Search results

  1. D

    Hiki si kisasi huu ni unyama!

    adhabu ya kosa si kosa bali ni adhabu. wote mke, mume na hawara wote wamekosa mbele za Mungu na mbele za binadamu yeyote mwenye akili timamu. Wamemtenda uovu mtoto asiye na hatia. Mama kazini, kamkosesha mtot haki ya kumfahamu baa yake na mume kapoteza sifa ya kuwa mume baada ya kubaini mkewe ni...
  2. D

    Nipo njia panda

    Fanya maombi, jifungie peke yako ikibidi siku nzima ukitafakari juu ya maisha ya utoto hadi sasa, tafakari ndoto za baba unayetaka kuwa. Kwa sababu wote wawili unawafahamu ingawa wa kwanza (34) unamfahamu hadi nyumbani kwao. Rejea enzi za wazazi au mababu zetu, wanandoa walichaguliwa na wazazi...
  3. D

    Guys tunachohitaji toka kwenu ni kidogo sana....................

    mahusiano ndani ya ndoa ni vigumu kujadiliwa nje ya mke na mume husika. utakalodhani linafaa kwa mume, ni kwa huyo wa kwako lakini likitumiwa na mwingine kwa mumewe, huwenda lisitoe manufaa kama kwako. I think every man/woman anatakiwa kumsoma mwenzi wake na kumuelewa anapenda na hapendi nini...
  4. D

    Kina Dada sometimez tunajitakia matatizo hii mnaionaje ?

    nampa pole sana huyu binti, anahitaji ushauri nasihi kuhusu maisha kwa jumla kwa sababu uzoefu unaonyesha mabinti wengi katika umri wa kati ya miaka 20 na 26 wanakuwa na shauku ya kuolewa na kwa bahati mbaya, naweza kusema hivyo, umri huo umemkuta akiwa katika maisha ya dhambi. nikimaanisha...
  5. D

    OilCom inahusika kuchakachua mafuta?

    Wana JF nashukuru kwa kunipongeza kwa kazi ninayofanya, inanipa faraja kwa baadhi kuniongoza pa kuelekea katika suala hili. mmoja wetu alitamani kujua zaidi kuhusu Oil com ingawa maelezo yake yanaashiria kuwa anataarifa zake kwa kiasi fualani. alihoji kuhusu tetesi zilizokuwepo kwamba kampuni...
  6. D

    OilCom inahusika kuchakachua mafuta?

    Salaam wanaJF, Kama umesoma taarifa yenye kichea cha habari "Oil Com inahusika kuchakachua mafuta", tutaelewana vizuri katika taarifa hii ambayo ni muendelezo wake. Dereva aliyejitambulisha kwa jina la Sulusi Alex Mkude amekiri kuendesha Scania la Oil Com lililopeleka lita 35,000 za dizeli...
  7. D

    OilCom inahusika kuchakachua mafuta?

    Wapendwa wanaJF nawashukuru kwa michango yenu kuhusu taarifa za hujuma katika uchumi wa nchi yetu, zinazofanywa na watu wasiyo na uchungu kwa jamii ya Watanzania. Leo nawahabarisha yaliyompata dereva wa Scania lililosafirisha mafuta hayo. Ufuatiliaji wangu umefanikiwa kumpata dereva huyo na...
  8. D

    OilCom inahusika kuchakachua mafuta?

    Serikali na mamlaka zake inadai inaendelea kupambana na vitendo vya kuchakachua mafuta ya dizeli na petroli, lakini ufuatiliaji niliofanya unaashiria kuwa baadhi ya watendaji ndani ya serikali na mamlaka zinazotarajiwa kudhibiti vitendo hivyo wanafahamu wanaofanya uovu huo na pengine kuwasaidia...
Back
Top Bottom