Search results

  1. castic

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Sehemu tu ya jengo...ambapo kuna jenereta...si jengo lote
  2. castic

    Matatizo baada ya kubadili Windows, msaada please

    Ingia website ya kampuni ya kompyuta yako...peruzi upate sehemu ya drivers (mara nyingi support then download) tafuta driver ya win 7 kwa kuchapa maneno au kuchagua kutoka kwenye orodha kama itakuwepo....kama hutaweza weka aina ya kompyuta/laptop wadau watakupa msaada
  3. castic

    Twiga wanaoonekana kwenye mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni twiga wa Tanzania, Si kweli

    Rais atoe zawadi Twiga kwa rafiki yake ....!!! Duh
  4. castic

    Maajabu mengine: Walimu walazimishwa kwenda kumuaga Kikwete Uwanja wa Taifa

    Acha kutisha watu waelekeze kistaarabu
  5. castic

    ITV mnaficha nini kwa Lowassa? Picha ya Bukoba leo mmedanganya?

    Mkuu sasa unalazimisha ...punguza munkari
  6. castic

    ITV mnaficha nini kwa Lowassa? Picha ya Bukoba leo mmedanganya?

    Kafanya kampeni maeneo tofauti kagera leo.....picha haziwezi kufanana
  7. castic

    Juu ya utumishi wangu kwenye "Taasisi" ile ninapohakikisha treni la EL linatema abiria wake

    Ingependeza kama maelezo haya angekua anayasema mtu mwingine kukuelezea wewe...lakini kwa sababu unajisemea wewe mwenyewe yamepoteza ladha
  8. castic

    Wasanii wa CCM na Nimes'tuka campaign.

    Wasanii walionunuliwa kisiasa hawatakua na ujasiri siku za usoni ..watakuwa watu wa aibu wasioweza kusimama mbele za watu
  9. castic

    Nimeamini TANESCO inatumika kisiasa

    Tanesco ni wale wale
  10. castic

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Vijiji gani hivyo? Tembea uone usikubali kuhadithiwa
  11. castic

    Magufuli 4 Change (M4C), nimeipenda sana hii

    Vijiji gani hivyo? Tembea uone usikubali kuhadithiwa
  12. castic

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    Teh Teh Teh una utani na wanaomlilia Lowasa
  13. castic

    Gwajima amkimbia Dk. Slaa

    Duh hili nalo gazeti!!
  14. castic

    Askofu Gwajima kigeugeu, Watanzania tumuweke kundi gani?

    Kasome vizuri habari ya Musa na Joshua inaweza kumuelewa
  15. castic

    WIKIPEDIA wamkaanga Edward Lowassa, sijui ataponea wapi huyu bana

    Wikipedia si hata wewe ukitaka unaandika
  16. castic

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Kuna mtu ataharisha siku moja mbele ya kadamnasi
  17. castic

    Maji ya AC yanafaa kuoshea vyombo na kufulia?

    Niliwahi kunywa kuna hali fulani niliisikia mdomoni na kooni sio ya kawaida, kifupi yaliniopesha.
  18. castic

    Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Hamu ya pombe ikaisha hamu ya uzinzi bado
Back
Top Bottom