Search results

  1. hetu

    Kumbe viwanda vya Cement vya Twiga na Nyati vimefilisika hatuambiwi ukweli!

    Arusha leo nimenunua Moshi Cement kwa 14,000 tu.
  2. hetu

    Trump ataka Waislamu wazuiwe kuingia Marekani

    Ghosryder Ghosryder maelezo yako yako vizuri, lakini tatizo ni jamii ya kiislam ambayo inaonekana imewakumbatia magaidi ( NAOMBA UNIELEWE). sijasema imewakumatia magaidi. sababu yakusema hayo ni hizi; 1. Viongozi wa dini wameshindwa kukemea ugaidi na vitendo vinavyofanywa na magaidi. Katika...
  3. hetu

    Ni wapi wanatoa mafunzo ya Martial Arts?

    kwa arusha nenda posta ya meru ulizia office za davis and shirtlif . Juu ya hizo office ndio wanafundisha tae kwon do.
  4. hetu

    Yaliyojificha kuporomoka kwa shilingi dhidi ya Dola ya Marekani, Shilingi inahujumiwa na Mabenki?

    Hakuna chombo kitakacho weza kuzuia utoroshwaji wa fedha nnje ya nchi kwa sababu fedha nyingi zilizotoroshwa nnje ya nchi ni zile za EPA na ESCROW. hizo pekeyake zinatosha kusababisha kuporomoka kwa shilingi.
  5. hetu

    Kwanini Zitto nisikuite msaliti?

    That is true. haiwezekani Zito na ACT wajinadi kuwa ni chama cha upinzani kinachotaka kuleta mageuzi ya kweli nchini na wakati huohuo wanabomoa misingi ya vyama na wanachama wa upinzani nchini. Nikitambo kirefu sasa sijawahi kumsikia zito akiikemea ccm kwa usimamizi mmbovu wa serikali yake na...
  6. hetu

    Tumalize Ubishi: Kati ya Mwanza na Arusha ni Jiji gani zuri, uchumi na mambo mengine

    Arusha bado itaongoza kwa utalii kwa sababu iko katikati ya vivutio muhimu ya utalii upande wa kaskazini ya Tanzania. Kumbuka kuwa arusha imezungukwa na mbuga za Arusha national park, kilimanjaro national park, Tarangire national park, na Ngorongoro Conservation. Hivyo basi ni vigumu sana kwa...
  7. hetu

    Simanzi: Jeshi la Polisi fanyeni uchunguzi Juu ya Unyama huu.

    Ni unyama usiofikirika kwa mwanadamu mwenye akili timamu, na mwenye hofu ya Mungu ndani yake. Swali moja tu ni kuwa Je nikweli mtuhumiwa aliyekamatwa anahusika na hilo tokio??. Tunauzoefu na jeshi letu la polisi kutuliza moto. hujifaragua na kutangaza yakuwa wamekamata mtuhumiwa lakini...
  8. hetu

    Yaliyojiri uwanja wa Jamhuri Dodoma: Rais Kikwete kukabidhiwa Rasimu ya Katiba Mpya

    Unachosema ni kweli ccm wanauhakika wa kura za maoni na wanajua itapita tu. 1. Watatumia tume hiihii ambayo sio huru (kwa maan nyingine ni tume yao iliyoteuliwa na mwenyekiti wao) 2. Jeshi la polisi ni lao hivyo watalitumia kuhakikisha wanalinda kurazao watakazo zichakachua. 3...
  9. hetu

    UKAWA wapokea mabilioni ya pesa kutoka Ujerumani kuvuruga mchakato wa Katiba

    Ni jambo la ajabu kuona chama kilichopo madarakani kikilalamikia jambo ambalo likondani ya uwezo wao. Ni jambo la kustaajabisha kuona ccm inalalamika kuwa ukawa wanapewa fedha kutoka nje ya nchi bila kuchukua hatua ya kudhibitisha uingizwaji huo wa fedha. Ccm ina polisi, ina pccb, ina TISS n.k...
  10. hetu

    Aliyelawitiwa baada ya kushikwa ugoni ajiua

    Ni ujinga kumfumania mkewako na mwanaume mwingine tena Guest house alafu uanze kupigana au kumpiga huyo mwanaume. Jambo moja la muhimu katika maisha ya ndoa ni kuwa huwezi kumchunga mpenzi wako. Jambo la muhimu ni uaminifu ( kuaminiana). Sasa utakuta mtu anajifanya yeye ni kidume, anapambana...
  11. hetu

    Gari la Serikali (linalotumiwa na Sumaye) labambwa na Meno ya Tembo!

    hamjaielewa hii nchi na uongozi wake. Mkapa alifanya makosa makubwa kwa kufanya usawa katika kumtafuta mrithi wa kiti cha uraisi alipoondoka. Tatizo la Jk ni kuwa anafanya na kuhakikisha ya kuwa hakuna kitakacho zuia mpango wake wa kumweka mrithi wake anayemtaka, ambaye atamlinda yeye Jk...
  12. hetu

    Umejifunza nini kuhusu Picha hizi

    hapo naona mnafiki Zzk anadhihirisha unafiki wake meno nje na tabasamu kubwa huku ndani yake kuna giza nene la chuki na hasira juu ya Lisu. lati Mungu angemfanya mwanadamu aonekane kile anachokiwaza ndani yake tungelijua mengi.
  13. hetu

    Wasikilize wapare

    huja uthibhavwire, vekimanya venekutheka.
  14. hetu

    Mnazionaje huduma za Azam tv?

    inaonyesha wewe ni mfanyakazi wa startimes, kwa jinsi unavyoitetea. kwa kweli star times inachosha. hakuna chanel za maana za movies wala sports. mimi nalipia package ya 20,000. lakini nafanya hivyo kwa ajili ya watoto wangu tu. zaidi ya hapo hakuna kingine. huwezi linganisha chaneli za movies...
  15. hetu

    Zitto Kabwe na Ya Mkalimani wa Lugha za Alama wa Msiba wa Mandela

    Elewa jambo moja nalo ni kuwa Zito kabwe aliwaaminisha watanzania kuwa anamajina ya walioficha hele nje ya nchi. tatizo la zito ni kuwadanganya watanzania kuwa anayo list ya majina ya wanyonyaji wa kitanzania walioficha hela nje. sasa leo hii anakiri kwa kiapo cha maandishi kuwa hawajui (hana...
  16. hetu

    Wapi naweza kujifunza Kingereza cha kuongea na kuandika

    wakuu mimi nahitaji shule, najua kuongea na kuaandika kiingereza lakini tatizo ni grama na kunabaadhi ya maneno ya kiingereza yananipa shida. unajua kuongea si tatizo tatizo ni pale utakapotakiwa kufanya presentation mahali na unafikia point unashindwa kuendwlea au unakosa neno linalostahili...
  17. hetu

    Obama ana Hasira na Winnie?

    nakubaliana na wewe kwa paragraf ya kwanza lakini kwa ya pili sikubaliani na wewe kosa la winie ni kuhusishwa na mauaji ya kijana mdogo ambaye aliuwawa na wafuasi wa winie wakati wa harakati za ukombozi na hili ndilo lililomfanya mzee mandela kuachana na winie.
  18. hetu

    Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    Naomba nikushauri jambo moja. madiba alifanya yake kulingana na wakati wake na mugabe amefanya yake kwa wakati wake. Madiba alifanya jambo moja kubwa kwa ajili ya kuleta usawa na maendelei ya nchi yake. Nalo ni kuwaunganisha wananchi wake kutoka katika hali ya kubaguana kuwafanya kuwa wamoja...
  19. hetu

    11 rules of Life from Bill Gates

    Watoto wetu wakifundishwa na kuyaelewa haya nafikiri hawatacheza mashuleni. these are the basic principles that should be taught from seconday schools to the universities. ----------Whether you like Bill Gates or not...this is pretty cool. Here's some advice Bill Gates recently dished out...
  20. hetu

    Tuungane Kupinga Kelele za Muziki Kwenye Makazi

    nyani haoni kundule, na yale maspika yenu juu ya ile milingoti yenye nyota na mwezi. itabidi tuyashushe ne kuyachoma moto pia
Back
Top Bottom