Search results

  1. anania

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    HII SIO GRAMMAR NI LITERATURE MBONA KWETU TUNAELEWA TU.NA SI UNAJUAGA MAMBO YA PERSONS AU UMESAHAU?SIKU HIZI NA WEWE UNAKADIGIRII NINI?TUSIFANYE MAISHA MAGUMU KUJIFUNZA KITU KIPYA HAKUHITAJI GRAMMAR
  2. anania

    Mama Sitta siamini umefikia hatua ya kuwatetea waliovunja sheria za nchi

    JAMANI KWELI JAMII FORUM YA ZAMANI SIO YA LEO.HAPO NI KAZI RAHISI TU,UNAMSHIKA MWIZI UNAMSHUGHULIKIA HALAFU ATAKUELEZA AMETUMWA NA NANI FULL STOP.PIGA MWIZI KWANZA NDIO UNAMFUATA ALIYE MTUMA.
  3. anania

    Service charge ya TANESCO imeongezeka kimya kimya

    Mkuu inamaanisha wamekata service charge ya miezi miwili,kuna mwezi ulipita bila kununua umeme.
  4. anania

    CHADEMA Inakubalika sana Kilombero

    Uwingi wa kamasi hauendani na ukubwa wa pua.na kama ni kweli naomba unikumbushe mbunge wao ni wa chama gani?kumbuka kura ni siri,unaweza ona mikutano imejaa ukajua wote ni wamoja kumbe ni maafara wa mamba
  5. anania

    Tambua Aina na Malengo ya Mahusiano Baina ya Mwanamume na Mwanamke

    Hujakosea mkuu,safi sana kwa mwongozo wako mfupi lakini wenye mafunzo makubwa.
  6. anania

    Believe it or Believe it not: September 11, 2011 Twin tower were hit by Military Plane

    Alashabaab wamekili kuhusika na west gate iweje useme wamarekani wanawashambulia waislamu Kenya?
  7. anania

    Hali mbaya kiwanda cha makaratasi 'mufindi paper mills'

    Mkuu kufungwa kwa kiwanda si hila mbaya ya selikari ila ni hao wahindi(rai group)wanawafanyisha kazi bila kuwalipa wafanyakazi mishahara mizuri.siku zote wahindi hupenda kuwachonganisha wafanyakazi na selikari ili wao wapate faida.vipi mkuu laki na nusu mlipata mwaka 2008?na mpetu bado ipo?
  8. anania

    Ephraim Kibonde;kuwaponda bank tellers kuwa ni wezi

    Mkuu upo sahii kabisa kuna watu humu ndani hawaelewi lakini wanashabikia na kutoa taarifa za uongo,jamii forums kwangu mimi ni sehemu ya kupata somo na kutoa somo la ukweli pasi na shaka. Mtu anakuja anatoa scale ambazo hazipo,kwa mfano kuna watu wanafanya kazi kwenye kiwanda cha karatasi...
  9. anania

    Viwanja vilivyopimwa(surveyed) vinauzwa bagamoyo

    Acre moja ni square metre 4900(70mx70m)
  10. anania

    Tecno p3.

    Mkuu kuna application. IPO kwenye assistance inaitwa quick office download. Then itafungua pdf
  11. anania

    Kuku wa mayai wanamiezi miwili wameanza kutaga wanauzwa mwanza

    Mkuu acha kudanganya umma hakuna kitu kama hicho
  12. anania

    Man of her dream

    Man of her dream,yupo sahihi kabisa pengine wewe ndio hujui kimombo kama mimi.Yaani umeshindwa hata kugoogle tu halafu unaanza kumponda mwenzako,kinacho hitajika ni je umemuelewa hata kama katumia kichina au hata ishara tu>
  13. anania

    Sifa za wakurya.......

    Kinyume chake ndio sahihi
  14. anania

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    Siamini kaka Great Thinker wana nafasi kwenye maisha ya kiroho.Hebu jikumbushe kuzaliwa kwa Yesu na kuumbwa kwa ulimwengu wewe kama great thinker unaweza ukaelezea kibinadamu? Upande wangu naamini asilimia mia kuwa wote wanaoenda huko wanataka kuwa na pesa nyingi zaidi.Ukiamini katika roho na...
  15. anania

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    amen,amen amen
  16. anania

    Coordinator wa SCOAN Tanzania

    1.Kaka kama kweli unashida ya kwenda Nigeria na umeambiwa uende saa moja, kwanini ushindwe kufika? 2.Mbona ukiwa unasafari ya mkoani saa kumi na mbili huwa umeshafika Ubungo? 3.Au unataka kupewa ucoordinator sasa umeamua kufanya kampeni? 4.Je huyo Martha kwanini usingemwambia mwenyewe kama...
  17. anania

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu nashukuru kwa ushauri wako,usituchoke.
  18. anania

    Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Mkuu habari ya kazi Kichwa, Nina kuku wekundu wa mayai kutoka Malawi. Tatizo lao ni kwamba kila wakati wanaacha midomo wazi iwe mchana au usiku na wanatoa sauti kama vile kuna kitu kwenye koo kinawabana na wanapungua uzito. Je, watakuwa wanasumbuliwa na nini? kwani nimewapa dose ya minyoo...
  19. anania

    Kifo cha gazeti la MwanaHalisi, Je wameshidwa kuliendesha?

    Unafikiri usipo nunua wewe kwa ajili ya kununua magazeti ya udaku unadhani na wengine hawanunui?au mwanahalisi wamekuomba msaada uwasaidie kwa sababu ya kufilisika, tuweke wazi.Au kwa sababu hawajaandika habari za kanumba?ukitaka kitu ni lazima ujue sehemu kinapopatikana,sio wewe unataka bangi...
  20. anania

    Ndoa ndoano!

    nimeipenda sana mkuu
Back
Top Bottom