Search results

  1. V

    Kwanini wako busy na chanjo ya COVID 19 na sio dawa yake?

    hakujawahi kuwepo dawa ya virusi duniani ndo maana suluhisho la kudumu ni chanjo.kinyume chake ni madawa ya kufubaza kirusi.Dawa ya madagascar kama inatibu huitaji kutumia nguvu at WHO hawajaipitisha.kwan mitishamba wameipitisha mbona tunatumia? nchi iliyokuwa ya kwanza kuchuukua dawa yao bado...
  2. V

    Prof. Hamisi Malebo (PhD), azindua dawa ya Corona

    mkemia mkuu wa serikali siyo kazi yake kupima kama dawa inatibu au la.Anachofanya kupima kama ina sumu kwa binadamu au la.waganga wa kienyeji mara nyingi hupeleka dawa zao huko kwa ajili hiyo
  3. V

    Hivi STAR TV ndio imekufa au inajiandaa kulipa kodi ya TRA?

    HATA REDIO NAYO HAKUNA MATANGAZO.NIMEZOEA KUSIKILIZA BBC NA MAGAZETI KWISHNEI
  4. V

    NSSF tunaomba mmalizie ujenzi wa kiunganishi cha Daraja la Kigamboni

    mkuu nssf juzi anaongelea watajenga km 1tu ina maana anasogeza pale mbele tu.kiukweli haina maana kama hawajengi hadi kibada
  5. V

    DSM watu binafsi wanauza magari kwa kasi mno

    yako wapi hayo ya bei nafuu
  6. V

    Hivi Rais Magufuli hana walinzi wa kike wa Kudeal na Wanawake?

    akiwa gaid wa kike unasubiri wa kike amkabe maajabu ya dunia
  7. V

    Jinsi ya kukabiliana na taa zenye mwanga mkali barabarani usiku

    angalia asije akakugonga wewe ukajuta
  8. V

    Dr. Kasoga analeta fujo katika familia ya Nyerere

    kasoga nadhani kwa sasa anafundisha IFM.mambo ya familia yenu kwann uyalete kwa jamii mkuu.umeongea nae akakataa kukuelewa
  9. V

    Hili ni tusi kwangu, 'watu weusi hamuwajali na kuwathamini wazee'

    ndugu jiamini usiwe mwoga kila ukiona ngozi nyeupe.siyo kila mzungu ni mwekezaji.sijaona cha hasa kumsifia kifo kipo hata kama una pesa kiasi gani.yaani wahindi watu wa hovyo bora angekuwa mwingine
  10. V

    TANZIA: Tumempoteza mwana JamiiForums mwenzetu, bwana Lengeju Bob

    wa moro wakaribie wa dar tumeshiriki vipi? nadhani kuna haja ya kujitafakari na kuona jinsi ya kusonga mbele.sijui ni kwa jinsi gani uongozi umeshiriki au jumuiya imeshirikije kwa tatizo la Melo.tufikirie mara 2 leo mm kesho wewe
  11. V

    Msichana anatafutwa amepotea

    NADHANI UNGESEMA KATOWEKA WAPI ALIKUWA ANAISHI NI MTWRA MWANZA AU TABORA ITASAIDIA
  12. V

    Je ni kweli Godbless lema akikaa mahabusu kwa siku 90, Utaitishwa uchaguzi mpya?

    WABUNGE WANGAPI WAMEUGUA NA WAMERUDI NA UBUNGE WAO.HATA KAMA AKIKAA MWAKA SHERIA INASEMA KIFUNGO YEYE HAJAFUNGWA BADO YUKO INNOCENT UNTILL THEN
  13. V

    Mama Ndalichako, kichwa cha nyoka hiki hapa piga!!

    mkuu umenena nakupongeza kwa ushauri wako big up mawazo kuntu
  14. V

    Paul Makonda punguza siasa na drama badala yake fanya Kazi...

    mtoa hoja uko sahihi 100%. mshika 2 moja humponyoka sasa yeye kashika 100. mambo ya ushoga ni mambo private saana. na hatujawa na shida kubwa kama hiyo. sidhani kama linaweza kuwa kipaumbele na 1 au 2 au hata 10
  15. V

    Mkurugenzi mpya wa TBC ana uelekeo gani?

    mdau umeuliza swali la msingi.kwa jinsi alivyojipambanua kiukweli sidhani kama anaweza kuendana na kautaratibu ka sasa kuzima demokrasia.najua yupo knye wakati mgumu lakni pesa tena ni shetani.kipindi prof Luoga hajawa bosi udsm alikuwa mzalendo na mpinga urasimu wa uongozi wa kina prof...
  16. V

    Gazeti la Mwananchi jaribuni kumheshimu Rais, kampeni zimeshaisha

    nadhani ungejadili hoja wala si kutaja gazeti.je hoja yao ni uwongo? je kila mtu akiambiwa kapunguziwa elfu 1 anafurahi au la? haya ndo mambo ya kujadili
  17. V

    Majina ya wakuu wa Wilaya wapya 70, vituo vyao

    karibia wote wa zamani hakuna ukweli kwa hili
  18. V

    Daraja la Kigamboni lina kasoro kubwa kwenye EXITS

    uko sahihi mkuu ni hatari saana.baadae utasikia marekebisho yanahitajika baada ya ajali si muda mrefu.
Back
Top Bottom