Search results

  1. C

    Eti mwamamke haachwi anapunguziwa tu mawasiliano

    hao wanawake mnaorudiana nao kila wakati mnawatoa wapi, huwa wana akili timamu kweli,
  2. C

    Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    we naye sasa unataka tupost nini, ndo maisha haya haya na chalenge zake, na ushauri unaupata kwa watu,yes yalishawatokea wengine mie sio wa kwanzal au ulitaka niende kwa mwenye kiti wa nyumba kumi ndo nimwambie
  3. C

    Tusaidiane ushauri juu ya mahusiano haya

    mapenzi bana ni temporaly madness,yaani unajifanya huoni kabisa, unajikuta unavumilia mambo ya ajabu tu, hadi baadae ukiwa kwenye akili zako timamu unajishangaaa,
  4. C

    Hebu nipeni ushauri wanajamvi

    kwa hiyo wewe sio kicheche kwa tabia zako hizo, ulipovua boxer yako ulikuwa unajua unamwabudu Mungu
  5. C

    Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    ndugu ndo yameshanikuta hivyooo, roho inaumaje sasa, ntamsahau tu
  6. C

    Mpenzi wangu kanipotezea, msaada wa mawazo tafadhali

    Juzi nime amaka asubuhi, nikafungu facebook, kitu cha kwanza kuona ni mpenzi wangu amecomment kwenye post yake kwamba ana belong kwa mdada fulani ,jina akaweka sio jina langu, baada ya kama nusu saa akaupdate status yake kuwa he is in a relation ship, baada ya dakika mbili akaweka picha ya...
  7. C

    silent treatment sucks like hell

    thank you, tunaishi mikoa tofauti, na kutoka hapa ni mpaka nipate likizo ambayo ni mwezi wa kumi, ila sijui jinsi ya kudeal na hii situation mpaka hapo nitakapo pata muda wa kuonana nae in person
  8. C

    silent treatment sucks like hell

    tunaishi mikoa tofauti, na hapa job hata kutoroka weekend moja siwezi, nimebanana, likizo yenyewe mpaka mwezi wa kumi si ntakufa jamani, maumivu ni makali mpaka basi
  9. C

    silent treatment sucks like hell

    ipi njia sahihi ya kudeal na mpenzi anaeamua kupiga kimya tu, one day before mmeonge vizuri tu hadi mipango ya ndoa mkaongea, mkaulizana kabisa kama wote mpo tayari kwa ajili ya ndoa, yaani mazungumzo moto moto ya mapenzi, halafu kesho yake tu, hapokei simu, hajibu message, hafanyi kitu chochote,
  10. C

    Inaniuma!

    smart lady, acha kulia kulia, mpige bit la uhakika, mwambie na akiendelea na hizo calls sijui mesage mwambie utamwambia mke wake, akiendelea zipeleke kweli kwa mke wake au kubali kuonana nae kisha muite mke wake aje hapo, unamuhurumia nini wakati amekutenda, watu wengine bana anakuacha kwa...
  11. C

    Inakuwaje mnaamini kirahisi hivyo?

    usidhani huwa unawakomoa wale unaowagegeda, wengine wanakutumia tu ,huku akiendelea kumsubiri ze one hahaha hamu zake zikiisha anasepa na kama huchezi vizuri unaachwa kama mti, bora kuwa peke yangu kuliko kuwa na mtu haniridhishi halafu simpendi
  12. C

    Inakuwaje mnaamini kirahisi hivyo?

    saa nyingine huwa tunakubalai ili tunajua tunadanganywa, halafu ukikubaliwa mtongozo haimaanishi umependwa ndugu yangu wengine huwa tunakuwa tumemiss mtalimbo tuu,basi nakukubalia ili nipate service yako ila akitokea ze one nachapa lapa lol
  13. C

    Mwanaume anayekataa kutunza mtoto wa mke yuko sahihi?

    nadhani haya makubaliano yanatakiwa yawe ya watu watatu, mme mpya, mama mtoto na mme wa zamani, wote waridhie mtoto atapewa mahitaji yote na mme mpya, kilichopo hapa baba mtoto hakushikishwa kwenye makubaliano haya ni kama analazimishwa kutengwa na mtoto wake, mtoa mada anasema haeleweki...
  14. C

    Mwanaume anayekataa kutunza mtoto wa mke yuko sahihi?

    haya mambo ni rahisi sana kuyaongea utekelezaji wake ni mgumu sana tena sana
  15. C

    Mwanaume anayekataa kutunza mtoto wa mke yuko sahihi?

    ni hatari kweli, mimi nina dada yangu ana watoto wanne, wawili wa kwanza alizaa na jamaa hakumuoa, ila jamaa yupo njema sana, huyo baba huwa anatuma pesa kwa ajili ya watoto wake, kawajengea na nyumba kabisa ili wasipate tabu, dada yangu mimi akaamua kuleta bwana mpya(mme wa mtu) kwenye ile...
  16. C

    Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    mbona unanitisha, so huwa mnasimliana kila kitu?
  17. C

    Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    sasa tabia utaijue kama kama mtu humpendi bana, nampenda na nikiwa karibu nae ntafahamu vingi kuhusu yeye
  18. C

    Mbinu rahisi za kumtokea mkaka

    i love you, kama ni yeye lakini
Back
Top Bottom