Search results

  1. gambakuffu

    Viwanja vya starehe na burudani vilivyovuma sana ila leo havipo tena

    Bora umemwambia, nishapekuliwa wallet uzuri pesa nyingi niliisunda ndani ya bag. Sina hamu na mademu wa Arusha nikifika huwa nawaona kama mabroo tu sishoboki nao, mi mitungi tu nikichoka haraka kulala. Halafu yanatongoza hadi wanaume haki wallah
  2. gambakuffu

    Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

    CBD ndo kitu gani mkuu. Hebu tupe ufafanuzi
  3. gambakuffu

    Msaada: Dar to Iringa na Boxer naombeni uzoefu wenu

    yaani anamaanisha akifika Iringa, arudi Dar kwa kupitia Dodoma
  4. gambakuffu

    Ni miaka saba imepita tangu niage Arusha 2016, kipi kimebadilika hadi sasa?

    Miaka ya 2019 nilipata demu m1 white mkali sana ni mhudumu wa vinywaji anaitwa lugendo, wenzie wanamwita luge. Ni mzuri sana kama Arabic flani hivi
  5. gambakuffu

    Hiyo Dar yenu inapigwa bao siku si nyingi

    Yani hilo suala la kuifuta dar halipo, dar itabaki kuwa dar na umuhimu kwa Tz uko palepale
  6. gambakuffu

    Biashara ya ngono ndiyo biashara inayofanywa na Wanawake wengi zaidi

    WANATUOKOA SANA WENGI WETU HUMU ILA HAWAWEZI KUKIRI, NILISHANUNUA NYAPU MITAA YA KARIAKOO TOTO LILIKUA HOT SIWEZI HATA KUSAHAU, NIKAJIULIZA WAOAJI HAWAIONI MALI HII HADI IKATUMBUKIA KWENYE UKAHABA
  7. gambakuffu

    TANZIA Dkt. Ibrahim Msabaha afariki dunia

    Apumzike kwa amani mbunge wangu wa zamani jimbo la kibaha
  8. gambakuffu

    Katibu Mkuu wa TUICO afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi

    Hivi vyama vimekuwa ni sehemu ya upigaji na inaonekana vina pesa sana... Nimeanza kuelewa hata bwana maganga akagomea uteuzi wa mh Rais Ili kulinda kiti chake pale CWT
  9. gambakuffu

    MSAADA: Utukutu wa mtoto wa ndugu yangu unanishinda, anafanya matukio kila kukicha, nifanyaje?

    Huo ni mzigo wako mkuu maana tumeambiwa kila mmoja ataubeba mzigo wake mwenyewe. Hakuna mwanadamu hana mzigo wake so jipange namna wa kuishi nao na ndo maisha hayakosi mizigo au changamoto
  10. gambakuffu

    Kuna la kujifunza hapa kuhusu kuiga mambo

    Kwaiyo unataka kusemaje kuhusu wahasibu
  11. gambakuffu

    Mke wangu anatazama Cartoon kuliko Watoto wetu

    ma'last born utawajua tu :D
  12. gambakuffu

    Kwanini wakurugenzi wa makampuni makubwa ni Wahindi?

    Kwanini hao wakuu wetu jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
  13. gambakuffu

    Nahitaji mtu aliyekatakata body la Freelander 1 2004

    toyota ndo brand zetu mkuu na mtu akijichanganya kutaka utofauti akubali kubeba gharana zake
Back
Top Bottom