Search results

  1. Kyokola

    Kuwa first born sometimes ni shida

    Asante kwa kunisahihisha mkuu
  2. Kyokola

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    [emoji23][emoji23] kazi iendelee, naona kibao kimewageukia. Huku utasikia mke wangu kanisaliti, hatujakaa sawa mwingine kadakwa anachoma nyumba ya ex boyfriend. Hatujatulia huku mwingine mke kasepa home basi inakua tafrani tupu.
  3. Kyokola

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Mwanamke ni mvumilivu mno, lakini akifikia point of no return ni ngumu mno kumshawishi arudishe majeshi.
  4. Kyokola

    Mke wangu hataki kunisamehe. Nifanyeje?

    Hii rate ya wanaume kulalamikia wanawake humu jamvini inazidi kuongezeka kila kukicha.
  5. Kyokola

    Kuwa first born sometimes ni shida

    Wanaitwa deputy parents au wazazi waandamizi [emoji3]
  6. Kyokola

    Kuwa first born sometimes ni shida

    First borns are automatically deputy parents [emoji23] ukiwa mzaliwa wa kwanza yani wewe unakua ni mzazi mwandamizi [emoji3]. This is Africa, ndo tunaishi kwenye hizo falsafa.
  7. Kyokola

    Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Safi, anzeni upya. Mkivuka hapo wote mtakua makini maana kila mtu atajua thamani ya ndoa yake na hatataka kuipoteza kijinga. Mara nyingine misuko suko katika ndoa ndo inayoleta uimara.
  8. Kyokola

    Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    Mnapendana nyie [emoji23]hebu kaeni muyajenge mumalize huo utata. Huko huko lodge mkikutana zungumzeni ili mumalize tofauti zenu. Nobody is perfect brother, usiache mkeo
  9. Kyokola

    Nimemkumbuka mke wangu baada ya kuachana

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] mshaanza kujiiba? Hamuachani nyie [emoji23]. That’s a good step, endeleeni kujiiba mwisho wa siku mambo yatakaa sawa. Big up kwako mkuu
  10. Kyokola

    TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Alikua muungwana sana, mwenye kujali utu na hekima . Mungu awape faraja wote walioguswa na msiba huu.
  11. Kyokola

    TANZIA Anna Elisha Mghwira afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Mount Meru

    Sad [emoji17] news. Mungu awafariji familia yake
  12. Kyokola

    Samaki waelea ufukweni Dar. Serikali yachunguza chanzo…

    Hofu yangu ni hao samaki kuingizwa kitaa na kuuzwa. Maana raia tunanunua tu pasipo kujali. Ukikuta wamepangwa utachagua tu pasipo kujua kama wameokotwa na hawajavuliwa.
  13. Kyokola

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Nimekazia tu mkuu, hujakosea chochote.
  14. Kyokola

    Njombe: Wapenzi wafariki wakiwa wamelala chumbani na jiko la mkaa

    Haemoglobin huungana na oxygen kwa asili, ikitokea carbon monoxide imezidi kwenye damu kunakua na competition kwenye binding site ya haemoglobin. Haemoglobin ikiungana na carbon monoxide inakua sumu moja mbaya sana
  15. Kyokola

    Wilaya zenye baridi sana Tanzania

    Ukonie bhaabho [emoji3]
  16. Kyokola

    Lulu ajifungua mtoto wa kiume...

    I’ve gone there thrice
Back
Top Bottom