Search results

  1. M

    Love is Blind

    and because love is blind and we cant make rational decision then we should be ready to divorce. Ni suala la kuoa au kuolewa kwanza. ukigundua ile blindness yako ilikupeleka pabaya, divorce haraka sana. dont accept suffering in the name of mariage
  2. M

    Kwa kina kaka wenzangu wa JF.....

    mke wangu anafanya 1% ya hayo. yaani msosi akipenda kunipikia na chakula cha usiku kama tukikubaliana kupeana. tumeishi hivi fo the past 10 years. Gari nimemwachia yeye mimi natumia pikipiki. But we are ok kwa sababu kila mtu anaenjoy kivyake.
  3. M

    Kwanini inatokea?

    mimi kagest kangu ka pale buguruni huwa biashara inashuka by 80%
  4. M

    Nimelikoroga, limenishinda kunywa.

    Mimi naona pia ni vyema ungekuja JF kuomba ushauri kabla ya kucheat. Ili wenye maozoefu ktk fani wakushauri namna ya kucheat vyema bila kuwa arrested na spouse wako.
  5. M

    Kila siku anahitaji Penzi jipya imekaaje hii

    Huyo dada ana jini mahaba. Sijui atakuwa na wanaume wangapi hadi atakapozeeka. Halafu jini hili husababisha azae watoto wa baba tofauti tofauti. yaani akiwa na watoto wanne na idadi ya baba ni hivyo hivyo. Anatakiwa akemewe haraka sana pepo hilo litoke. Yaani huyo alivyo hata akijiforce akae na...
  6. M

    Makonda

    Kuna kabinti kamoja ka kimara kalinishangaza. Wazazi wake wanajiweza kifweza na wanampa alfu mbili kila siku na siku nyingine baba yake anakapeleka hadi shule asubuhi anapoenda kazini. cha kushangaza kalitiwa mimba na konda wa kipanya. wakati mwingine sio suala la lift au offer ya alfu. nadhani...
  7. M

    Kifuta Jasho cha Wikiendi!!

    kama mtoto ni mmoja tu na ndo wa jamaa mwingine, nadhani hapo ninampa talaka tatu ili aende akaendelee kuzaa wengine na huyo jamaa. Nadhani nitakuwa safe zaidi nisipoendelea kumwona huyo mwanamke. you know for some women, you can be the husband but when it comes conception, they choose a father...
Back
Top Bottom