Search results

  1. H

    Helsb

    Jamani wadau naomba msaada hapa Loan Board tangazo lao waliandika kuwa watatoa mikopo hata kwa wanafunzi wa nje ya nchi ili mradi uwe na offer letter leo nimeenda kufuatilia wale mareceptonist wao wanasema hapana ni kwa wanafunzi wa hapa tu kwa nchi zingine lazima uwe na kibali kutoka wizarani...
  2. H

    Natafuta tempo

    email address ya kuwasiliana na mimi ni lacjac@hotmail.com
  3. H

    Natafuta tempo

    Hi, Mimi ni kijana wa Kitanzania(21) nasoma India nimemaliza mwaka wa kwanza na nimerudi Tanzania. Nitakuwepo mpaka mwisho wa mwezi wa nane natafuta tempo work yoyote najua Computer na kingereza na kiswahili vizuri sana . Pia nasoma Bachelor of Business Management . so naweza pia...
Back
Top Bottom