Search results

  1. specialist88

    JWTZ angalieni utapeli huu

    Habari wakuu, Leo saa 17:36 nimepokea ujumbe wa utapeli unaolichafua jeshi letu. Naomba jeshi limtafute huyu mtu anayetunia namba +255 692 415 547 aliyenitumia sms ya utapeli ili aeleze vizuri. Nimeambatanisha ujumbe wake sms aliyotuma kwenye namba yangu nikiamini amewatumia watu wengine...
  2. specialist88

    Namtafuta Mama Tecla Thrombo

    Nimeenda hawanipi jibu la kueleweka kiukwel.
  3. specialist88

    Namtafuta Mama Tecla Thrombo

    Habari wadau, Leo nimekuja kwenu nikiwa na shida moja mhimu sana. Namtafuta Mama Tecla Thrombo kama sijakosea jina lake. Huyu mama alikuwa wizara ya elimu ofisi ya katibu mkuu wizara ya elimu kama PS na badae ofisi ya waziri kama PS. Huyu mama alinitendea wema mkubwa sana sana. Aliniokoa sana...
  4. specialist88

    Kijue Kijiji cha Ikola na watu wake

    Jamaa alianzisha mada then akaingia mitini.
  5. specialist88

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Mkuu stroke, kitu gani ambacho unaamini ni kizuri kutoka kwa wapinzani wa nchi hii hasa CHADEMA? Hata kitu kimoja, au hoja moja waliyowahi kuileta au kuianzisha au kuiongelea katika nchi hii.
  6. specialist88

    Uchaguzi 2020 Niliyoyaona kwenye Uchaguzi huu yanatisha

    Aisee, kwahiyo unataka athibitishe kwa kukuonyesha video ili uamini?! [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Vijana wa zama hizi mnatisha sana
  7. specialist88

    Godbless Lema akamatwa Kajiado akitorokea Kenya yeye na familia yake. Kurudishwa nchini kesho Novemba 9, 2020

    Huyo Mama D yupo humu kutukana na kuwang'ong'a anaowaona wapinzani wa CCM bila kufikiria wanachokiongea. Inasikitisha sana. Watu wanaumia jamani.
  8. specialist88

    Zanzibar 2020 Siasa za Zanzibar: Hongera Dr. Mwinyi Kwa Ushindi wa Kishindo, Maalim Makamo wa I, Mteue Balozi Amina Salum Ally Awe Makamo wa II, Utoe Sare Sare Maua

    Si unamuona kwa umri alionao, anachowaza Paschal ni kupata ulaji maana anaona umri unaenda na alishasemaga deals zake zimekufa hana kitu wala kazi yoyote. Amefulia. Anataka uteuzi kwa namna yoyote ile hata iwe kwa ubaya gani.
  9. specialist88

    Posta Tanzania mnafanya kazi kienyeji sana. Huu ni upuuzi

    Msaada, naomba mawasiliano na hawa watu aisee Sent from my STK-L21 using JamiiForums mobile app
  10. specialist88

    Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

    Mwenye link aweke hapa jamani tu stream
  11. specialist88

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Mkuu, ongeza 500, nikupe pikipiki nzuri ya R8. Kama upo serious ni Dm namba yako ya whatsApp mzee.
  12. specialist88

    Mkuu wa shule aliyeshindikana Tanga jiji,Jafo njoo umng'oe

    Walimu huwa hawaendelei kwasababu hizi, Umaskini unawapa roho mbaya na chuki. Pambana na matatizo wewe!!!!
  13. specialist88

    Magufuli na CCM yako waoneeni huruma watoto hawa

    Duh balaa hii, hii ni Tanzania kweli? Naomba kujua hii picha imepigwa wapi na imepigwa lini tafadhari
  14. specialist88

    CRDB Bank Kibaha huu ni Ujinga

    Bora huko nenda Tabora na Mpanda Katavi, utajuta kuzaliwa. CRDB hawajali wateja siku hizi.
  15. specialist88

    Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

    Ni mtandaoni Sent using Jamii Forums mobile app
  16. specialist88

    Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

    Nimeelezea tayari, then binafsi nilishaibiwaga simu mbili na nilienda mpaka polisi kuwapa IMEI number na mpaka namba za simu zilizokuwaga kwenye hizo simu zilizoibiwa. Guess what - mpaka kesho polisi hawajawahi kunipa jibu la simu zilipo wala anayezitumia. Walinizungusha mpaka nikaamua kuachana...
  17. specialist88

    Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

    Mkuu angalia alichokiandika na kupost ndio utaelewa. Anauza bidhaa za piki piki na piki piki. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. specialist88

    Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

    Hili swala linashangaza sana, kuna watu wapo maofisini hawawajibiki hata kidogo mpaka wasukumwe na vigogo ila wananchi wakawaida ni mara chache kushughulikia kero zetu. Mpaka mkubwa aseme. Hii inaumiza sana na mtu kama huyu anatapeli watu weeengi kila siku. Lakini yupo tu anadunda na atakumia...
  19. specialist88

    Jihadhari na tapeli huyu anayejifanya kuuza pikipiki na vifaa vya pikipiki

    Nimeshaweka tayari Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom