Search results

  1. Nachingwea

    Jacqueline Ntuyabaliwe acharuka Twitter hatma ya mirathi, aweka nyaraka za hospitali afya ya Reginald Mengi

    kutokwenda Shule shida sana!!! Hiyo barua ya kufogi inammaliza mwenyewe
  2. Nachingwea

    Hivi madaktari na pharmacists wa Tanzania huwa wanasomea nini?

    Bossi wee unajua sna Si ujitibu mwenyewe lakini utakuta unaenda kuwaona hospitalini kila siku ! Idiot
  3. Nachingwea

    Tabia za baadhi ya wanawake zinachangia wanaume kuwa na nyumba ndogo

    Yaani watu wa ajabu soma nilichoandika na hicho cha kwa kwako sijuhi unataka nijibu vipi
  4. Nachingwea

    Tabia za baadhi ya wanawake zinachangia wanaume kuwa na nyumba ndogo

    Kw kwanini ukemee inamaana unakaa na zezeta
  5. Nachingwea

    Tunalaani uwanja Chato, nchi hii upendeleo ulianza zamani Wachaga mkiongoza

    Ufinyu wa akili Ndiyo shida kubwa hapa
  6. Nachingwea

    Uchaguzi 2020 Kuna umuhimu wa kupiga kura 2020 wakati tume iko mfukoni kwa Rais?

    Kwani hapo mwanzo ilikuwa mfukoni mwa nani??
  7. Nachingwea

    Mama wa Bilionea Msuya: Mke alikomba mali kabla ya kumzika mwanangu

    Hii ni aibu ndugu wa mke inakuwaje wanasimamia mali ya familia ya mume!! Hii Ndiyo Chanzo! Wanaume wazima Si mtafute mali Zenu! Mnashadadia kama vile mlikuwa mnamsaidia dada yenu kuchapwa
  8. Nachingwea

    Shamba linauzwa hekari 2 lipo Moshi

    Vipi nahitaji hilo Shamba Naomba contact
  9. Nachingwea

    Serikali: Tunafuatilia suala la Mahakama Kuu nchini Afrika Kusini kuzuia ndege ya ATCL. Ni kufuatia Hermanus P. Steyn kufungua shauri

    Uwezo wa kufikiri ni Mdogo dah!!! Yaani ni kama pesa zilizoko mfukoni kwako kusema ni za kwako wakati in actual sense hela zote ni mali ya serikali
  10. Nachingwea

    Wapiga picha wa Ikulu kuweni makini na kazi zenu

    Fundisho gani Hakuna picha hapo
  11. Nachingwea

    Tuhuma za Ukabila: Wasukuma si Miongoni mwa Makabila yenye Ukabila, tatizo ndio walio wengi!

    Kaka ungesema nusu Msukuma nusu MKV(mkirua Vunjo)
  12. Nachingwea

    Tuliowahi kuwanga usiku wa manane tukutane hapa. Je, ulitumia ungo, fisi? Nini changamoto?

    Hivi Mbona hatujawahi kuona mchawi mwanaume amenasa akakamatwa? Haya matukio tunaona kwa wa kinamama tuu?
Back
Top Bottom