Search results

  1. K

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Huna ujualo unaongozwa na chuki. Kama sasa hawana nguvu tena mbon vita mpaka sasa havijasitishwa sababu ikiwa bado malengo hayajafikiwa. Hivi unajua kwa miaka zaidi ya 16 wamekuwa wakiishi ndani ya gereza kubwa duniani wakiwa under total blockage? Na wamekuwa wakiuwawa kila wavamizi...
  2. K

    HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Israel inawachakaza wanawake na watoto au Hamas? Hebu tutajie Makamanda wa Hamas wanaojulikana waliouwawa tangu uvamizi wa ardhini takribani miezi 3 sasa? Malengo yote ya vita mpala sasa ni siku 96 hayajafanikiwa. Mateka hawajakombolewa, Hamas bado haijaangamizwa tunachojionea ni mapambano kati...
  3. K

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Takwimu ndogo tu ameweka @Choicevariables sina haja ya kuweka zaidi
  4. K

    Miaka 3 ya Hayati Magufuli vs Miaka 3 Rais Samia madarakani

    Nonsense. Nilidhani utakuja kwa takwimu kumbe ni maelezo ya jumla. Tutajie kukua kwa pato la Taifa ongezeko la ajira miundombinu FDI . Mapato ya nchi. Demokrasia nk. Twende kwenye hizo parameters na njoo tena na ulinganishi mzuri
  5. K

    Maharage Chande, Anza na hili huko TTCL

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Maharage Chande ni moja kati ya visionary leader na rekodi zinambeba. Tangu akiw Vodacom,NBC na DSTV. Very unfortunate kwa TANESCO it didn't work that good. Labda alihitaji muda zaidi ila the public outcry ya power outing ilihitaji immediate attention...
  6. K

    CHADEMA na TEC hawakutuma Mwakilishi kwenye Kongamano la Vyama vya Siasa?

    Kwa Lugha nyepesi huwezi tenganisha TEC na CHADEMA! Sawa uji na Mgonjwa. Mmoja anatoa maelekezo mwengine anatekeleza sio?
  7. K

    Rais Samia: Nani kasema Maendeleo yanaletwa na Kitabu? Mbona Vitabu vya Dini tunavikiuka?

    Wewe kweli Nyani..na ule msemo wa Nyani haoni kundule una kufaa kabisa. Nyuma tu hapa Shujaa wetu alitamka kabisaa kuwa haoni umuhimu wa Katiba mpya na akafifisha mijadala yote na hata pale mlipotingisha kibiriti cha UKUTA nyote mliufyata. Sikupata maoni yako kuwa Jiwe ndio Raisi mwenye uwezo...
  8. K

    Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Maiyanga1 asante kwa kung'amua hilo kuwa Wabondei walifurushwa kuelekea Bonde mpaka walipofika Muheza na vita maarufu kupiganwa maeneo ya Kivindo. Hivyo tunakubaliana kuwa sasa kabila dorminant Tanga mjini ni Wadigo na sio Wabondei japo baadhi walikimbilia Mnyanjani, Mwarongo na Dargube . Wale...
  9. K

    Barabara ya 4-8 na eneo lote la Ngamiani jijini Tanga kwanini serikali hailitendei haki kwa kuhimiza ujenzi wa nyumba za kisasa na kuondoa uchafu?

    Umekosea sana. Wenyeji wa Mji wa Tanga ni Wadigo ba sio wa Bondei. Afterall..wote hao kutoka Korogwe na Lushoto Tanga kwa maana ya Makao Makuu ya Mkoa ni nyumbani kwao na wana nasaba sana na mji huo. Tatizo Wabondei,Wadigo na Wasegeju ni wavivu sana suo wa chapakazi hivyo Wasambaa wameonyesha...
  10. K

    Lililoitwa Sakata la Bandari: Pumba zimeanza kujitenga na Mchele

    Wewe mwenyewe hiki ulichoandika kinaeleweka?
  11. K

    Tusio na adui wa kudumu tunasimama na Dkt. Slaa

    Mwenye Klipu ya huyu babu wakati amehongwa ubalozi na alipoulizwa juu ya haja ya kuwa na katiba mpya na akajibu kuwa Katiba mpya sio muhimu atuwekee hapa. Yaani huyu Mzee baada ya kutoswa ubalozi ndo anaropla maneno yote haya😃. Cha kufurahisha CHADEMA wameshamshtukia hivyo issue ya IGA na katiba...
  12. K

    Dkt. Slaa: Ubalozi ni Historical, hautafutika. Nilishawapa ruhusa wauchukue wakitaka sababu Siko tayari kuhongwa ili nisiongee!

    Huyu Mzee fix sana..mbona alivyohongwa mara ya kwanza kwa kupewa ubalozi alikaa kimya na amelbuka sasa hivi
  13. K

    Tamko la Baraza Kuu la Jumuiya za Ansaar Sunnah Tanzania (BASUTA) kuhusu mkataba baina ya Tanzania na DP World

    Ukitaka kujua brain zao halisi muangalie Prof Nguli na former CAG prof Assad au the Fullbright professor ambaye rekodi yake UDSM haijawahi kuvunjwa Prof Lipumba..bado sijamtaja Dr Dau one of the very bright former student pale UDSM ... ndo utajua wakoje...
  14. K

    Foleni barabarani yasababisha tutumie saa 12 kutoka Dar mpaka Morogoro

    Sio ujinga ni uchizi kabisa uliochanganyika na chuki. Shida wengi humu wamejaa chuki kubwa kiasi wanashindwa hata kuwa objective kwa wanachozungumza wakisaidiwa na kujificha nyuma ya keyboard! Hovyo kabisa
  15. K

    Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

    Huna ujualo. Unadhani chuo kimetolewa kwa kupenda? Waswahili wanasema sura zimeumbwa na haya na ukila na kipofu usimshike mkono...wewe ma bilioni ya kila mwaka ni sawa na majengo ya kile chuo? Bil 36 kwa mwaka mmoja tu ni zaidi ya gharama za yale majengo ya chuo
  16. K

    Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    TEC ni chombo kikubwa sana. Kuja na tamko kama hili la kiujumla bila kuwa na takwimu na mwisho kuja na conclusion ya kutotidhia. Kusema kuwa Wananchi wengi hawaungi mkono, kwa takwimu zipi? Asilimia ngapi inapinga na ipi inakubali? Hebu tuchukulie hoja ya kuwa lazima wengi wasikilizwe..vipi...
  17. K

    Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Hongera kwa upembuzi yakinifu kwa takwimu. Tatizo ni kuwa chuki imetamalaki juu ya Dk Samia hutaona watu wakikosoa takwimu linganishi ulizotoa. Utaambulia kejeli kama tulivyoanza kuona kutokana na chuki kwa kiongozi aliyeko madarakani..purely pathetic!
  18. K

    Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

    Hao watetezi wa Haki walikuwa wapi kuwaita au hata kukemea pale Dk Samia Suluhu Hassan alivyokuwa akitwezwa, kutunwa na kudhalilishwa kwa kila aina ya kejeli akiitwa Mwizi, kichaa. akili matope n.k. Ushauri wangu wakae kimya kama walivyokaa kimya kabla. After all Raisi anahusikaje? Wanashikiliwa...
  19. K

    Jopo la Wanasheria 10 kuwaburuza kortini wanaotumia lugha ya matusi katika mjadala wa Bandari

    Wale waliofungua kesi ya kupinga pia wote wametoka dini ile ile. So ngoma draw! Kama Mbwai na iwe Mbwai basi
Back
Top Bottom