Kwa hiyo unataka kutuaminisha ile milima ya udongo mwekundu ili safishika ikawa mieupe. Au mvua hainyeshi tena katika milima yenye udongo mwekundu? Maana tungesikiaga hilo tukio likijirudia pindi mvua zinyeshapo kwenye milima ile. Ulicho andika ni sawa na Theory ya binaadamu alianza kama nyani...
Unashangaa vijana kumshughulikia kijana mwenzao..!! Wewe ulivyowashughulikia akina Halima ndani ya Bunge, wenyewe ni wazee!!! Jifunze heshima kwa watu wote.
Akiwa kwenye ofisi ya umma ana ziona fursa nyingi tu za kujiajiri, akifukuzwa humo fursa zinapotea ana anza kulialia. Asiogope mbona wengine tupo kitaa tu miaka mingi??!! Aje ajiajiri na yeye.
Kwani hizo sheria zilizowekwa zinazokipa CCM nafasi 6, CDM nafasi 2 na CUF nafasi 1 ziliwekwa na nani? Je walioziweka waliziweka wakiwa na akili timamu au walikuwa wamelewa bange na viroba? Kwanini wasiendelee kuziheshimu kwa kuzifuata mpaka wazibadilishe sasa? Je wanataka wazibadilishe kwa...
Fafanua Mkuu nikuone wa maana.
Nijuavyo mimi Chenge kila dili chafu yumo, tuhuma ya RADAR ilisababisha Bunge la UK lijadili na kuiamuru Kampuni ile iludishe pesa yote ambayo nayo haijawekwa wazi iko wapi labda Membe atatwambia siku moja.
Lowassa hajawahi kujadiliwa kimataifa na mitambo ya...
Kama si upotoshaji wa makusudi basi inawezekana akili za baadhi ya watu humu haziweki kumbukumbu sawasawa au zina matatizo ya kusahau haraka sana.
Askofu Gwajima alisema, "...kwenye nyumba ya Dr. Slaa kuna walinzi wa chama (wanaolipwa na CDM), lakini bado Dr. Slaa alihitaji walinzi waaminifu...
Padre Dr. Slaa aliposema kuhusu ushenga wa Bishop Josephat Gwajima, magamba yalishangilia kwa vifijo, ndelemo na vigeregere. Askofu Josephat alipojibu na ukweli kujulikana. Magamba yanatoa povu kutaka kutumia vyombo vya dola kudhibiti uhuru wa kujieleza.
Kama wanaCCM wangekuwa waungwana...
Flyover ni permanebt solution for all users but BRT ni very temporary and not friendly user for all. Kwanza ajali zitakuwa za kumwaga kwa jinsi barabara zetu zilivyo nyembamba. Foleni za magari zitakuwa palepale kwani kusubiri mabasi ya mradi kupita itakuwa hapa na pale.
Dr. Slaa kwa jinsi anavyo mshambulia EL kama fisadi mkuu angenishawishi vizuri sana kama angetaja tuhuma angalau tatu kubwa alizonazo EL zinazoligharimu taifa hadi sasa. Lakini kang'ang'ania RICHMOND ambayo mpaka leo ipo kama SYMBION na hajaitaja kabisa!
Kwani hela inayolipwa SYMBION inaingia...
Mi maswali yangu ni matatu tu makubwa kwa Dr. Slaa kama kweli ana uchungu na watanzania:-
- Anasema EL ni mchafu hafai kuwa Rais, je watanzania malofa wamchague nani? Je tuichague tena CCM?
- Baada ya Press conference yake, kwanini anawakimbia watanzania? Je amechoka kula mihogo au anakimbia...
Una maana Magufuli hajui tofauti ya neno "kibali" na "imejenga"? Mbona huwa hakose kusemai "...Serikali imetoa kibali kwa wachina wajenge barabara"...?
Inaeleweka kuwa, kama haujazoea unapokutana na umati mkubwa wa watu usivyotarajia na wanakusubiri useme mustakhabari wa maisha yao, unaweza...
EL ni mmoja anayetuhumiwa kwa kashfa moja ya Richmond ndani ya CDM lakini CCM kuna watu zaidi ya 100, wengine wanatuhuma kwa karibu kashfa inayotokea serikalini. Tena wanaona fahari na wanajitahidi kila mmoja amzidi mwenzake kwa kashfa, yaani kama ukoo wa panya.
Kwa muktadha huo, CDM...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.