Search results

  1. Rugaijamu

    Mtwara: Maafisa Saba(7) wa Polisi wafikishwa Mahakamani kwa tuhuma za mauaji ya Kijana aliyekuwa akiwadai zaidi ya Tsh milioni 33.7

    Yale Yale ya wakina Abdallah Zombe kwa wale wafanyabiashara ya Madini wa Mahenge. Jeshi letu la Polisi Nchini,linaongoza kwa uhalifu.... Katiba mpya ndio Suluhu ya haya madhira
  2. Rugaijamu

    Ushauri: Umachinga haulipi; warudi vijijini kulima maisha yaendelee -- waache kusuguana na serikali

    Kwa hiyo kilimo ni shughuli ya watu walioshindwa maisha ya utafutaji mijini? Hii dhana ya kipuuzi mno,na haipo kwa watu wa chini (wa Aina Yako ) tu Bali Hadi juu kwa Watawala. Sijapenda
  3. Rugaijamu

    Pesa yako kwenye wallet ni kwa ajili gani?

    Binafsi Sina wallet na sitembei na pesa Kama Sina Mpango wa kununua ama kufanya malipo yoyote.
  4. Rugaijamu

    Jina libakie kuwa Jiji la Dar es Salaam ila lichukue maeneo ya kijografia ya Ilala

    Hata kabla ya maamuzi haya ya leo Dar es Salaam ilikuwa mkoa,na Jiji la Dar es Salaam lilikuwa ndani ya Mkoa huo.
  5. Rugaijamu

    Mkurugenzi wa shule ya UWCEA Moshi na viongozi wa mkoa wakanusha taarifa za kufungwa kwa shule hiyo

    Kwa hiyo Ile taarifa kwe website Yao aliiweka Nani? Au haikuwa website Yao? Ebu waache upumbavu
  6. Rugaijamu

    TANESCO mkoa wa Iringa mna shida gani? Kwanini kila siku kata ya Ifunda inakosa umeme?

    Mjomba, itakuwa huo mtaa wenu una kunguru wengi Sana. Waangamizeni kwanza
  7. Rugaijamu

    Foleni ya TAZARA na Buguruni kiboko

    Foleni imesababishwa na Nini ilhali Kuna Mfugale bridge hapo,na ndo mwarobaini wa foleni!!?
  8. Rugaijamu

    Kuna mtu keshanunua Azam ya Antenna?Mrejesho tafadhali

    Duh!! Hivi ving'amuzi vyao vya Dish wanauzaje siku hizi? Nataka niwahame DStv
  9. Rugaijamu

    Hospitali ya Amana: Daktari abainika kutumia Vifaa Tiba vya Serikali kutibu Wagonjwa na kujilipa binafsi

    Ndugu, hiyo ni kwa sababu Serikali ya Magufuli kwa karibia miaka miwili mfululizo haikupeleka fedha za ununuzi wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi huko mahospitalini. Hivyo, badala ya yeye kwenda kukemea hilo, apeleke kwanza hizo fedha
  10. Rugaijamu

    Barabara ya kutoka Mabibo NIT hadi sokoni kuingia Morogoro Road ni Kero Mno

    Niwashauri tu mnaotumia hiyo barabara,ili kukwepa hicho kipande Kama unatokea NIT kuelekea Magomeni tumia njia ya Mpakani shuleni Hadi Tip top,then ingia Moro road... Na Kama unaelekea Ubungo,Sinza Rudi Hadi Mabibo mwisho then uingie Kigogo road Hadi pale Shungashunga , then Shekilango ama...
  11. Rugaijamu

    Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

    Hakuna kazi ya wito siku hizi ndugu,hata hao watu wa dini wamegeuka wajasiriamali siku hizi....FUTA KABISA HIYO "MENTALITY"
  12. Rugaijamu

    Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

    Ndugu, hii kauli ya eti "ni wito" isiwe kisingizio Cha kuminya maslahi ya hao watu, tambua na wao Wana familia za kuzihudumia.... Wito bila utulivu wa fikra haiwezekani. Cha msingi ni kwa sisi Wananchi tunaoumizwa na hayo badala ya kuwalaumu watoa huduma hao, tuishinikize serikali iboreshe...
  13. Rugaijamu

    Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

    Ishinikizeni Serikali iboreshe maslahi ya watumishi hao, iboreshe pia upatikanaji wa vitendea kazi alafu ndio uwalaumu. Hao unaowalaumu kwa uzembe hapo ( kwe hospitali za umma) ndio hao hao wanatumiwa na hospitali binafsi ambazo unasifia huduma zao.
  14. Rugaijamu

    Waziri wa Afya, nenda tena Hospitali ya Mwananyamala

    Umemaliza yote Mkuu.... Inasikitisha Sana kuona Watanzania wenzetu wakishupaza misuli ya shingo kuwalaumu Watumishi wa imma wa nchi hii huku wakishindwa kabisa kuwasapoti kudai hayo maslahi yao..... Mwaka wa sita Sasa bila maboresho ya maslahi yao,na Kuna maeneo mengine huko kwe hospitali za...
  15. Rugaijamu

    Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa 6 wakiwa na mshahara ule ule uliopanda kwa mara ya mwisho mwezi July, 2015

    Watumishi wa imma wa nchi hii ni bure kabisa, wengi wao wamejawa woga, ubinafsi na unafiki mno... Wanashindwa kuitambua nguvu kubwa walio nayo. Lakini hiyo yote ni matokeo ya mfumo wetu wa elimu unaotumika "kuwapakaza" ujinga wahitimu badala ya kuwafuta.
  16. Rugaijamu

    Serikali yapiga marufuku mikusanyiko ya usiku kucha katika maeneo ya wazi Desemba 31

    Hilo tishio la usalama Serikali ituambie,ni kutoka wapi? Mbona hatukuwahi kuambiwa kabla ya leo kuhusu hayo matishio? Wawe wazi tu ugonjwa wa Korona bado upo na tuna kesi kadhaa mahospitalini kimya kimya
  17. Rugaijamu

    Waziri Jafo atamani Halmashauri zijitegemee baada kutembelea mradi wa Government City Complex wa jijini Dodoma

    Naona tunarejea makosa Yale Yale ya miaka ya mwanzoni baada ya Uhuru, ya kutaka serikali kuhodhi shughuli zote za kiuchumi. Tunakwenda kufeli tena Kama Taifa
Back
Top Bottom