishtukia, waende tu maana ni rahisi sana mazingira ya shule kuwakinga ukilinganisha na nyumbani ambako mara nyingi wazazi tunarudi usiku. Sijui kwa...
  4. A

    Aina 15 za wanawake ambao ukikutana nao unapaswa kuvaa condom

    Kama ukipima oil ukakuta haieleweki vaa kondom tena vaaa kondom
  5. A

    Baada ya maambukizi ya corona kupungua je baraza la Eid litakuwepo?

    Itakuwa ni maajabu kama balaza halitakuwepo wakati watu wamejazana kariakoo kutafuta nguo za sikukuu ya eid, wanaohusika wafikirie tena haya mambo, watafiti athari zilizopo mpaka sasa kwa waumini, wapime maambukizi mpaka sasa kwa waumini ndiyo wajiunge kwenye mkumbo. Hili jambo Africa...
  6. A

    Taji Liundi avunja ukimya kuhusu COVID-19

    Kwa sasa ni kiza kinene, tena kibaya cha kutisha, wengi wetu bado hatuamini au kupima ukubwa wa tatizo na madhara yanayokuja. endapo hali hii itaendelea kwa niezi mitatu ijayo. Hivi itakuwaje pale ambapo hakiba iliyopo imeisha na hakuna mbadala? Tutajipanga sokoni kugombania vyakula kama nchi...
  7. A

    TCRA tazameni sasa hawa Dstv

    Ukiona wanazingua jipinde upate decorder ambazo zinajali taratibu zetu
  8. A

    NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Unajua ni vema ukatumia akili ingalau kidogo ili kujibu, taarifa za awali ni muhimu kama uhalifu unatokea, mtu aliyetumwa kutoa taarifa alikuwa na vitambulisho, alikuwa namba za mmiliki wa kadi kikubwa ni kujiridhisha, kwa hiyo kutoa taarifa za kuzuia uhalifu usifanyike dhambi? ndiyo maana afisa...
  9. A

    NMB wamekataa kupokea taarifa ya kuzuia miamala baada ya kadi ya benk kuibiwa matokeo yake wahalifu wamefanikiwa kutoa pesa

    Nimesikitishwa sana na uzembe ambao Maofisa wa NMB- BANK HOUSE wameufanya na kusababisha wezi waliopora begi la kijana wangu pamoja na kadi ya Bank ya NMB wapate mwanya wa kuiba hela kwa kupitia kwenye ATM. Tukio lenyewe ni kuwa jana tarehe 27/02/2020 muda wa asubuhi kijana wangu aliporwa begi...
  10. A

    Uligunduaje kama mwanaume/mwanamke wako anachepuka, na ulichukua hatua gani?

    Kipindi hicho tupo chuo nilikuwa najaribu kujua uaminifu wa mpenzi wangu, hivyo nilitumia line ya simu ambayo haijui kutuma ujumbe wa kimapenzi nikijifanya ni ex-wake (wa zamani). Nilianza kwa kutuma ujumbe wa salam naye alijibu 'nami mwenzangu? nilimjibu kuwa mimi ni Dani (jina la ex wake)...
  11. A

    Sio kweli kuwa nyama ni ileile butcher ndiyo tofauti

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuona kama wanawake wanafanana kwenye maumbile au ladha nk. Nilichogundua ni kuwa ipo tofauti kubwa sana kwenye maumbile. Sio kweli kuwa radha ni ile ile wala usije ukadanganyika kuwa wanawake wote mambo ni sawa. Kwa nyakati tofauti nimewasikia wanawake...
  12. A

    Hapa ndiyo wanawake wenye ndoa zao wanapozidiwa kete

    Hamasa kwenye mapenzi ni moja ya mambo muhimu ambayo yanaweza kumfanya mwanaume azuzuke na kunasa kwa urahisi kwa mtu wake. Wanaume wengi ambao wanatabia za kuchepuka wanajua fika kuwa michepuko mingi inahamasa nyingi sana kuanzia miguno, mitindo na mbwembe za kila aina. Ni kawaida sana kwenye...
  13. A

    Umewahi kulipia chumba gesti, Kisha mtarajiwa akazingua?

    Hilo nakubaliana na wewe, yani mimi kitu kinachoitwa kubembeleza huwa sina kabisaaa, hivyo nanyoosha mikono
  14. A

    Umewahi kulipia chumba gesti, Kisha mtarajiwa akazingua?

    Mimi nanaona imekuwa ni kawaida sasa, kufika eneo la tukio halafu mechi kuahirishwa: Mara ya kwanza ilikuwa Mkoa fulani hivi ambapo tulikubaliana tukapige show, tuliingia vizuri tukapata chumba safi nikiwa nimeshalipa gharama husika, kwakuwa kulikuwa na mechi ya mpira baadae kati ya Yanga na...
  15. A

    Ilikuwaje ukajihusisha kimapenzi na mume au mke wa mtu?

    Hapa ndiyo dk 25 za kwanza zimeisha, bado 40 za kipindi cha pili, mwalimu wa watu amuwahi Mr. wake, leo lazma asingizie anaumwa.
  16. A

    Mtu mwenye picha na video za x anaweza kutafsiriwaje kitabia?

    Inawezekana kusiwe na sababu za msingi, ila ninachojua kwa wanaume kwa kiasi kikubwa hupenda kuangalia hizo picha, sababbu za kwanini wanapenda kuangalia zipo tofauti ila sidhani kama ni sahihi kubaini tabia ya mtu kwa kuwa tu amekutwa na video za x.
  17. A

    Nimetongozwa na muhindi, nampenda ila naogopa

    Jiandae tu kwa vituko vya kihindi
  18. A

    NAOMBENI USHAURI: Nimempa mimba, sikujua kuwa ni mke wa mtu

    Huelewi!! hivi mwanamke wako akikuambia hii mimba sio yako au mtoto sio wako wewe kama mwanaume unaweza kumlazimisha? kama hujui mambo ya wanawake nyamaza.
Back
Top Bottom