Search results

  1. W

    20 Most Influential Young People in Tanzania

    Hii list haijakwenda shule maana muandaaji naona hakufanya utafiti wa kutosha wa hii kitu, maana amekaa kwenye computer yake Dar na kwa kuwa yeye anaamini hivyo anataka na sisi tuamini hivyo, mkuu fanya utafiti ndo uje na list sio kuifikiria tu kichwani, sina haja ya kupambanua zaidi maana wadau...
  2. W

    Mtangazaji huyu,

    Hivi jamani, kuna mtu amesema ameona kwenye facebook mtangazaji huyu anataka kugombea ubunge Iddi Ligongo, nikafuatilia na sikuona dalili hizo hata kwenye vyombo vya habari sijaona, sasa nataka kujua ni kweli kama mmesikia na hivi sasa jamaa yupo wapi, maana hata luningani simuoni.
  3. W

    Should you maintain contact or friendship with Ex-partner?

    Hivi wana ndugu mnaonaje, mawasiliano na mtu ambaye mliwahi kuwa na mahusiano siku zilizopita, mnaonaje imekaa njema? tena baada ya kuoa ama kuolewa!
Back
Top Bottom