Search results

  1. J

    Mwenge wa Uhuru unaeneza Kifua Kikuu, unachafua mazingira!

    Kuchafua mazingira na kusababisha magonjwa tutabishana kuhusu data. Ila tuokoe fedha za walipa kwa kutenga siku moja ya kumbukumbu ya kuwasha na kuzima mwenye kwa hata nyerere tumemtengea siku moja tu. Otherwise mwenge upelekwe kwenye jumba la makumbusho.
  2. J

    Mjumbe bunge la Katiba alia machozi kusisitiza hakupiga kura ya 'ndiyo'

    Mi si shangai akidi kutimia zenji na matukio yanayoendelea mwanasheria mkuu zenj na afisa aliyerejeshwa kutoka Riyadh ni mashujaa wa kuenziwa. Pengine mfumo uliotumika ni ule wa enzi za Mwl. Mwl. Hakuwa kushindana na mtu lakini alikuwa anashinda kwa kishindo na kuitwa mshindi.
  3. J

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    Askari kupiga raia ni proof ya false consciousness theory, yaani tunaambiwa wananchi wote ni sawa mbele ya sheria. Lakini kihistoria dola bourgeoisie kukandamiza ploretariet. So kupiga ni mazoea ya kulazimisha order. Reasonable force sio kupiga na hakuna mahakama duniani iliwahi kutoa tafsiri...
  4. J

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    We unayeelewa ebu nipe tofauti ya kisheria kati ya reasonable force na torture. ukijipata ntakuheshimu. Ukikosa ntakuona domokaya ili ujisikie fisi.
  5. J

    Polisi wampiga mwanajeshi Tabora wanajeshi wazua taharuki

    We kenge ebu taja sheria inayowapa polisi kupiga raia asiyevaa helmet? Rudi shule tena kaanze dar la 3
  6. J

    Mheshimiwa Samweli John Sita, alilidanganya BMK, Kuhusu Uganda kutokua na Mahakama ya Kadhi

    Kama utaingiza bill of rights kwenye katiba, automatically kuingiza mahakama ya kadhi ni kukaribisha mkanganyiko sababu ukishakuwa na ibara baguzi zinazohusu watu fulani turn au kikundi fulani tu, basi ni dhahiri hiyo si katiba bali ni m.o.a. lakini matukio haya yanathibitisha ubinafsi wa...
  7. J

    Viongozi wa Kidini ambao ni Wajumbe wa Bunge la Katiba watoa Tamko kuhusu Bunge

    Mungu wasamehe bakwata kikristo maana hawajui watendalo. Yawezekana 300,000/= zimewapofua. Hata kanuni zenyewe hawazioni. Kwani kati ya 6 na warioba +a.ramadhani ni nani anajua kukusanya maoni ya wananchi.
  8. J

    Aliyekuwa mbunge wa CCM achaguliwa kuwa m/kiti CHADEMA Mkoa wa Ruvuma

    Ntashukuru chadema ikichukua jimbo la Mbinga, maana kwa sisi...m tumeteseka tumekoma na kayombo wetu. Ila ni kweli jina la ngwatura Mbinga ni kichefu2. Mungu atunusuru na janga la kayombo 2015.
Back
Top Bottom