Search results

  1. M

    Yanga inasikitishwa na Tamko lililotolewa na Mdhamini Sportpesa

    Juzi tu walishinda kesi ya Feisal
  2. M

    Kilometa za Magari yanayouzwa bongo zina uhalali?

    Japan hawana huo ujinga na kamwe hawawezi kufanya hvyo. Export Certificate itawaumbua.
  3. M

    Ukimuacha Tundu Lissu, hivi kuna Mtanzania mwingine ameshawahi kuhudhuria kipindi cha HardTalk?

    Nyalandu akiwa Waziri wa Maliasili 2014 alikaa uso kwa uso na Stephen Sackur kwenye Hard Talk. Jamaa Nyalandu ana English imenyooka safi na by then nilikuwa nje ya Tz kwa ngeli yake jamaa aliniinua sana mbele ya wale wenyeji wa nchi ile
  4. M

    Orodha ya vifurushi vyote vya ving'amuzi vya Tanzania. Je uko wapi?

    9999 Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    101.4 FM BBC World Service Dar es Salaam

    Hivi kuna mtu alishajaribu kuwasiliana nao (BBC) wakalitolea majibu? Nafkiri tuanzie hapo
  6. M

    Wenye magari: Mnaibiwa sana kwenye petrol station

    Vp pale kwenye kuwahi kutoa mpira huwa naona kuna mafuta yanakuwa yanachuruzika nahisi kuna yanayobaki kwenye mpira huwa hatuibiwi?
  7. M

    Mkuchika: Watumishi wengi wanalipwa mshahara kamili kwa kazi nusu au robo, wasioshinda maofisini kukiona

    Mi naona kazi wanazofanya na mshahara wanaolipwa sawasawa tu
  8. M

    Utaratibu wa kuaga maiti. Naacha wosia...

    Kwa kiingereza inaitwa "last respect" kama unaona haina maana ni sawa waachie wenyewe. In addition waweza kuandika wosia usiagwe Sent using Jamii Forums mobile app
  9. M

    Kwa anayeweza kuifanya Xiaomi mi 5c kushika 3G au 4G

    Hivi hakuna uwezekano wa ku-unlock hizo frequency bands simu ikaweza kuzi-access??
  10. M

    Kwa anayeweza kuifanya Xiaomi mi 5c kushika 3G au 4G

    Nilinunua Hongkong mpya kufika hapa ndio inaleta hiyo mambo. Haijawahi kuflashiwa
  11. M

    Kwa anayeweza kuifanya Xiaomi mi 5c kushika 3G au 4G

    N Natumia voda na tiGO zote zimekataa 3g na 4g zinaishia Edge tu. TTCL sijajaribu bado
  12. M

    Kwa anayeweza kuifanya Xiaomi mi 5c kushika 3G au 4G

    Kwa wanozifahamu Xiaomi ni simu za China (wanaziita Chinese apple) mi nina "Xiaomi mi 5c" lakini tangu imefika hapa Tz imekataa kukamata 3g au 4g, msaada plz wa kufix hii mambo
  13. M

    Biashara ya karatasi

    Karatasi multipurpose nyeupe A4 hz tunazotumia kwenye matumizi mbali mbali kila siku kama kwa photocopy n printing
  14. M

    Biashara ya karatasi

    Wakuu habari zenu. Nimeona kuna demand mkoa flani hivyo ninahitaji kufanya bussiness ya karatasi. Kuna mtu anafahamu humu wapi wanaweza kuwa wanauza karatasi kwa bei ya jumla apart from yale maduka ya stationers K'koo (let's say from 500 cartons. 1 carton ni box ambalo ndani kuna ream 5)
  15. M

    Tusikilize hotuba ya Zanzibar au Shinyanga!?

    Taifa gani? Zanzibar???
  16. M

    Walioiimba hii nyimbo ya bongo fleva ni akina nani?

    Hakuna kitu kinaitwa "hii nyimbo", labda ulikuwa unamaanisha "huu wimbo" Kweli kiswahili kigumu
Back
Top Bottom