Search results

  1. M

    Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    hello wana JF, nani wa kulaumiwa kati ya serikali, walimu au wanafunzi maaana haiwezekani kufeli kwa namna hii ambayo ni zaidi ya 60% sasa wana jf nini tufanye kwa hili? maada hii mezani kwenu nasubiiri maoni
  2. M

    Kichwa kupata joto kali wakati akilala- hili tatizo ni gani?

    hello wanajamii, naomba kuuliza swali hili nina mtoto mdogo wa miaka miwili na miezi 7 huwa akilala anapata joto kali sana sehemu za kichwa tatizo ni nini hasa
  3. M

    matokeo ya kidato cha nne 2012

    hi, members ndugu zangu wanachi wa Tanzania,naomba tujadili hili swala je,tuilaumu serikali ya jamhuri ya Tanzania,shule zenyewe ,walimu wa hizo shule au wanafunzi wenyewe kwani haijawahi tokea wanao pata zero mtihani wa taifa ni zaidi ya nusu ya wanafunzi wote.Naomba sana hilo kwani tutaisaidia...
  4. M

    mtoto kicheche, anafeli na muhuni. shule gani itamfaa?

    da kuna shule nzuri sana kule mby ikiwemo swilla sec school iliyopo mbalizi mby,kwa huyo mtoto itamfaa sana.bt mwambie kuwa hiyo ni last chance akichezea ndo basi nadhani atakuelewa.lakini pia ndio watoto wenye umri kati ya miaka(13-19) wanapenda ngono sana bt pia hata ww unamakosa kwanini...
  5. M

    Adai Talaka kwa kudhani mume ni shoga!

    da hapo naona jambo la msingi ni kumpigia simu hiyo mwenye namba na kumuuliza yeye ni nani na huyo aliemtumia sms hiyo ni nani kwake ili ajue kwanza kama sio shoga halafu kuomba samahani hiyo nyingine ngoja tuulizie kujua unatakiwa kufanya nini halafu tutakutaarifu kaka,
  6. M

    Afya ya kikwete yamkosesha mwakyusa uwaziri

    lakini mwakyusa alikuwa bado hajachoka kiivyo alistaili kuwa waziri wa afya,coz kuwa na mengi yaliyojificha nyuma ya pazia ndoamaana unaona kimyakimya wanauwa mmoja baada ya mmoja(hasa ndo kilichomkost jirani kupata uwaziri baada ya kauli yake hiyo)
  7. M

    Unaelewa nini hapa?

    haya bwana hiyo kali
  8. M

    hii ki2

    sijui unataniana na nani hapo haya bwana mi sipo.....
  9. M

    TCU vipi jaman

    da ebwana kutokana na kuwa na watu wengi sana walioomba vyuo vikuu ndo maana mmeona kimya cha mda mrefu namna hii lakini si mda mrefu sana mtaona majina yenu hewani wakati huohuo vyuo vikuu vyote nchini vinatarajiwa kufungua nov 13 msiwe na wasiwasi kwani lazima mmpewe mda wa kujiandaa mwezi...
  10. M

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    wasomi tuwashawishi na wengine tuweze kukiengua chama cha mafisadi hiki kwani kinazidi kutunyonya tu.haya sasa basi acheni tujaribu kwa SLAA naye tuone ana nini cha kutufanyia sisi,hata hivyo nimechishwa na CCM kwani mimi tangu nakua mpaka sasa naweza kupiga kura ni hikhiki chama.haya sasa...
  11. M

    Elections 2010 Je, Mtanzania gani anafaa kuwa Rais wetu 2010?

    mtanzania ambaye anaweza kuingoza nchi hii ni yule ambaye anajua shida za wananchi wake,pia hoja ya mheshimiwa Dk.slaa kuwa na mawaziri wengi wakati wananchi wake ni wachache nayo haitakiwi kwani ni pesa nyingi sana zintumika wakati nchi kama marekani ina watu takribani 300 lakini viongozi ni...
  12. M

    Dk. Slaa apata ajali avunjika mkono mwanza

    da pole sana mheshimiwa,lakini kwa taarifa nilizo nazo ni kuwa ameteguka tu na si vingenenvyo.haya bwana hilo ni kawaida tu na mapambano kama kawa lazima tutingishe sana mwaka huu.
  13. M

    Shemeji yangu hapandwi na mzuka, mpaka apige CHABO.

    mkubwa kikubwa kabisa kwanza ni kwa mda gani? tena unatakiwa kwenda kwa mwanasaikolojia au daktari alie bobea mambo ya akina mama da pole sana mkubwa
Back
Top Bottom