Search results

  1. N

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    tunawapa hongera kama haki imetendeka,pia hatuna budi kuwashukuru wana igunga kwa uamuzi wao bila kujali wamechagua masihara dhidi ya umakini.la muhimu sana msisahau hatukuwa na mgombea pale ila sasa tumepata k zenu zina hesabikaure elfu 22 tuempunguza gap la kutoka kura elfu 35 hadi elfu 26,kwa...
  2. N

    CUF kwa nini tumefanya vibaya sana katika uchaguzi mdogo wa Igunga

    usitafute mchawi,cdm kiliunga mkono upinzani kwa lkipindi kirefu now wako juu na waneleweka kwa wananchi hamtaki kuwassuport coz nyie ni wabinafsi,mnapaswa kujiuliza sana,mwanzo wa mafanikio ni kujua chanzo cha tatizo
  3. N

    Luhanjo: Marufuku viongozi wa upinzani kualikwa kwenye mahafali sekondari

    Huyo ni mtu mkubwa sana na msomi anayeshindwa jua maana ya demokrasia!tuliona mengi uchaguzi uliopita kama ubunge na udiwani matokeo yalicheleweshwa vile hakika kwa watu viongozi aina ya kina luhanjo ni vigumu sana kuacha kutokea kwa umwagaji wa damu!kwasababu hawataki kuheshimu matakwa ya umma...
  4. N

    Elections 2010 Igunga: Mbunge kunywa sumu CCM ikishindwa

    mwenye akili timamu anajua mvuta bangi ni nani kati ya ccm na chadema,maendeleo hayatangazwiwau hujionea wenyewe,mkishashiba na kuongeza vitambi vyenu kama anavyoonekana huyo lusinde ndio miropoko inakuwa mingi!shibe ndio inakufanya uropoke!
Back
Top Bottom