Search results

  1. M

    Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

    Mchambuzi Nakubali kwamba Membe bado yupo katika nafasi nzuri kuelekea 2015. Lakini kama alitaka kujipima, basi matokeo haya ya kuwa wa mtu wa 6 kati ya 10 inaonyesha yupo "vulnerable" mbele ya wajumbe wa Mkutano Mkuu, japokuwa ameweza kupenya na kupata ushindi. Ukizingatia hao 6 wa mbele yake...
  2. M

    Elections 2015 Mgombea Urais CCM 2015: Ni Bernard Membe au January Makamba

    Mchambuzi Very good analysis - lakini umeharibu kidogo hapo mwisho kwa kudai humpigii mtu debe wakati huku mnampigia debe Tundu Lissu! haha Mosi, Tundu Lissu ni jembe lakini hana "temperament" ya kuwa Rais wa Tanzania. Period. Pili, Nakubaliana na wewe kabisa kwamba uchaguzi wa M-NEC CCM...
  3. M

    Malawi gives Tanzania's ambassador 48 hours to leave Malawi!

    Hii habari ni ya uwongo na ni ya kutunga kabisa. Gazeti hili linajulikana kwa kuandika habari za kumdhalilisha Rais Joyce Banda. Ni gazeti linalomilikiwa na Peter Mutharika wa chama cha upinzani cha DPP.
  4. M

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    www.hongo.crowdmap.com www.ipaidabribe.or.ke www.hatari.co.ke www.bribespot.com www.ipaidabribe.com http://vimeo.com/7838030
  5. M

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Kiranga Nadhani unachanganya mambo mawili muhimu ya kutazama hapa - (1) aina za wabunge na (2) aina za kuchaguliwa kuwa mbunge. Ni vitu viwili tofauti. Ibara ya 66 ya Katiba inaongelea aina za wabunge. Wabunge kama January Makamba waliopita bila kupingwa ni wabunge halali waliochaguliwa...
  6. M

    GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

    Ukisema jambo ni batili basi tuletee wapi katika sheria inasema mbunge aliyepita bila kupingwa ni batili. Naamini sheria za uchaguzi mnazijua wazi, na kama hamkupenda JMakamba apite bila kupingwa basi mngehakikisha amewekewa mpinzani kule Bumbuli na katika majimbo mengine takriban 10 ambayo...
  7. M

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    Swali: AnnieTANZANIA annie @JMakamba ulihudhuria hii semina ya wabunge kuhusu sekta ya umeme ya tarehe 26 june 2011? Jibu: JMakamba January Makamba @ @AnnieTANZANIA Nilihudhuria. In fact, nilikuwa Chair wa semina. When done, nikaletewa Shs. 280,000/=. Nikawaambia sistahili. I was working...
  8. M

    Januari makamba acha purukushani za Urais, huziwezi Baba!

    Only in JF hapa Mbunge akiisimamia Serikali yake ili itimize wajibu wake inavyopasa basi anaonekana kwamba aidha anataka Uwaziri au yupo kwenye purukushani za Urais! Ni wazi kwamba huyu jamaa anawanyima usingizi vigogo fulani ambao wanamuona uchapakazi wake na umakini wake unampa "mileage" mbele...
  9. M

    January Makamba: Mbunge wa aina yake

    Mnaona mchezo wa kuigiza huu jamani? Tayari wapo jikoni kupika "skendo" mpya ya NASDAQ. Mtu yoyote hawezi kudai eti anapambana na "ufisadi" wakati yeye mwenyewe ni kinara wa uzushi na uwongo. Kuhusu hiyo "skendo" ya "A MILLION DOLLAR EMAIL", wala huhitaji mtaalamu wa kugushi kwa mtu mwenye...
  10. M

    Riz1, Ngeleja Vs. Makamba Nani Ataongoza Wizara?

    Wala huhitaji mtaalamu wa kugushi kwa mtu mwenye akili timamu kugundua kwamba hiyo email hapo juu ni feki...tena huna hata haja ya kusoma maudhui yenyewe yaliyoandikwa unajua ni feki. Kwanini nasema hivi? 1) Mtu kutumia email address ya kazini kuomba rushwa, na tena kutaja kiwango chenyewe cha...
  11. M

    January Makamba: Mbunge wa aina yake

    Kutoka katika facebook ya January Makamba.... Dakika 5:20. "Matatizo... mengine ni kuhusu uzalendo na rushwa yaliyomo kwenye sekta, ni jambo ambalo ni kubwa na lazima tulizungumze. Kwamba sasa hivi kabla ya kuleta mradi wa umeme lazima uzunguke uzunguke, uongee na watu, ugonge milango. Sasa...
  12. M

    Elections 2010 Uwongo wa January Makamba huko Igunga

    Topiki zingine bwana. Kuhutubia namna hii kunakubalika kabisa katika kujenga ushawishi na kuwafanya wasikilizaji wajione wao ndio watu muhimu zaidi. Its part of the art of rhetoric speech making. You would think the Home of Great Thinkers would know this already.
  13. M

    January Makamba on Fuel & Energy: Kwa hali hii Mgao wa Umeme bado kitendawili

    Remarks by January Makamba at CEO Roundtable Dinner - 13 September, 2011 Friends, Ladies and Gentlemen, I would like to thank the membership of CEO Roundtable for your kind invitation to join you for this dinner and speak before you. I thank you Ali – for your stewardship of this important...
  14. M

    January Makamba on Fuel & Energy: Kwa hali hii Mgao wa Umeme bado kitendawili

    I would first advise you to read the CEO Roundtable speech itself before claiming it aimed to "disparate" JK's team. I think it was a sober speech that should not be interpreted on a political angle. Unfortunately newspapers are doing a bad job in reporting serious issues by cheapening them into...
  15. M

    January Makamba ajibu hoja hii ya Raia Mwema....

    Pengine nikukumbushe tu kwamba hili suala January alishawahi kulizungumzia huko nyuma. Kuna mahojiano alifanya na Absalom Kibanda na gazeti la UMOJA, na vile vile yamo kwenye maelezo ya ndani ya website yake binafsi: Jarida la UMOJA Aug 2010: "5. Je kuna uhusiano wowote wa kuwa kwako msaidizi...
  16. M

    Kibanda: Kikwete mchovu, Pinda dhaifu

    Maoni shupavu kutoka kwa Mwalimu wangu Kibanda. Nakubaliana naye kimsingi katika mengi aliyoyaongelea, hasa pale alipohitimisha... Zaidi ya kukubaliana na mdau hapo juu MwanaCBE ambaye kama mimi nastaajabishwa jinsi gani gazeti la Tanzania Daima chini ya uhariri wa Kibanda lisivyompa support...
  17. M

    Tanzania: The Legacy of President Jakaya Kikwete (2005-2015)

    Wana JF, Mimi nina wasiwasi mkubwa kwamba kama raia kwa ujumla wetu tumepoteza uwezo wa kufanya upembuzi wa jambo lolote la kijamii bila ya kuweka personal or political bias zetu pembeni. Naombea kwamba pengine hili ni tatizo tu hapa JF, na sio huko kwenye kaya zetu. Hivi kwa nini tumeishia...
  18. M

    Mbowe admits failure to declare assets

    Another inconvenient topic for JF thinkers, the See No Evil, Hear No Evil people.
  19. M

    Utafiti Synovate: Dk Slaa ang’ara urais

    Leo hii watu humu wanafurahia matokeo ya Synovate lakini mwaka jana waliwashutumu. Very short memories...
  20. M

    Membe vs January Makamba

    Mmeingizwa choo cha kike ndugu zangu! Januari hakuhusika na mjadala wa FB pamoja na Lisa. Watu tu humu JF wamemzushia ili kumchafua. Kwanza hamjui huyo Lisa, pili hizo siku za huo mjadala Januari alikuwa akifanya kampeni vijijini bila kuwa na mtandao au muda wa kubishana na huyu dada kwa siku...
Back
Top Bottom