Search results

  1. F

    Nini maana ya haya maneno? "Kuku kukosa maziwa"

    Je, nini maana ya "kilichomfanya kuku kukosa maziwa"?
  2. F

    Nazi haiwezi kushindana na jiwe.

    Naomba mnieleze maana yake nini. Asante.
  3. F

    samaki aitwaye msia

    Ningependa kujua maana ya neno "msia". Je, samaki aitwaye msia au mzia ni samaki gani?
  4. F

    kole na mkole

    Tafadhali nieleze maana ya kole / makole na mkole / mikole na chanda la mnazi. Asante sana.
  5. F

    kipembe

    Je, KIPEMBE maana yake ni GEREZA?
  6. F

    Francais/Deutsch/Spagnola/Italiano

    Jambo. Kama ukitaka tafsiri kwa Kijerumani, nitakusaidia. Mimi ni Mjerumani. Kwa heri. Sabine
  7. F

    Jambo kutoka Ujerumani.

    Nawatakia heri ya mwaka mpya 2011.
  8. F

    POWA maana yake nini?

    POWA maana yake nini?
Back
Top Bottom