Wenye njaa zao wamepata namba yta Raisi wamempigia na wanamuomba milioni mia hamsini mtaji,baada ya kuchati na kuongea kwa simu bila kuafikiana mkulu kaamua kuibuka nalo kwenye mikutano yao etii sitaki kuombwa hela ,wananiuzi sana watanzania wanaoomba fezaaaaa,
sasa mpaka mnakubaliana mia...
Alitumwa na Nape,watu njaaa sana mkuu wewe wasikilize leo wako Nkrumah uone wanavyojipendekeza sijui kazi na faida za Usomi wao ni nini kwa taifa hili.
NImefurahishwa sana na kilichotokea jana mjini Arusha na nihamasa kubwa kwa watanzania wote ambao hawajajua hali halisi n mwelekeo wa nchi kisiasa
Naomba ushauri mimi mkazi wa Pemba Kusini,kwa yaliyotokea jana kwa kweli naamini ukombozi wa nchi hii unaanzia Arusha na mimi nataku kuwa mmoja...
Mijitu ina wivu tuu kamanda komaa hiyo ni fursa wasaidie watu na weew ujipatie kipato kwa WAAJIRI tafadhali zingatia USICHUKUE FEDHA ZA WANAOTAFUTA KAZI ni dhambi
Mijitu mijinga sana unajua yamezoea kutapeliwa na CCM basi hata wajasiriamali wadogo wanapotaka kutafuta fursa wanadhaniwa ni wajasiriaCCM balaa sana magamba
akili zikiwa huko kwa kutolea haja kubwa utajua tuuu,sasa unagombana na mtu hata humjui yeye kasema tumeni CV sasa wewe kama hutaki si unaacha tuu mpaka uonyeshe kuwa unavutiaga yale majani chooni??
Nawashukuru sana nyie ni wakombozi wa watanzania nimepata habari zenu hongereni,watanzania mnaotafuta kazi hakuna toauti ya kutuma na kutotuma cv huku la zaidi ni kuwa ukituma unajiwekea uhakika kama ni kweli wa kupata kazi ila kama sio kweli haikugharimu kitu,Kazi kwenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.