Search results

  1. V

    Kumbe Star Times wanaihujumu ITV ! Hii Nchi hatari sana

    King'amuzi cha hao *times nlishatupa huko..
  2. V

    JWTZ yaapa kupambana na majambazi wanaopora silaha za askari

    Polisi wanaporwa.. sasa wanawezaje kulinda raia na mali zao?
  3. V

    Utaratibu mpya wa kuchukua mafao NSSF

    Ofisi ilitakiwa itume watu walioko huko kuhakiki na si kumsumbua mwanachama.. mteja ni mfalme.
  4. V

    Serikali tafuteni njia ingine ya ukusanyaji wa fedha za faini barabarani

    Mi hilo suala huwa linanipa shida sana.. maana najua wanaenda kula baadh ya hizo hela. Maana kimsingi wanapopokea hela walitakiwa watoe risiti ya serikali hapohapo. Ule utaratibu ni mbovu sana
  5. V

    Kwa yeyote mwenye uzoefu na NISSAN WINGROAD

    Nissan gar nzuri sana.
  6. V

    Bima ya Afya hili halijakaa vizuri kabisa

    Hii bima ya Afya kimsingi ina ukiritimba mkubwa. Na kubwa kabisa ni kwa sababu wapo wenyewe, serikali ilitakiwa kuruhusu mfuko zaidi ya mmoja kama walivyofanya kwenye hifadhi ya jamii.
  7. V

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Uzuri wa wimbo huja na muda pia.. ukipigwa pgwa radio, club etc watu wanaweza wakaupenda
  8. V

    Siloam Ministry International Mbezi Beach

    Tayari tangu jumapili..
  9. V

    Barabara ya New Bagamoyo

    Tunakula mema ya nchi
  10. V

    Kagera: Wafariki kwenye Ziwa Victoria walipokuwa wanabatizwa...

    Mungu atusamehe kwa yaliyotokea.. ila si kazi yetu kuhukumu.. Mkuu umenena vyema sana.. ubatizo unaozungumziwa kupitia maandiko matakatifu ni ubatizo wa maji mengi..
  11. V

    Tanzania swaps old J-7 fighters for new ones J-7G & J-7N from CHINA

    Tatizo kubwa la hii nchi mkuu ni siasa safi na uongozi bora.. Wataalamu wengi kama wew wanakwamishwa na haya mambo
  12. V

    Heslb appealing

    Thanx.. ngoja nifanye hivyo
  13. V

    Heslb appealing

    What are the procedures mkuu.. kuna mdogo wangu inabidi nimjuze hili jambo
  14. V

    Heslb ukombozi tenaa

    Na hivi mtu anayetaka ku-appeal inakuaje??
  15. V

    Mwanamke aliyepigwa Risasi ampa RPC Arusha wakati Mgumu...

    Salaam kwa woote hapo Australia mjini..
  16. V

    36, job vacancies at bamboo-rock limited

    I think the guy was right and very catious, kuna vitu you have to be very careful sana ili visikupotezee muda, hela na kukukatisha tamaa.. Unapopewa taarifa ni vizuri ushukuru kuna watu wanakujali na kukuambia,
  17. V

    Ukatili: Ripoti kamili ya kushambuliwa kwa dk. Mvungi

    Hapo umenena.. ukimaliza siku mzima unamshukuru sana Mungu
Back
Top Bottom