Search results

  1. Kitumbo

    International Terrorism: Jifunze kuhusiana na kundi la magaidi wa kimataifa linalojinasibisha kwa jina la "Dola la kiislamu" (Islamic State)

    Soma na hii... Mtendaji wa zamani wa CIA: "Kiongozi wa ISIS Abu Bakr Al Baghdadi Alifundishwa na Mossad wa Israeli" Na Anas Chihab - Julai 17, 2014 NSA wa zamani na wakala wa CIA Edward Snowden amebainisha kuwa kiongozi wa Kundi la Kigaidi la Iraq na Syria (ISIS) Abu Bakr Al Baghdadi...
  2. Kitumbo

    Gari la Mbunge wa Kibiti lakamatwa likisafirisha magendo

    "Mbunge wa CCM akamatwa" = UONGO aliekamatwa ni dereva ila Lori ndo la Mbunge "Akipeperusha Bendera ya Mbunge " = UONGO ukweli wake lilikuwa Lori wala sio gari ya Mbunge Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Kitumbo

    Ujenzi wa "Mfumo Magufuli", hatari na janga kwa taifa kuliko Rais Magufuli mwenyewe

    Mimi pia nimeliona hili. Yaani kwake yeye hakuna hata mmoja mwenye jema! Kila zama kwake ni mbaya? Basi labda ije ghalka ndio labda nafsi yake inaweza ridhika. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Kitumbo

    Wanawake hatupendi wanaume wazuri wala wavaaji sana

    Imenifikirisha sana hii ya "KAMA MUNGU HAKUWARIDHISHA, JE SISI WANAUME NDIO TUTAWARIDHISHA?" Kumbe ndio maana minywele bandia, rangi bandia, boots bandia na hata akili siku hizi wengi wanazipata salon!
  5. Kitumbo

    Protokali: Ni makosa Mkuu wa Wilaya kukaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa!

    Hata kwa kutuambia tu, waraka namba gani wa mwaka gani tutautafuta tufanye reference. Kwasababu kama ni kosa basi limefanywa kitambo kiasi kwamba imeonekana kama ndio utaratibu. Inawezekana waraka umesahaulika na hili swala la kushindikana kuwa public ndio hata huko kwenye maofisi hawauoni...
  6. Kitumbo

    Protokali: Ni makosa Mkuu wa Wilaya kukaimu nafasi ya Mkuu wa Mkoa!

    Hapa mtoa hoja tungekuwa pamoja kama ungetupa na vifungu vya kanuni. Hivi ilivyokaa imekaa kimtazamo wako, inawezekana pia kuwa wewe ndio umekosea
  7. Kitumbo

    Narudi tena kuitafuta ndoto yangu ya Kuwa Lecturer -University

    Natamani nipate fursa ya kujifunza kutoka kwa waonesha njia kama wewe. Ni graduate wa finance, nafanya kazi za kutumwa hapa na pale, sina experience, sina financial resources. Nina ideas nyingi na nimewahi ku-team up with people with capital lakini tumeachana njiani. Kindly niongoze nawezaje...
  8. Kitumbo

    Waganga feki wahaha kutafuta wateja kwa nguvu

    Huyu alinitumia Mimi pia, aliniambia yupo Sumbawanga Na alijifanya anamtumia ujumbe mteja wake ila ulikuja kwangu kwa bahati mbaya.
  9. Kitumbo

    Tabia ya kuegemea magari ya watu

    Umeelewa hoja kweli?
  10. Kitumbo

    Obama atangaza hali ya hatari jimbo la florida

    Hapana, mawazo yako si sahihi, fikiri zaidi na ikibidi jifunze uielewe dunia
  11. Kitumbo

    Jifunze matamshi sahihi ya maneno haya ya Kiingereza! Yanakosewa sana!

    Wachekeshaji huwa hamkosekani popote pale... ona huyu!
  12. Kitumbo

    Tetemeko dogo la Ardhi(aftershock) latikisa tena Bukoba usiku Sept 11, 2016

    Hii hali inaitwa "afterquake". mara nyingi inakuwa na magnitude kidogo kuliko tetemeko lenyewe lakini mara nyingi huwa na madhara makubwa kama hakuna tahadhali. hii hutokana na kwamba nyumba zilizoathirika na tetemeko hubaki na ufa ama ubovu usioonekana waziwazi sasa afterquake inapotokea...
  13. Kitumbo

    Julius Mtatiro na uchambuzi wake kwa Lowassa

    Dah, huu uzi raha sana kuurudia rudia halaf unawasikiliza wapambanaji wetu leo wanaongea nini!!!!!!!!!
  14. Kitumbo

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Kubari tu kuwa umewaza tenge, sio mawazo sahihi...hebu fikiria umebadili katiba na Magu akaongoza na kufia katika uongozi, mwingine akachukua madaraka na akawa si miongoni mwa wale unaowapenda je, utapendekeza teza tuweke ukomo wa madaraka?
  15. Kitumbo

    Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Beno Ndulu usiwe mbishi

    Hivi Haya yoooote yalikuwa sio issue mpaka alipoonyesha makosa yapo wapi kwenye system ya kodi ndio sasa yanaibuka? Sikilizeni nyinyi, Rais ndio alimteua na anaweza wakati wowote kumtoa lakini sio kujaribu kutudanganya kwa kupika Haya majungu ya kikekike hapa. @%$&@ zenu
  16. Kitumbo

    Samwel Sitta: Magufuli anashauriwa vibaya!

    Nilishangilia sana hadi alipoapishwa, lakini sasa nshaanza kuingiwa wasiwasi...labda tunahitaji mda zaidi.
  17. Kitumbo

    Ikitokea leo umeachishwa kazi! Utafanya nini?

    Iliwahi kunitokea hali kama hiyo. Kulikuwa na sintofaham ofisini, nikapewa barua ya kujieleza. nilijieleza kama pg 10 hivi. management ilikaa kimya zaizi ya mwezi. baadae niliugua nikakaa off duty kwa siku tatu. siku ya nne nikiwa bado sijarecover fully, nilikwenda ofisini. kufika tu...
  18. Kitumbo

    Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Mh! una uhakika na ulichoandika?
  19. Kitumbo

    Kigoma - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Samahani lakini, najaribu kukariri kama nimekuelewa vizuri... eti umesema ACT ni ya watu wa Kigoma? CUF ya watu wa Mtwara? CDM ya Kaskazini na Mbeya? kwa hiyo hivyo vyoote sio vyama vya kitaifa ila CCM tu? ...najaribu kuwaza tu wala sijauliza swali
Back
Top Bottom